Picha zinatisha sana hizi lakini hakuna namna.., viongozi wa dunia walipokuwa wakipishana Moscow kumsihi Putin asivamie yeye aliwaona wapuuzi tu, huku akiwawekea meza ndeefu Ili wasimdhuru,
[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]Urusi kaingia geto la kiume na kimini
Tazama warusi wanakimbia kwenye mahandaki kama panya ila drone inawaangushia bomu tunawamaliza hawa ni wepesi tu.
Umeambiwa ukikua utajitambua!Eti unafanya huu upuuzi kuwakera watu!Really?Hii ndo jamiiforum "" where we dare to talk openly ""
Umenipata bwashee?[emoji41][emoji41]
Fanya tathimini ya likes unazopata na nani kakupa ndio ujipime kuwa watu wanakuelewa au wanakuona bwege na kukupuuza!Mlikuwa mmeugeuza huu Uzi kama sehemu ya kupiga porojo,na kuleta article ndeefu zisizo na uhalisia,..Mimi nilikuwa nawacheki tu hata kabla sijaamua kuwa member rasmi wa jamiiforum
Nilipozichoka hizo porojo zenu nikaamua kuingia front line kutetea ukweli..., uzuri ni kwamba sioni shida hata mtu akiniblock maana natambua jamiiforum Ina viewers wengi kuliko members wenyewe.., hivyo tunachokiandika hapa zaidi ni Kwa faida ya external viewers,
Huu Uzi haukuwekwa kwa ajili ya kulipigia promo taifa la urusi Kwa article zenu za kuokoteza kwenye telegram za warusi.., never..,hatutakubali...,upotoshaji mlioufanya unatosha Sasa
Sisi tutaendelea kuwaletea ushaidi wa """video game"" kutoka front line
Hivi ukipiga hiyo ignore button,maana yake content zao hutaziona?Piga Ignore button.
Pengine hata wameingia ubia na hao wenye vichanel YouTube,waforce views Kwa malipo kiasi!Hili nimeliona kuna vikundi vya vijana wa ovyo wako JF ili kusambaza propaganda za West na vile vivideo vyao vya youtube.
Hapo ndio wajue US kawaingiza Cha kike!🇱🇹Lithuanian fertilizer plant closes due to Russian gas prices
The largest fertilizer plant in Lithuania, Achema, reported its lack of competitiveness against the backdrop of products from Russia and the United States.
“The fertilizers we produce are becoming uncompetitive compared to the products of American and Russian manufacturers,” the plant said.
❗️Recently, the six largest industrial plants in Europe have not been able to cope with rising energy prices and have announced a halt to work.
Ila Ukraine anapata Raha sana huko kherson!Come on!Urusi inapata tabu sana huko Kherson!
Umeambiwa nimekuja hapa kutafta " likes" wewe jamaa utakuwa na mtindio wa ubongo sio bure..,hata makahaba wanaojiuza wanapata likes sana huko Facebook na Instagram kuliko wanaopost vitu vya maana...,like zisikudanganye wewe bibie,,Fanya tathimini ya likes unazopata na nani kakupa ndio ujipime kuwa watu wanakuelewa au wanakuona bwege na kukupuuza!
Unaweza ukahisi unaandika yenye tija kumbe unaonesha ufinyu wa maarifa ulionao!Bahati mbaya tu hujulikani ndio maana ni rahisi kwako kuubeba Ujinga Kwa kujua au kutokujua!
Kulikuwa na wengi kama wewe,lakini baada ya kuona wamejidhalilisha vya kutosha basi wakazikacha ID zao na kufungua nyingine!
Kwasababu ID Yako ni mpya,nashawishika kuamini unayo nyingine ila hii unaitumia kuharisha humu jukwaani!
Unagangaika sana wewe jamaa, nadhani utakuwa mpiga deki wa Putin, maana SI kwa mahaba haya[emoji848][emoji57]Ila Ukraine anapata Raha sana huko kherson!Come on!
Tulieni huyo super pawer wenu kwa mchongo apewe doziHapo ndio wajue US kawaingiza Cha kike!
Wala siwezi kuingia kwenye vita ya matusi na wewe!Ngoja nikuoneshe ufinyu wa fikra zako,kwenye hoja zote umeona likes tu,na Hilo ndio umeshuka nalo hapa!Hii ni dalili Moja ya mtu aliyefungia akili yake ndani ya box,u can not think properly!Ur brain needs to be stretched!Umeambiwa nimekuja hapa kutafta " likes" wewe jamaa utakuwa na mtindio wa ubongo sio bure..,hata makahaba wanaojiuza wanapata likes sana huko Facebook na Instagram kuliko wanaopost vitu vya maana...,like zisikudanganye wewe bibie,,
Bora hata usingeniquote!Unagangaika sana wewe jamaa, nadhani utakuwa mpiga deki wa Putin, maana SI kwa mahaba haya[emoji848][emoji57]
Hivi sio kwamba nabishana na kichaa kweli??? [emoji848][emoji848]Wala siwezi kuingia kwenye vita ya matusi na wewe!Ngoja nikuoneshe ufinyu wa fikra zako,kwenye hoja zote umeona likes tu,na Hilo ndio umeshuka nalo hapa!Hii ni dalili Moja ya mtu aliyefungia akili yake ndani ya box,u can not think properly!Ur brain needs to be stretched!
Ni hivi,wewe umesema uko hapa kutoa elimu Kwa viewers,Sasa kweli hao viewers wako hawakupi hata like kuonesha kwamba wanapata hiyo elimu unayosema unaitoa[emoji2]!Hili sio jukwaa la makahaba au masihara,humu Kuna watu timamu!
Grow up!