LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kheee nyie kwani vita haijaisha tu?? Mi mpaka nimesahau maana niliambiwa masaa 24 mengi nikashangaa jpili imefika hola, nikakaa pembeni sasa hapa napitia huu uzi, bado Kiev haijabebwa?? How?? Comedian kawa mbishi au??
 
Mimi nina kosoa Pro Russia.. habari njem ikiwa upande wa Urusi hana haja ya kubagua chanzo cha habari kama vile CNN, BBC etc. ila ikiwa habari mbaya wanakuambia ni propaganda za magharibi.
aah ndo hivyo mkuu, jukwaa huru hili, na wao pia wanaona pro-west wakiona habari njema upande wa west hawabagui chanzo, mwsho wa siku kila mtu anatoa mawazo yake tunajadili tunalumbana tunaelimishana tunakerana ht kugombana maisha yanaenda
 
View attachment 2137551
Nyamizi upo? Hzo ni taarifa kutoka WB sasa russia astop kufanya export unategemea nini??
asilimia 40 ya bajeti ya mwaka inategemea mapato ya gesi na mafuta, hawez kustop kuuza ht cku moja,russia anahitaji soko la ulaya na ulaya wanahitaji gesi ya urusi, watagombana sana ila sio kwe gesi, ndio mana ht vikwazo wameweka kote ila sio kwe bank za urusi zinazohusika na malipo ya gas, marekan ananyemelea ili auze LNG ulaya ila pamoja marekani ni mshirika wao ila kwe swala la gas wazungu hawawez kuchagua LNG yake na kuacha gas ya mrusi kwanza anawauziaga kwa discount pia hawataki kuwa dependent saana kwa marekani ndio maana france ilishapropose idea ya european army NATO na marekan wanaipinga
 
Comedian anazidi kunywa damu ya mrusi.
IMG_20220303_153535.jpg
 
asilimia 40 ya bajeti ya mwaka inategemea mapato ya gesi na mafuta, hawez kustop kuuza ht cku moja,russia anahitaji soko la ulaya na ulaya wanahitaji gesi ya urusi, watagombana sana ila sio kwe gesi, ndio mana ht vikwazo wameweka kote ila sio kwe bank za urusi zinazohusika na malipo ya gas, marekan ananyemelea ili auze LNG ulaya ila pamoja marekani ni mshirika wao ila kwe swala la gas wazungu hawawez kuchagua LNG yake na kuacha gas ya mrusi kwanza anawauziaga kwa discount pia hawataki kuwa dependent saana kwa marekani ndio maana france ilishapropose idea ya european army NATO na marekan wanaipinga
marekani hapendi muungano wa ulaya anabaki kuwagombanisha ili afaidike
 
ukweli siku zote huwa mchungu ila nchi zote zinazounga NATO hawana sauti kwa US,kwanza US ndio mwenye jeshi kubwa kuliko wao,na ndio mfadhili mkubwa wa NATO,,, yan asilimia kubwa ya mpunga unatoka US!
 
Kheee nyie kwani vita haijaisha tu?? Mi mpaka nimesahau maana niliambiwa masaa 24 mengi nikashangaa jpili imefika hola, nikakaa pembeni sasa hapa napitia huu uzi, bado Kiev haijabebwa?? How?? Comedian kawa mbishi au??
Anabisha huku machozi yanamtoka...shida anapokea maelezo toka ng'ambo ya bahari
 
View attachment 2137551
Nyamizi upo? Hzo ni taarifa kutoka WB sasa russia astop kufanya export unategemea nini??
Kuna jamaa mmoja nilimwambia kwamba Urusi ndio Nchi ya kwanza Duniani kuwa na deposit ya Natural resources nyingi kuliko Nchi yoyote ile.Hitler hakuwa mjinga aliposema the only way uitawale Duniani lazima kwanza uitawale Urusi.
Dunia inaihitaji zaidi Urusi kuliko Urusi anavyoihitaji Dunia-kwa muda mrefeu ilikosa Kiongozi sasa wamempata.
 
Back
Top Bottom