Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
aah ndo hivyo mkuu, jukwaa huru hili, na wao pia wanaona pro-west wakiona habari njema upande wa west hawabagui chanzo, mwsho wa siku kila mtu anatoa mawazo yake tunajadili tunalumbana tunaelimishana tunakerana ht kugombana maisha yanaendaMimi nina kosoa Pro Russia.. habari njem ikiwa upande wa Urusi hana haja ya kubagua chanzo cha habari kama vile CNN, BBC etc. ila ikiwa habari mbaya wanakuambia ni propaganda za magharibi.
asilimia 40 ya bajeti ya mwaka inategemea mapato ya gesi na mafuta, hawez kustop kuuza ht cku moja,russia anahitaji soko la ulaya na ulaya wanahitaji gesi ya urusi, watagombana sana ila sio kwe gesi, ndio mana ht vikwazo wameweka kote ila sio kwe bank za urusi zinazohusika na malipo ya gas, marekan ananyemelea ili auze LNG ulaya ila pamoja marekani ni mshirika wao ila kwe swala la gas wazungu hawawez kuchagua LNG yake na kuacha gas ya mrusi kwanza anawauziaga kwa discount pia hawataki kuwa dependent saana kwa marekani ndio maana france ilishapropose idea ya european army NATO na marekan wanaipingaView attachment 2137551
Nyamizi upo? Hzo ni taarifa kutoka WB sasa russia astop kufanya export unategemea nini??
Wakenya wanaona wivu ukraine kupelekewa msaada wa chakula wakati kwao wanakufa kwa njaaUpepo unabadilika kwa kasi sana. 90% of Asia inamsapoti Putin, 80% of Africa ipo kwa Putin. Wakenya ndio wanajikomba komba.
marekani hapendi muungano wa ulaya anabaki kuwagombanisha ili afaidikeasilimia 40 ya bajeti ya mwaka inategemea mapato ya gesi na mafuta, hawez kustop kuuza ht cku moja,russia anahitaji soko la ulaya na ulaya wanahitaji gesi ya urusi, watagombana sana ila sio kwe gesi, ndio mana ht vikwazo wameweka kote ila sio kwe bank za urusi zinazohusika na malipo ya gas, marekan ananyemelea ili auze LNG ulaya ila pamoja marekani ni mshirika wao ila kwe swala la gas wazungu hawawez kuchagua LNG yake na kuacha gas ya mrusi kwanza anawauziaga kwa discount pia hawataki kuwa dependent saana kwa marekani ndio maana france ilishapropose idea ya european army NATO na marekan wanaipinga
Anabisha huku machozi yanamtoka...shida anapokea maelezo toka ng'ambo ya bahariKheee nyie kwani vita haijaisha tu?? Mi mpaka nimesahau maana niliambiwa masaa 24 mengi nikashangaa jpili imefika hola, nikakaa pembeni sasa hapa napitia huu uzi, bado Kiev haijabebwa?? How?? Comedian kawa mbishi au??
Hivyo vyeo duuuu koti zima
Mkuu, kiufupi sema: NATO ni USA na USA ndiyo NATO yenyewe.ukweli siku zote huwa mchungu ila nchi zote zinazounga NATO hawana sauti kwa US,kwanza US ndio mwenye jeshi kubwa kuliko wao,na ndio mfadhili mkubwa wa NATO,,, yan asilimia kubwa ya mpunga unatoka US!
Mijamaa yanavyosalimiana kwakupeana mikono utadhani marafiiiki 🤣 🤣2nd round of negotiations started
View attachment 2137580
Yupo poa baada ya Onyo la Medvedev baada ya Mawaziri wa Ufaransa kuanza kuropoka kwamba Urusi anatakiwa apewe vikwazo zaidi.Macron yuko poa sana, sema anaogopa kusema ukweli anajua kila kitu
goAlafi kuna watu wanasema tuiombee Ukraine badala ya kuombea Waafrika wenzao.
Mzungu siyo wa kuombewa shenzi kabisa!
#INFIRIORITY COMPLEX!!
View attachment 2134098
View attachment 2134096
Hivyo vyeo duuuu koti zima
Kuna jamaa mmoja nilimwambia kwamba Urusi ndio Nchi ya kwanza Duniani kuwa na deposit ya Natural resources nyingi kuliko Nchi yoyote ile.Hitler hakuwa mjinga aliposema the only way uitawale Duniani lazima kwanza uitawale Urusi.View attachment 2137551
Nyamizi upo? Hzo ni taarifa kutoka WB sasa russia astop kufanya export unategemea nini??
😂😂 Yaan basi tu.Hivyo vyeo duuuu koti zima