kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ni mwendo wa kipigo tu, hakuna kulaza damu [emoji1255][emoji1255]Haya warusi 120 wameng'ata shuka huko Kherson jana Counter Offensive ni balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2342811
Hii Jana wakuu,ni kipigo heavy [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123]Tazama video kichapo huko Kherson mrusi ana hali mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana kipigo kilikuwa kikali aisee, [emoji848][emoji848]Translated:"They are dead here, they will go home in black bag"
Hawa na wajeda wa kirusi waliouliwa Kherson jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Momy! Uko na taarifa kuwa sept mosi kherson wameanza kutumia mitaala ya kirusi kwenye shule?? Nilikuwa nakupa tarifa tuu mom!Jana kipigo kilikuwa kikali aisee, [emoji848][emoji848]
Tulia bibie..,mwaka huu huyo super pawer wa mchongo ataingiziwa vitu mk****ni mpaka apate akiliMomy! Uko na taarifa kuwa sept mosi kherson wameanza kutumia mitaala ya kirusi kwenye shule?? Nilikuwa nakupa tarifa tuu mom!
Lazima tuwakere tu hakuna namna [emoji2][emoji2]Tazama video kichapo huko Kherson mrusi ana hali mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti huyu ndiye super pawer anayetegemewa [emoji848]Translated:"They are dead here, they will go home in black bag"
Hawa na wajeda wa kirusi waliouliwa Kherson jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja tuwatoneshe vidonda[emoji41][emoji41]
Kwanza tunawaonyesha mapichapicha ya utube jibu litakuja mwishonLeo ni siku ya 4 imefika jamani toka kuanza kwa COUNTER OFFENSIVE.tunaomba mrejesho jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mvaa kipedo naona unateseka sana jinsi super pawer wa mchongo anahenyeshwa..Ndo maana watu wanakuacha tu na upuuzi wako uwo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani picha nyingine ukifungua unakuta mwanajeshi anatembea.kweli we ni bonge la fara
ni mtu na shoga yake ukiwachek ni kama hazijatmia hvHapp juu nimegundua Jambo kuna mtu aitwa Vunjo mwingine Kipanya Kama hivi.. mmoja akiandika mwenzake kwa chini anajibu. Maendeleo Ni hayo hayo.
Dada unateseka ukiwa wapini mtu na shoga yake ukiwachek ni kama hazijatmia hv
π€£π€£π€£ WameCHAKATWA.....Procesed
Ile meza inanikosha sana ni ndefu kutoka hapa nilipo mpaka Manzese,ukiwekwa pale ujue hukubaliki πππIle meza refuuu ya putin inawaumiza sana viongozi wa ulaya ila hawana cha kufanya
--------
German Chancellor Olaf Scholz considers it necessary to continue negotiations with Russian President Vladimir Putin:
"I met with the Russian president in Moscow at a long table, I talked to him many times on the phone , and I will continue doing so