Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Barikiwa sana kwa maelezo yako yaliyo kwenda shule, once again thanks a lot - naona umesahu kidogo kuwakumbusha some members kwamba actually mpaka sasa Urusi inatumia asili mia 2% tu ya uwezo mkubwa wa nguvu ya jeshi la lake, wangapi wanajua ukweli huo??
 
Umeongea point Sana mkuu, tatizo tuna % kubwa ya viongozi wapumbavu ambao ndiyo decision makers wetu, Kwa hiyo inahitajika nguvu kubwa kufanya hayo mabadiliko
 
Tazameni hii video mpaka mwisho muone jamaa walivyo kufa na wengine kukimbia wameacha silaha zao nyingi hii ndio Counter offensive sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watu wao wanauwawa hivi wao wamekazana na kete Moja tu ya gesi

Kweli ukiwa mbabe akili utazikia tu,[emoji57]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uchambuzi umeegemea upande wako ndio unaukubali angesifia Ukraine ungesema anajaza jamvi
 
Yeah, nimeona Al Jazeera Pia.

1. Nordsteam 1 pipeline will be halt until sanctions lifted.

2. OPEC Members wamekubaliana kupunguza oil output, wata review tena October.

3. Gas price imepanda 400 times Y - to - Y
 
Plans for a referendum for the Moscow-controlled Ukrainian region of Kherson to join Russia have been put on hold, a pro-Kremlin official in the area has said;

“We have prepared for the vote, we wanted to hold a referendum in the near future, but because of all the events that are occurring, I think that we will pause for now,” Kirill Stremousov said in remarks broadcast by Russia’s Rossiya 1 TV channel.
 
Nikurebishe katika haya mkuu:-
1.Urusi sio weak sana millitarily kama unavyodhani.Kumbuka in supersonic missile technology na nukes, Urusi ndio wenyewe,bila kutaja submarine technology.Navy yao pia ni excellent.Naomba ukumbuke kwamba kwa sasa,Russia is fighting the US,NATO and Europe,with Ukraine only being used as a proxy,yet it is winning the war in Ukraine.So it is an extremely strong army in any standard.Tena usisahau kwamba ipo Vita ya uchumi inayo endelea kati ya Russia Vs US na Europe.In this war Russia has won without any doubt.I must say at this juncture,Viva Russia.Urusi ina strengths zake nyingi millitarily in terms of millitary hardware,Cyberwarfare and Space weapons.Urusi kwa sasa ina uwezo wa ku-disable Satilites zote za US.This means that Russia can disable the US GPS system,ikiwa na maana kwamba Urusi ina uwezo wa kufanya vifaa vyote vya Vita vya Marekani vinavyotumia GPS kuwa disfunctional,ambavyo ni vingi,which is an exceedingly huge advantage.

2.Urusi kuipiga kwanza Kiev na kuondoka,ilikuwa war strategy,sio kushindwa vita.Zipo command sites nyingi Kiev, ambazo ilikuwa lazima kuzi-disable kwanza,ili waweze kuishambulia East Ukraine bila bughdha,yaani Donbass,Luhansk na Donetsk regions.

Naomba ukumbuke kwamba Ukraine haikuwa na Jeshi dogo.NATO iliwa-equip sana na kuwa-train for 8 solid years, ili iwe kama proxy ya kuisambaratisha Urusi,kwa hiyo si Jeshi la kubeza hata kidogo.Infact it is said to be one of the strongest armies in Europe.Kwa nini Donbass,Luhansk na Donetsk regions,kwa kuwa huku ndiko Ukraine ilikokuwa ime-concentrate majeshi yake na ndiko ambako ethnic Russians wako concentrate,who they wanted to protect.

Nataka pia ujue kwamba Central na Western Ukraine hakuna vipingamizi vyovyote vya maana kijeshi,wakishafanikiwa kuiteka East Ukraine,Central na Western Ukraine ni kutembea tu.

Those are the important points I thought I should highlight,otherwise the majority of your points are sound and correct.I must however admit that because of time constrain,I have not been able to go through your comment thoroughly.The foregoing two points are the ones I have been able to gather quickly.
 
