Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji682]#Putin :"I never asked for anything that wasn't mine. When I watched Russia fall, I promised myself before God that I would save it.
It turns out that I have to save the whole world;
bcZ the demons that have taken over the West have destroyed everything spiritual on this planet

"I know that I will succeed because I have the support of the Lord... I don't need anything else
Z

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaendelea vyema kabisa. Tangu February 24 mko mnapigana mbona huulizi mnamaliza lini unakuja uliza counter offensive ambayo haina hata wiki
Kwasababu ndio uloiongelea hapo MKUU namie nikataka kujua kuhusiana na hio tuuu
Huko kwengine najua KHERSON MAURIOPOL zimeanza shule kwamtaala wa RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nkuba25
Galip Vrl
Qibsyl
Tsh
T14 Armata
Sikirimimimasikini
@ nawengineo
Hili suala la la mataifa kadhaa haswa haswa g7 kutaka kuyaweka mafuta ya RUSSIA kwenye price cap ndio ku nini huku maana yake
Na hilo suala kimsingi lina athari ama litaathirije uchumi wa RUSSIA
Hata kama sijakutag ukiwa unajua msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmh okay!

Tuanze na maana ya neno Price Cap.

Price Cap ni mfumo wa uendeshaji wa kuweka ukomo wa bei ambayo mtoa huduma ataruhusiwa kutoza wateja wake. Price cap inaweza wekwa kwa maxima na minima. Au kwa kimoja wapo kati ya ukomo wa juu (maxima) au ukomo wa chini (minima).

Mfano leo hii tuweke Price Cap ya Sukari ni Tsh 2,000/- (Maxima). Maana ake supplier na wazalishaji wa sukari hawaruhusiwi kuiuza zaidi ya hiyo bei. Wataruhusiwa kuiuza kwa 2,000/- na below.

Price Cap kwa kiswazi hapa tunaweza kuiita ni bei elekezi. Ina hasara zake na faida yake kwa mtoa huduma na wapewa huduma husika.

Upande wa mtoa huduma, anaweza kupata hasara endapo bei elekezi (Price cap) ikiwa below operational Cost. Hapa na maana hivi, watumia 1,000 kuzalisha product X then ukute Price cap maxima ikiwa 800.

Vile vile kutokua na Price Cap kunaweza kukaleta tabu pia kwa mtumiaji wa mwisho kwani atauziwa bidhaa kwa taste ya mwenye bidhaa. Hapa nyanya ya 200 inaweza kuuzwa ef 5 teh.

Turudi sasa upande wa Urusi.

Mataifa ya magharibi yanaona kua Urusi inanufaika sana na mauzo ya Gas hasa kipindi hiki ambacho bei yake ipo juu sana. Profit margin ya mauzo ipo juu sana, hivo wanataka kuweka price cap yani ukomo wa bei ili ku-limit faida anayoipata Urusi kwenye mauzo hayo.

Na kuhusu Urusi ataathirika vipi na hiyo Price cap yategemea itawekwa kwenye kiwango kipi.

Endapo ikiwa above operational Cost means faida katika mauzo itakuepo na endapo ikiwa below operational costs basi maana ake itakuwa ni hasara na ni kitu ambacho Russia hawezi kufanya ujinga huo.

Katika jicho la Geopolitics ukichanganya na Knowledges y uchumi, hii move wanayotaka fanya nayo ni kama suicidal mission ya Kherson kwa Ukraine. Its like wanataka force wafungiwe "koki" ambayo wao wameshindwa kukubaliana kuifungwa enzi zile kwenye mikutano yao ya kuweka vikwazo.

West Politicians bado wanaishi kwenye Illusions wakihisi Urusi anawahitaji zaidi kuliko wao wanavyomhitaji mrusi. Bado wanaota ndoto nyevu wakiamini wao ndio soko pekee la Oil and Gas ya Russia.

Anyway nisitoke nje ya maswali uliyouliza kwa kuelezea yasiyo hitajika. Nadhani nimejibu maswali yako kama hujaridhika tujuzane tuongeze nyama.
 
Huu mtambo wa Nuclear Ni mkubwa Sana na unategemewa ku supply Kama 50% ya energy needs ya Ukraine + Other EU countries.

