asilimia 40 ya bajeti ya mwaka inategemea mapato ya gesi na mafuta, hawez kustop kuuza ht cku moja,russia anahitaji soko la ulaya na ulaya wanahitaji gesi ya urusi, watagombana sana ila sio kwe gesi, ndio mana ht vikwazo wameweka kote ila sio kwe bank za urusi zinazohusika na malipo ya gas, marekan ananyemelea ili auze LNG ulaya ila pamoja marekani ni mshirika wao ila kwe swala la gas wazungu hawawez kuchagua LNG yake na kuacha gas ya mrusi kwanza anawauziaga kwa discount pia hawataki kuwa dependent saana kwa marekani ndio maana france ilishapropose idea ya european army NATO na marekan wanaipinga