Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kherson kichapo anachopokea mrusi si cha kitoto
Screenshot_20220903-073010_Chrome.jpg
 
Mmmmmh okay!

Tuanze na maana ya neno Price Cap.

Price Cap ni mfumo wa uendeshaji wa kuweka ukomo wa bei ambayo mtoa huduma ataruhusiwa kutoza wateja wake. Price cap inaweza wekwa kwa maxima na minima. Au kwa kimoja wapo kati ya ukomo wa juu (maxima) au ukomo wa chini (minima).

Mfano leo hii tuweke Price Cap ya Sukari ni Tsh 2,000/- (Maxima). Maana ake supplier na wazalishaji wa sukari hawaruhusiwi kuiuza zaidi ya hiyo bei. Wataruhusiwa kuiuza kwa 2,000/- na below.

Price Cap kwa kiswazi hapa tunaweza kuiita ni bei elekezi. Ina hasara zake na faida yake kwa mtoa huduma na wapewa huduma husika.

Upande wa mtoa huduma, anaweza kupata hasara endapo bei elekezi (Price cap) ikiwa below operational Cost. Hapa na maana hivi, watumia 1,000 kuzalisha product X then ukute Price cap maxima ikiwa 800.

Vile vile kutokua na Price Cap kunaweza kukaleta tabu pia kwa mtumiaji wa mwisho kwani atauziwa bidhaa kwa taste ya mwenye bidhaa. Hapa nyanya ya 200 inaweza kuuzwa ef 5 teh.

Turudi sasa upande wa Urusi.

Mataifa ya magharibi yanaona kua Urusi inanufaika sana na mauzo ya Gas hasa kipindi hiki ambacho bei yake ipo juu sana. Profit margin ya mauzo ipo juu sana, hivo wanataka kuweka price cap yani ukomo wa bei ili ku-limit faida anayoipata Urusi kwenye mauzo hayo.

Na kuhusu Urusi ataathirika vipi na hiyo Price cap yategemea itawekwa kwenye kiwango kipi.

Endapo ikiwa above operational Cost means faida katika mauzo itakuepo na endapo ikiwa below operational costs basi maana ake itakuwa ni hasara na ni kitu ambacho Russia hawezi kufanya ujinga huo.

Katika jicho la Geopolitics ukichanganya na Knowledges y uchumi, hii move wanayotaka fanya nayo ni kama suicidal mission ya Kherson kwa Ukraine. Its like wanataka force wafungiwe "koki" ambayo wao wameshindwa kukubaliana kuifungwa enzi zile kwenye mikutano yao ya kuweka vikwazo.

West Politicians bado wanaishi kwenye Illusions wakihisi Urusi anawahitaji zaidi kuliko wao wanavyomhitaji mrusi. Bado wanaota ndoto nyevu wakiamini wao ndio soko pekee la Oil and Gas ya Russia.

Anyway nisitoke nje ya maswali uliyouliza kwa kuelezea yasiyo hitajika. Nadhani nimejibu maswali yako kama hujaridhika tujuzane tuongeze nyama.
Hii swala is synomous to price control.However,the sheer stupidity of Europe is beyond imagination.Once again Europe is showing its utter lunacy.Hivi how reasonably can you control the price of a commodity produced by another nation without consultations with that nation!!!!????Anyway in any case,Russia has categorily said,it will only sell its' fuel, it be gas or oil to a nation which does not abide to the proposed price cap.
 
⭕️وحشت، آلمان را به عصر زغال‌سنگ برد

🔰 آلمان قرار بود تا سال ۲۰۳۰ تمام کارخانجات متکی به زغال‌سنگ را از میان بردارد، اما حالا مجبور شده نیروگاه‌های زغال‌سنگِ متوقف‌شده را نیز به مدار تولید بازگرداند.

⭕️The terror took Germany into the coal age

🔰Germany was supposed to eliminate all factories relying on coal by 2030, but now it is forced to bring the stopped coal power plants back into production.


🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
 
Hungarian Foreign Minister Peter Szijjarto warns that the European Union (EU) will plunge into a systemic collapse if it continues to reject energy from Russia

Hungarian Foreign Minister Peter Szijjarto warned Monday, August 29, that the European Union (EU) will head into a systemic collapse if it continues to reject energy from Russia despite the absence of suitable alternatives. This, he said, will leave the public with no heat over the winter months.

“All these statements from Western Europe on the issue of energy supply simply do not work at all with winter approaching,” Szijjarto said. He pointed out that while “ideological, political, communication statements with effective support from the international media can easily inflate balloons that cover people’s eyes,” all the ideology in the world won’t keep EU citizens warm when winter approaches.

Insisting that Hungary has not yet fallen into this trap, Szijjarto warned that pressure from other EU governments could only get worse as the current world order is “approaching a huge collapse, almost at the speed of an asteroid.”

He also argued that Russian sources are integral to European energy security, implying that without them social discontent could lead to a systemic collapse.

Szijjarto said Hungary will not entertain talk of sanctions on Russian energy, but other nations will quietly back it on the matter, even if they won’t do so publicly.

Budapest, meanwhile, has pushed back against bloc-wide calls for an embargo on Russian oil and gas since the notion began circulating among politicians. Other states that once demanded Moscow be punished over its attack on Ukraine have now realized that there is no other source of energy that can make up for the loss of Russian supplies.

Electricity costs in France and Germany have also shot up to record heights as Moscow shuts down the last operational turbine on the Nord Stream 1 pipeline for “three days’ maintenance.”

These are not the only countries who will feel the repercussions of the sanctions that were supposed to punish Russia. And Europeans are now stockpiling whatever fuel they do have to prepare for the long winter ahead.

Germany accuses Russia of using energy as a “weapon”​

Russian energy giant Gazprom suspended gas deliveries to Germany on Wednesday, August 31, saying that supplies via Nord Stream 1 were completely stopped for preventive work at a compressor unit shortly after European gas network operator ENTSOG announced the ceasing of deliveries.

Gazprom also said that it would suspend supplies to France’s main provider, Engie, beginning Thursday, September 1, after it failed to pay for all deliveries made in July. (Related: Russia cuts Nord Stream 1 pipeline flows in HALF, plunging flow rates from 40% to just 20%.)

Germany, which remains heavily dependent on Russian gas, accused Moscow of using energy as a “weapon.” However, Gazprom said that the three-day maintenance work was “necessary” and had to be carried out after “every 1,000 hours of operation.”

Klaus Mueller of Germany’s Federal Network Agency called the move “technically incomprehensible,” adding that it was likely a pretext by Moscow to wield energy supplies as a threat to other European countries.

Mueller said Moscow usually makes political decisions after every so-called maintenance, adding that they will only know in the beginning of September if Russia does so again.

The EU is now preparing to take emergency action to reform the electricity market and bring galloping prices under control.

When asked whether or not gas supplies will resume after the three-day maintenance work, Russian government spokesman Dmitry Peskov said there is a guarantee that apart from technical problems caused by sanctions, nothing will interfere with supplies.

Gazprom already carried out 10 days of long-scheduled maintenance works in July. While it restored gas flows, the supply was drastically cut down just days later.

The company said a key turbine could not be sent to Russia because of the sanctions on Moscow. But Germany, where the turbine was located, said Moscow itself blocked the component’s delivery to Russia.

With fears over throttled supplies, companies have been driven to cut their energy use, a move that Mueller said could save Germany from a gas emergency in winter.

Stephan Knabe of Deutsche ReGas, which manages Germany’s move to liquefied natural gas, said it expects to inject gas into the distribution network by December 1.
 

Actual Footage: Ukrainian Soldiers WAVE WHITE FLAG,a sign of surrender,on Battlefield​

WORLD NEWSDESK 02 SEPTEMBER 2022
Actual Footage: Ukrainian Soldiers WAVE WHITE FLAG on Battlefield