Mitambo yote au nuclear programs zote zipo controlled and inspected na hiyo International Atomic Agency.

Huu mtambo kwa Sasa hupo controlled na Russians. Kuna Russians Solders + Russians Nucleus experts, lakini bado unaendeshwa na staff from Ukraine.

Umekuwa unashambuliwa Sana na Ukraine na kinachoogopwa Ni hizo Nuclear liquids kuvuja kwenye open air na zingine kuingia kwenye mto unaoleta maji kwenye black sea.

Russians kuendelea kuushikilia huu mtambo unawapa leverage ya negotiations especially kwenye kipindi cha winter. Kama unakumbuka huyu Zelensky alishasema, hii Vita inabidi wapigane na waishinde before winter.
Duuh aisee, asante sana mkuu

Putin akili kubwa sana
 
Wanasema chanzo cha umeme unaotumika kiev kimeshachukuliwa kitaaaaambo na urusi.

Lkn cha kushangaza mrusi amewaacha wafanyakaz ambao waliajiriwa na kampun ya Ukraine waendelee na majukumu yao huku usambazaj wa umeme ukiendelea km kawa mpaka kiev ktk ikulu ya Zelenscky.

Lkn tukirejelea matukio ya us wakat anavamia iraq miongon mwa maeneo ya mwanzo kushambulia ni vyanzo vya umeme,maji,viwanja vya ndege lkn kwa Urus imekua tofaut ingawaje uwezo wa kushambulia maeneo hayo anayo.

Sasa najiuliza Urusi anampango gani ambao mim hapa mchambuzi noma toka ilala mchikichin nashindwa kuung'amua au hatak kulimaliza ili zoez mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi ana uhakika wa USHINDI na kutwaa maeneo na Upande mmoja ataachwa mtawala anaeunga mkono Russia. Ni hasara kulipua . Pia mrusi kaacha wa Ukraine waendeshe mtambo km kinga jamaa wa ZELE asiulipue. Ukraine ana long range alizopewa km ukizima mtambo wataulipua .
 
Wachambuzi wa "Europe Energy Crisis" wanachambua muda huu Al Jazeera News.

Wanasema kwamba:

Hata Sasa hivi nchi za Ulaya ziwashe mitambo yao ya Nuclear Plants kwa ajili ya kuzalisha umeme, hawataweza kuwahi kipindi cha winter. Kwa sababu hizo Nuclear Reactors zinachukua muda kufikia level ya kuzalisha huo umeme. "It takes months"

Pia, Kuna ishu ya safety. Hizi reactors nyingi zimeshaliwa na kutu kwa hiyo wanatakiwa wawe makini ili isije ikatokea ishu Kama ya Fukushima.

"Winter is coming"
Hawajamalizia supplier mkubwa wa reactor ni Russia
 
Mmmmmh okay!

Tuanze na maana ya neno Price Cap.

Price Cap ni mfumo wa uendeshaji wa kuweka ukomo wa bei ambayo mtoa huduma ataruhusiwa kutoza wateja wake. Price cap inaweza wekwa kwa maxima na minima. Au kwa kimoja wapo kati ya ukomo wa juu (maxima) au ukomo wa chini (minima).

Mfano leo hii tuweke Price Cap ya Sukari ni Tsh 2,000/- (Maxima). Maana ake supplier na wazalishaji wa sukari hawaruhusiwi kuiuza zaidi ya hiyo bei. Wataruhusiwa kuiuza kwa 2,000/- na below.

Price Cap kwa kiswazi hapa tunaweza kuiita ni bei elekezi. Ina hasara zake na faida yake kwa mtoa huduma na wapewa huduma husika.

Upande wa mtoa huduma, anaweza kupata hasara endapo bei elekezi (Price cap) ikiwa below operational Cost. Hapa na maana hivi, watumia 1,000 kuzalisha product X then ukute Price cap maxima ikiwa 800.

Vile vile kutokua na Price Cap kunaweza kukaleta tabu pia kwa mtumiaji wa mwisho kwani atauziwa bidhaa kwa taste ya mwenye bidhaa. Hapa nyanya ya 200 inaweza kuuzwa ef 5 teh.

Turudi sasa upande wa Urusi.

