Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine Ni nchi ya pili kws ukubwa kieneo katika bara ulaya. Unasema nchi ndogo kweli?
Ni nchi ndogo sana kwa Russia na siyo kwa uingereza.
Kwa tulivyoaminishwa kuwa Russia ana silaha nyingi na kali ingechukua miezi 2 tu kuisambaratisha Ukraine. Matokeo yake mpk sasa anakomaa
 
Hao wazamiaji ,mmarekani ukiwa RAIA halali hukosi pa kuishi,wala kula ,tatizo kule wazamiaji weng alafu siyo waaminifu hivyo hata kupewa kaz za vibarua inakua ngumu,ila kama una documents halali hukos pa kuhemea mkuu sure I tell u
 
KWANI VIPI KULE KHERSON SI ILIKUWA KAMA IVI ILA MWISHO WA SIKU MMEKIMBIA NA COUTER OFFENSIVE IKAISHIA HAPO.SASA MPO KHARKIV,MSIJISAHAU NAPO KUWA WARUSI SIO WAJINGA KUTELEKEZA UWO MJI.MUDA UTAONGEA
Washakimbiana siwaoni leo wanasaka articles hakuna inayoeleweka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
KWANI VIPI KULE KHERSON SI ILIKUWA KAMA IVI ILA MWISHO WA SIKU MMEKIMBIA NA COUTER OFFENSIVE IKAISHIA HAPO.SASA MPO KHARKIV,MSIJISAHAU NAPO KUWA WARUSI SIO WAJINGA KUTELEKEZA UWO MJI.MUDA UTAONGEA
Nani kakwambia tumekimbia ,we unafikir jeshi lote tumepeleka Kherson, hapa tnaua ndege 2 kwa wakat mmoja
 
Hizi ni porojo za alinacha.Ushahidi wa the West umethibitishwa kwa personnel wa nchi za Magharibi kukamatwa,matamshi ya viongozi wa nchi hizo kusema wazi wanasaidia na hata vifaa vyao kukamatwa maeneo ya mapambano!Na wewe lete uthibitisho kama huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…