kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hakuna huruma,ni kipigo mpaka Waite maji mmaa [emoji12][emoji12]Tazameni hii video mpaka mwisho muone jamaa walivyo kufa na wengine kukimbia wameacha silaha zao nyingi hii ndio Counter offensive sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijakataza ni ushauri,Ila si vizuri ku-mislid watu,kwa hiyo lazima tuseme.Ni uungwana tu kwamba taarifa unayowaletea watu iwe credible.Sasa tutajifunza nini kama unatuletea uongo,tulishe akili zetu garbage no,haifai,atleast not me..Wewe Mathanzua acha upuuzi wa kukataza watu wapost habari kama huzipendi kausha.
Mkuu vunjo leta habari as long as zina source kuna mihabari mingi humu ya kina mohamedidrisa789 hazina hata source au source ni account za twitter na hawasemi chochote kwakuwa zinaegemea upande wao.
Humu kila mtu alete habari kama unaona ni fake au unaumia potezea tu huyo mathanzua kuna kipindi waligombana humu na pro russia wenzie kwa kuchanganya battle field na mambo ya imani yake ni mpuuzi wa kupuuza.
Huyo jamaa nimeshampuuza baada ya kuona ana mahaba mazito na Russia.., nitaendelea kuziamini habari za VUNJO ...,atakayekereka , ignore baton haiko mbali [emoji106]Wewe Mathanzua acha upuuzi wa kukataza watu wapost habari kama huzipendi kausha.
Mkuu vunjo leta habari as long as zina source kuna mihabari mingi humu ya kina mohamedidrisa789 hazina hata source au source ni account za twitter na hawasemi chochote kwakuwa zinaegemea upande wao.
Humu kila mtu alete habari kama unaona ni fake au unaumia potezea tu huyo mathanzua kuna kipindi waligombana humu na pro russia wenzie kwa kuchanganya battle field na mambo ya imani yake ni mpuuzi wa kupuuza.
Ignore now,why wait.Wameshindwa kuni-ignore akina Kiranga na Yoda,staunch NWO minions,morons and stooges itakuwa wewe....Huyo jamaa nimeshampuuza baada ya kuona ana mahaba mazito na Russia.., nitaendelea kuziamini habari za VUNJO ...,atakayekereka , ignore baton haiko mbali [emoji106]
Zelensky ni a drug pusher mkuu,kwa hiyo anayo fanya hayashangazi.Remember he is also a drama and drag Queen!Dictator Zelensky akiua wananchi kwa mateso baada ya kupigwa vikali. Na jeshi la Urusi
View attachment 2345120
Leteni source ya habari au Zikiwa upande wa Pro russia hakuna haja ya kuwa credible news? MathanzuaDictator Zelensky akiua wananchi wasio na hatiaView attachment 2345124
Siwezi Nika ignore mtu yeyote hapa jukwaani,Ignore now,why wait.Wameshindwa kuni-ignore akina Kiranga na Yoda,staunch NWO minions,morons and stooges itakuwa wewe....
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tazama wale walio sarenda si hawa hapa tunawahoji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I salute Russia.Yapi kayafanya Zelensky,sana sana ni kuwa-execute tu wananchi na kuwafanya kuwa human shields.Hovyo kabisa.View attachment 2345157View attachment 2345158View attachment 2345159View attachment 2345160View attachment 2345161View attachment 2345162View attachment 2345163
A view of one of the new residential complexes in Mariupol with the participation of the head of the Donetsk People's Republic and Russian officials.
Ivi unafatilia habari au unaongeaongea tu imradUsipotoshe ndg yangu,toka uanze kutuletea mapichapicha ya wanajeshi wa Urusi huko kherson wana hali mbaya halafu hata km moja hawajapoteza au Ukraine haijaongeza hata kilometa 5,uko serious kweli?
No,kama unaona siku zote mtu ana-leta taarif ambazo wewe huwezi kujifunza chochote kwake,unamu-ignore.Ulisema kwamba uko karibu kuni-ignore,ikiwa na maana kwamba sina maana yeyote kwako in terms of information exchange,ndio maana nikasema ignore me now,why wait.Siwezi Nika ignore mtu yeyote hapa jukwaani,
Kwa nini nikuignore Sasa[emoji848] hiyo Haina maana
Mimi namaanisha ukiona nakukera wewe ignore tu,
Kublock watu ni ujinga,hiyo Hali inaonyesha hujakomaa vya kutosha kupokea maoni yasiyokupendeza