Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapa waje vunjo MK254 T14 Armata wake wasome hii!
Niliwaambia muwe mnahakiki video zenu kwanza kabla ya kuzileta hapa!
 
Hawa nao..wanaanzisha ugomvi huku wanakaa nyumba za vioo....

Si wakanunue kwa USA shida iko wapi??
 
Wakati huo huo wanahubiri demokrasia anayo USA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ahsante sana MKUU nimekuelewa vyema sanaa sanaa sanaa
Inaonesha wazi kwamba RUSSIA kawapiku hawa wapuuzi wapuuzi wa huko west
Shukran sana MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimekutana na Fuso ubavuni Lina alama kubwa ya "Z" hapa Mafiñga. Nikajua kweli sasa hivi hatuna Hata simile, na Dunia imejitambua!!Ha ha haaaa!
Kabisa MKUU hii SMO imevumbua wengi sana macho
Kama alivyosema sergei ama put in ama shoigu
Kwamba dunia haitakua sawa kabla wakat na baada ya SMO
Z

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah,back to the coal age!Ngoja waipate,na bado,hii ni kwa sababu ya maamuzi mabovu ya viongozi wao,na wao kwa ujinga wao wako kimya,waiting to freeze to death in the coming Winter.
 
Wakati huo huo wanahubiri demokrasia anayo USA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ni majanga TU.
Wanasema Ukraine anayo haki ya kuchagua upande,au kuchagua marafiki,
Wakati wao hawataki hata marafiki wa Urusi washirikianw na Urusi.
Hebu fikiria hata Wanachama wa BRICS TU,USA hataki wanunue hata mafuta ya Urusi.
Aisee USA ni mabaradhuli wakubwa kabisa.
 
#ThisDay

September 3: Day of the End of the Second World War

The military glory day was established by Federal Law on April 24, 2020.

◽️ The Victory over German fascism, Japanese militarism and their satellites during the Second World War is a highlight of the world history, a glorious page in the history of Soviet people and chronicle of Soviet Armed Forces.

◽️ It had widely covered Europe, Asia and Africa, all the world oceans reaching the shores of Novaya Zemlya and Alaska in the North, the Atlantic Coast of Europe in the West, Kuril Islands in the East, as well as the borders of Egypt, India and Australia in the South.

◽️ The 6-year-long war had involved 61 countries populated by 1.7 billion people that constituted about 80% of the world population. About 120 millions of the most capable people had been mobilised to their armed forces. Operations had taken place in 40 countries.

◽️ Major burden of the fight in the Second World War laid on the Soviet Union. On June 22, 1941, German troops invaded the territory of the Soviet Union. Germany was supported by Hungary, Romania, Slovakia, Finland and Italy, as well as Norway that joined the anti-Soviet forces in August. Soviet troops exhausted the enemy and halted its offensive at all the most important fronts.

◽️ The Red Army has liberated a lot of European nations from the fascism. Within almost 15 months, about 7 million Soviet warriors had been conducting fierce combats against the enemy in 11 countries populated by over 100 million people.

@mod_russia_en
 
‼️ 🇺🇦 🇷🇺 The Russian Army continues its offensive and delivers massive strikes — the main thing from the summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

▪️ In the Artemovsky direction, the Armed Forces of the Russian Federation continues its offensive in the areas of the settlements of Artemovsk, Kodema, Zaitsevo, Soledar. There is a massive artillery shelling on the positions of Ukrainian militants.
▪️In the Avdiivka direction, Russian units are conducting assault operations in the area of Avdiivka, Vodiane and Vesely.
▪️In the Zaporozhye direction, Russian troops fired at military facilities of the Armed Forces of Ukraine in the areas of the settlements of Novoselka, Zaliznichnoye, Gulyai-Pole, Chervonoye, Shcherbaki and Belogorye.
 
Wamekoma.... Na bado.... Waendelee kusupply silaha na Mafunzo ya vifaa vita Ukraine....
 
Aisee kumbe west ni dhaifu sana kwa Urusi.
Sikujua kua sehemu kubwa ya uchumi wa EU unategemea pakubwa urusi.hata USA nae anaihutaji Urusi kumbe kiaina.!!

Sikujua Urusi Ina nguvu nna hii
Fake media zao wamezitumia vibaya sana kuwadanganya Wanadamu on literally everything.Hata sisi watu weusi wametumia media hizi hizi na soft powers zingine Kama films nk,kutufanya tudhalilike duniani na tujione hatufai,but we are the best race on earth!Watu hawa ni wabaya sana, I hate their character.Mti Wenye matunda lazima upigwe mawe.Sisi Waafrika Wazungu wametupiga mawe sana,ndio maana tunajidharau na Dunia inatudharau.
 
Viva Putin,we are fed up of the evil, brutal hegemony of the US and it's allies.We have to strive for a Multipolar fair World where everybody will leave a happy, healthy and lead a respectable satisfying life.Please Putin help us in achieving that noble goal,we support you 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…