Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⭕️اردوغان: ناتو نمی‌تواند بدون ترکیه قدرتمند باشد

🔰رئیس جمهور ترکیه روز جمعه گفت که پیمان آتلانتیک شمالی بدون آنکارا نمی‌تواند قدرتمند باشد.

⭕️Erdogan: NATO cannot be strong without Turkey

🔰Turkish President said on Friday that the North Atlantic Treaty cannot be strong without Ankara.

🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
 
Wachambuzi wa "Europe Energy Crisis" wanachambua muda huu Al Jazeera News.

Wanasema kwamba:

Hata Sasa hivi nchi za Ulaya ziwashe mitambo yao ya Nuclear Plants kwa ajili ya kuzalisha umeme, hawataweza kuwahi kipindi cha winter. Kwa sababu hizo Nuclear Reactors zinachukua muda kufikia level ya kuzalisha huo umeme. "It takes months"

Pia, Kuna ishu ya safety. Hizi reactors nyingi zimeshaliwa na kutu kwa hiyo wanatakiwa wawe makini ili isije ikatokea ishu Kama ya Fukushima.

"Winter is coming"
 
Wanaangaika Sana.

Mara wanasema wamesusia kununua mafuta ya Russia.
Mara tutanunua kwa "Bei elekezi"

Kwani Russia amewalazimisha kununua hayo Mafuta? Si wamwambia US awauzie ile reserve yake na waache kuangaika na Russia...
Wanaangaika mpaka wanatuchanganya

Nilijua hawanunui kabisa mafuta ya Russia hivo kuna upungufu kwenye soko la dunia, kumbe wananunua ila kwa bei chee elekezi

Sasa kinachipandisha mafuta kwenye soko la dunia ni nin sasa?
Wachumi mtusaidie
 
Wanaangaika mpaka wanatuchanganya

Nilijua hawanunui kabisa mafuta ya Russia hivo kuna upungufu kwenye soko la dunia, kumbe wananunua ila kwa bei chee elekezi

Sasa kinachipandisha mafuta kwenye soko la dunia ni nin sasa?
Wachumi mtusaidie
Hipo hivi.

Hawanunui Mafuta directly kwa Russia.
Wananunua kwa middlemen ili kuonekana wana tii hizo sanctions zao.

Hao middlemen wananunua Mafuta Russia, wanaweka profit margins then wanawauzia Europe.

Sasa hizo profit margins ndio zinapelekea Bei kuwa juu.

Saudi Arabia anafanya Sana huo u middlemen
China Anafanya
Russia anafanya (kupitia kampuni zake za Singapore and Malaysia)

Baada ya hii Vita Kuna matajiri wengi Sana wataibuka.
 
Duuh kumbe ndo maana
 
Kudadeki..mchina janjajanja sana
 
US alipotumia Nuclear kule Heroshima na Nagasaki, je alikuwa muoga?
Walitumia kuonesha wanayo, sasa hawa wote wanayo anatishia uku upande wa pili wanayo na wana vyombo vya kuifikisha wanapokaa vzr, huyu anajua kabisa jeshi lake halina nguvu, ni nyuklia pekee ndo zinaweza kuleta neutrality
 

 
We must be ready for the white walkers 😄
 
Daah hebu nifafanulie na hapa vizuri mkuu.
Nawaza hapa hadi huu mjadala wa kuwacha mitambo yao ya umeme ya nuclear uje sasa hivi,
Kwani hiyo nuclear power plant ya Ukraine ilokamatwa na Russia inasambaza umeme hadi nchi nyingine za Ulaya? Me najua inasambaza nchini Ukraine tu
 
Walitumia kuonesha wanayo, sasa hawa wote wanayo anatishia uku upande wa pili wanayo na wana vyombo vya kuifikisha wanapokaa vzr, huyu anajua kabisa jeshi lake halina nguvu, ni nyuklia pekee ndo zinaweza kuleta neutrality
Mkuu

Uwe unapenda kufatilia na kusoma Mambo ya "international affairs" Kama kweli unataka kuwa mchangiaji mzuri. Lakini kwa leo nitakujibu ili niweze kukusaidia pia.

Mara nyingi Sana, President Putin amekuwa anasema kwamba, Russia itatumia Nuclear weapons Kama Kuna "Existential threat to Russia". Hapa ndio Nuclear weapons zitatumika ku neutralise hiyo threat.

Na always President Putin uwaga anasema kwamba, Vita vya nuclear havitakuwa na mshindi. Lakini kutakuwa na Global Catastrophe.

Je, kwenye Vita Kati ya US na Japan including attack ya Pearl Harbor kulikuwa na existential threat to US mpaka akatumia Atomic Bomb?
 
Wanasema chanzo cha umeme unaotumika kiev kimeshachukuliwa kitaaaaambo na urusi.

Lkn cha kushangaza mrusi amewaacha wafanyakaz ambao waliajiriwa na kampun ya Ukraine waendelee na majukumu yao huku usambazaj wa umeme ukiendelea km kawa mpaka kiev ktk ikulu ya Zelenscky.

Lkn tukirejelea matukio ya us wakat anavamia iraq miongon mwa maeneo ya mwanzo kushambulia ni vyanzo vya umeme,maji,viwanja vya ndege lkn kwa Urus imekua tofaut ingawaje uwezo wa kushambulia maeneo hayo anayo.

Sasa najiuliza Urusi anampango gani ambao mim hapa mchambuzi noma toka ilala mchikichin nashindwa kuung'amua au hatak kulimaliza ili zoez mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mtambo wa Nuclear Ni mkubwa Sana na unategemewa ku supply Kama 50% ya energy needs ya Ukraine + Other EU countries.

Mitambo yote au nuclear programs zote zipo controlled and inspected na hiyo International Atomic Agency.

Huu mtambo kwa Sasa hupo controlled na Russians. Kuna Russians Solders + Russians Nucleus experts, lakini bado unaendeshwa na staff from Ukraine.

Umekuwa unashambuliwa Sana na Ukraine na kinachoogopwa Ni hizo Nuclear liquids kuvuja kwenye open air na zingine kuingia kwenye mto unaoleta maji kwenye black sea.

Russians kuendelea kuushikilia huu mtambo unawapa leverage ya negotiations especially kwenye kipindi cha winter. Kama unakumbuka huyu Zelensky alishasema, hii Vita inabidi wapigane na waishinde before winter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…