Video has emerged from the battlefields inside Ukraine showing actual Ukraine Army Troops waving the WHITE FLAG of surrender, to save their own lives.
The soldieres were part of an area that was under utterly horrifying artillery attack by the Russian Army. Most of their unit was wiped out dead. They had no chance at all of surviving unless they surrendered. They did.
Below is the video from a Russian Army Drone showing the soldiers waving a White Flag on the battlefield.
The Russians STOPPED the attack and accepted the surrender.
I
View attachment 2343721
n my 60 years on this Earth, I have never witnesses an actual White Flag surrender. Sure, I've seen recreations of it in Hollywood movies, but never the real thing, in a real war. Quite a moment.
There is no shame at all in what these Soldiers did by surrendering. They saw their situation was totally hopeless, there was no way to fight back and no way to escape, so they chose to live. I totally "get it." I see no shame at all in what the soldiers did.
Thank God the Russian Army did the right and honorable thing and allowed these men to surrender in safety.
The Ukrainians put up their best fight, and lost. The Russians won - and won again, by being honorable. Kudos to the Russian Army for its honor and compassion.
Wanamgambo wa Ukraine wamepata kipigo cha mbwa mwizi mpaka wamejisalimisha
 

Germany accuses Russia of using energy as a “weapon”​


Hii kauli hua inanishangaza kidogo.
Nimewahi kuwasikia pia Viongozi wa USA wakiitamka.
Sasa kinachonishangaza ni hiki.

West wamekaa wanaume wazima ktk vikao vyao hata na wanawake zao wenye akili,wakakubaliana waiwekee Urusi vikwazo vya kiuchumi na kuitenga kabisa katika Kila kitu.

Hata pale mwanzo wa hii Op USA waliionya Urusi isiivamie Ukraine la sivyo isahau kabisa kuhusu mradi wa Nordsteam2. Hapa kwa wao kuzuia huu mradi ni aina ya silaha, vikwazo.

Kwao wao vikwazo wamevitumia kama silaha,ila Urusi akitumia kama silaha wanapiga mayoe.wanalia,wanalalamika.

Aisee sikujua kama Urusi Ina nguvu namna hii.!!
 
Jambo jingine linalonishangaza kwa wa west na hasa USA ambae tumeaminishwa miaka nenda miaka Rudi kua ndio supapawa.

Yeye USA amehamasisha west wote na NATO watoe silaha zikampige Urusi kupitia ukraine.

Lakini huyohuyo USA hataki kabisa kuusikia hata n hi moja ikimpa hata risasi moja TU Urusi,
Wanalalamika hata nchi ya Iran kua imeipa Urusi drone,wala isitokee nchi hata moja nje ya west hata kununua TU mafuta ya Urusi.

Nchi nyingine sio wa NATO na wala mgogoro huu hauwahusu lkn USA inalalamika.
Aisee sikujua kama Urusi Ina nguvu namna hii.!!
 
Walitumia kuonesha wanayo, sasa hawa wote wanayo anatishia uku upande wa pili wanayo na wana vyombo vya kuifikisha wanapokaa vzr, huyu anajua kabisa jeshi lake halina nguvu, ni nyuklia pekee ndo zinaweza kuleta neutrality
Sema walizidiwa pambano,wakaona isiwe tabu wakashusha la Kwanza!Kama lengo Ilikuwa kuonesha wanalo wangeishia hapo Kwa wameshaonesha!Jamaa wakaendelea kuja tu na,US akaona ashushe mzigo wa pili ambao ndio ukamaliza vita!
Bila Nuclea,US alikuwa anapoteza uwanja wa vita!
 
Wanasema chanzo cha umeme unaotumika kiev kimeshachukuliwa kitaaaaambo na urusi.

Lkn cha kushangaza mrusi amewaacha wafanyakaz ambao waliajiriwa na kampun ya Ukraine waendelee na majukumu yao huku usambazaj wa umeme ukiendelea km kawa mpaka kiev ktk ikulu ya Zelenscky.

Lkn tukirejelea matukio ya us wakat anavamia iraq miongon mwa maeneo ya mwanzo kushambulia ni vyanzo vya umeme,maji,viwanja vya ndege lkn kwa Urus imekua tofaut ingawaje uwezo wa kushambulia maeneo hayo anayo.

Sasa najiuliza Urusi anampango gani ambao mim hapa mchambuzi noma toka ilala mchikichin nashindwa kuung'amua au hatak kulimaliza ili zoez mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli
 
Back
Top Bottom