Mataifa ya magharibi yanaona kua Urusi inanufaika sana na mauzo ya Gas hasa kipindi hiki ambacho bei yake ipo juu sana. Profit margin ya mauzo ipo juu sana, hivo wanataka kuweka price cap yani ukomo wa bei ili ku-limit faida anayoipata Urusi kwenye mauzo hayo.

Na kuhusu Urusi ataathirika vipi na hiyo Price cap yategemea itawekwa kwenye kiwango kipi.

Endapo ikiwa above operational Cost means faida katika mauzo itakuepo na endapo ikiwa below operational costs basi maana ake itakuwa ni hasara na ni kitu ambacho Russia hawezi kufanya ujinga huo.

Katika jicho la Geopolitics ukichanganya na Knowledges y uchumi, hii move wanayotaka fanya nayo ni kama suicidal mission ya Kherson kwa Ukraine. Its like wanataka force wafungiwe "koki" ambayo wao wameshindwa kukubaliana kuifungwa enzi zile kwenye mikutano yao ya kuweka vikwazo.

West Politicians bado wanaishi kwenye Illusions wakihisi Urusi anawahitaji zaidi kuliko wao wanavyomhitaji mrusi. Bado wanaota ndoto nyevu wakiamini wao ndio soko pekee la Oil and Gas ya Russia.

Anyway nisitoke nje ya maswali uliyouliza kwa kuelezea yasiyo hitajika. Nadhani nimejibu maswali yako kama hujaridhika tujuzane tuongeze nyama.
Ahsante sana sana sana MKUU
Majibu yako yamenitosheleza nakunielewesha haswaa
Ingawaje kama kuna nyama nyama sio mbaya zikiongezwa
Ila umeeeleweka
Pia namie sidhanii kama RUSSIA anaweza kubali huo ujinga

Shukrani kwa elimu.
 
Nkuba25
Galip Vrl
Qibsyl
Tsh
T14 Armata
Sikirimimimasikini
@ nawengineo
Hili suala la la mataifa kadhaa haswa haswa g7 kutaka kuyaweka mafuta ya RUSSIA kwenye price cap ndio ku nini huku maana yake
Na hilo suala kimsingi lina athari ama litaathirije uchumi wa RUSSIA
Hata kama sijakutag ukiwa unajua msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, price cap ni sawa na sanctions kiutendaji. Wapuuzi wameona kwamba pamoja na sanctions dhidi ya mafuta ya Urusi, pamoja na West kupunguza manunuzi ya mafuta ya Urusi, Kremlin bado inapiga faida.

Maana yake ni kwamba, volume ya mafuta anayouza Urusi kwa sasa ni ndogo ukilinganisha na hapo nyuma kabla ya operation kuanza ila tofauti ipo kwenye bei. Kwa sasa bei iko juu hivyo profit margin ni kubwa kwa Urusi.

Wasiwasi wa West ni kwamba hali ikiendelea hivi, bei ya mafuta itapanda maradufu mwakani hivyo Urusi kuendelea kupiga hela. Ikumbukwe kwamba mataifa mengi wamegoma kuiwekea vikwazo mafuta ya Urusi badala yake, wameongeza manunuzi. Hili linawakera sana mazezeta wa West ukizingatia pia kwamba wamejaribu kushawishi mataifa wanachama wa OPEC kuongeza uzalishaji wa mafuta ili ku neutralise athari za ukosefu wa mafuta ya Urusi sokoni bila mafanikio.

Sasa wanajua kwamba mzalishaji ndiyo atakuwa na upper hand katika kupanga bei which itawaumiza wao kama ambavyo tunaona kwa sasa bara la Ulaya hapakaliki, mfumuko wa bei inayochagizwa na ukosefu au bei ya mafuta kupanda.

Tatizo kubwa hapa ni kwamba hii price cap itawaumiza West kuliko Urusi. Urusi ilishaamua kuisahau West kama soko lake kuu hivyo amefocus katika kutengeneza masoko mengine yenye kuaminika kuliko West.

So, Urusi bado ataendelea kufaidi. Atakachofanya akiona West wanazingua ni kufunga mabomba ya kusambaza mafuta kwenda West. Matokeo yake ni kwamba West badala ya kununua mafuta moja kwa moja toka Urusi, watalazimika kuyanunua kwa bei ya juu zaidi kutoka kwa muuzaji atakae kubali kulipa bei anayotaka Urusi.