🇷🇺Vladimir Putin said that the tragedy in the Donbass is the result of the activities of the neo-Nazi regime

According to the president, all attempts to resolve the issue peacefully were unsuccessful. He noted that he was struck by the courage of the inhabitants of Donbass, who defend their republics at the forefront - they fight better than professional soldiers. He spoke about this during his speech at the youth environmental forum in Kamchatka.

What else did the president say:

- Russia is the “land of the rising sun”: our country begins with a person, wherever he lives, but geographically Russia begins with Kamchatka, this is a special place;

— In Russia, the plan for waste disposal was doubled;

- I admit that those who predict the death of mankind in case of ignoring environmental problems are right.⚡
 
Asante kunitag. Kachambua vizuri na it makes sense mfano suala la gesi nakubaliana nae ila kusema kwamba Ulaya itaishiwa ghala la silaha kisa kuisaidia Ukraine nalikataa hilo. Wala kusema Marekani itawekewa vikwazo na Asian countries baada ya Ulaya kuanguka kisa gesi ya Urusi kukatwa nakataa vilevile. Kwani Russia ikiipiga Ukraine ikaitwaa kisha ikakata gesi kwa Ulaya inapungukiwa nini, mbona unahangaika hadi sasa mpaka Ukraine imeanzisha counter offensive. Bado naona udhaifu wa jeshi lao.

Silaha zinazopelekwa Ukraine nyingi ni versions za zamani. HIMARS zilianza za zamani ila wakaongeza GMRS za kisasa, Gepard za Ufaransa zilishaacha kutumika uko kwao, Bushmaster IFV za Australia zilitumika vita ya Iraq na Waingereza walishaunda nyingine za uwezo mkubwa. AGM-88 zinazoua S-300 zote ni old version. Poland ambayo imekomba vifaru na kupeleka Ukraine ni kwamba imevichoka, ilikuwa na mpango wa kuvitunza kwenye ghala ichukue vingine. Kuna silaha nyingi za NATO wao wamezichoka ila Ukraine inazihitaji. Italy ina Leopard 1 MBT zilizoundwa na Oto Melara kwa leseni, ziko outdated kwa level zao. Canada ina Leopard 1 MBT vilevile na ziko modified ila hawazitaki tena. Hizi silaha zikikutana na silaha za Mrusi zinaonyesha uwezo. NATO mara nyingine wanatoa silaha nyingi kwa mfumo wa phasing out ili wapate mpya. Poland ilitaka itoe Mig-29 zote kwa Ukraine, bado hawajazitoa ila hawazitumii. Kuwaza eti kuna nchi ni wajinga watatoa silaha zote waishiwe ni sawa na Kusema USAID itagawa hela zote za Marekani mpaka Federal Reserve iishiwe.

Na pia NATO unabadili mifumo kabla ya kutuma hizo silaha. Ujerumani ilitumia muda mwingi kabla haijatoa Pz2000 howitzer kutengeneza software mpya na kuijaribu, tena ilikuwa na kasoro maana walikurupushwa. Italy ilitoa mine resistant vehicles ikazitoa mfumo wa mawasiliano wa NATO. Ukikamata zana na injini zake kapambane ukeshe ujaribu bahati yako, jambo la muhimu huwa ni blueprints na ndizo China hucheza nazo.

Tatizo la humu mtu ukiweka uchambuzi ujipange kujadili 80% matusi na 20% content jambo ambalo nowadays siko tiyari nalo. Matusi najua sana ila muda sasa ndio nakosa. Na uzi unajazwa porojo ndio maana ni kama naupotezea kiasi, nadhani itabidi tuje kuongeza ufahamu sio kupimana uwezo wa kutukana
 
🆕🔥🔥🔥On the last day, the Ukrainian Armed Forces heading towards Kherson lost:
  • killed and injured - more than 220 people;
  • 35 units of military equipment were destroyed, including 11 tanks, 7 infantry fighting vehicles, 8 armored combat vehicles, 9 modernized pickups;
  • 1 Mi-8 helicopter of the Ukrainian aviation was composed;
  • 2 temporary deployment points were hit;
  • 3 weapons depots and more missile and artillery ammunition of the Ukrainian Armed Forces were destroyed, where 1,500 rockets for multiple rocket launchers were stored, including more than 200 missiles for HIMARS multiple rocket launchers;
  • Air Defense Forces shot down 4 HARM anti-radar missiles, intercepted 34 HIMARS, Uragan and Alder multi-launch missile systems shells in the air🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…