Price cap ingefanya kazi endapo mafuta yanazalishwa Ulaya hivyo kuwa na mamlaka kisheria juu ya wazalishaji. Ila sasa G7 kwa akili zilizochuchumaa wanafikiri wanaweza kuiamulia Urusi.

Haya majinga ya West hayajifunzi, akili zinakuwa kwenye thelugi muda mrefu kiasi cha kuchelewa kupata joto ili ifanye kazi kwa ufanisi.
 
#YURI 3rd counteroffensive attempt of the AFU in Kherson oblast, with basically same deplorable results. Dozens of ambulances seen on Ukrainian side going back and forth, transporting multiple wounded to the hospitals. Some battles are still underway with results yet unclear.

Ukrainian attack north of Kharkov, units that broke throgh partly destroyed, partly taken prisoners with their commanding officers.

Donbass: a definintive breach of the 2nd line of defense near Peski now confirmed. The fortified area between Peski and Pervomayskoye, that, as Yuri says, holds the key to the whole front, have been taken by the 11th Militia Regiment of the DPR.

Solidar, Bakhmut, Kodema - unchanged.

@war_subtitled_en, o veáse también en Español @rpd_es
 
Actual Footage: Ukrainian Soldiers WAVE WHITE FLAG,a sign of surrender,on Battlefield​

WORLD NEWSDESK 02 SEPTEMBER 2022
Actual Footage: Ukrainian Soldiers WAVE WHITE FLAG on Battlefield

Video has emerged from the battlefields inside Ukraine showing actual Ukraine Army Troops waving the WHITE FLAG of surrender, to save their own lives.
The soldieres were part of an area that was under utterly horrifying artillery attack by the Russian Army. Most of their unit was wiped out dead. They had no chance at all of surviving unless they surrendered. They did.
Below is the video from a Russian Army Drone showing the soldiers waving a White Flag on the battlefield.
The Russians STOPPED the attack and accepted the surrender.
I

n my 60 years on this Earth, I have never witnesses an actual White Flag surrender. Sure, I've seen recreations of it in Hollywood movies, but never the real thing, in a real war. Quite a moment.
There is no shame at all in what these Soldiers did by surrendering. They saw their situation was totally hopeless, there was no way to fight back and no way to escape, so they chose to live. I totally "get it." I see no shame at all in what the soldiers did.
Thank God the Russian Army did the right and honorable thing and allowed these men to surrender in safety.
The Ukrainians put up their best fight, and lost. The Russians won - and won again, by being honorable. Kudos to the Russian Army for its honor and compassion.
 
NORD STREAM ONE GAS PIPELINE COMPLETELY SHUT DOWN,BECAUSE OF A RUPTURE IN THE PIPELINE, NO GAS FLOWS AT ALL.​

WORLD NEWSDESK 02 SEPTEMBER 2022
NORD STREAM ONE GAS PIPELINE COMPLETELY SHUT DOWN; NO GAS FLOWS AT ALL

The Nord Stream One natural gas pipeline between Russia and Germany has suffered an apparent rupture and all gas flows have been halted.
Developing story . . . check back

UPDATE 4:16 PM EDT -
Natural gas markets in Europe are now collapsing with price spikes of unimaginable rates. Almost no natural gas can flow to Europe now and countries there cannot receive enough to keep the economies going.It is not clear whether gas deliveries to Europe will be resumed as Europe moves towards winter, because it is now clear that Russia is using fuel as a weapon against Europe.Europeans are in a very precarious situation indeed,but all this is because of their stupid leaders who follow orders from the US in a Zombie like manner,without reasoning whatsoever.A very sad situation indeed!

UPDATE 10:05 PM EDT --
The operator of the Nordstream One pipeline says a turbine failure caused a gas leak and all gas flow had to be turned off. They cannot even speculate as to when flow may resume because Siemens cannot tell them when a replacement turbine will be made available. Until that happens, no natural gas through the pipeline.
 
Counter offensive bado inaendelea na mrusi bado anapokea kichapo cha mbwa koko huko Kherson
Screenshot_20220903-072446_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom