Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Hao hao unaowaunga mkono pamoja na media zenu mnazo ziita zakuaminika ukitoa wewe kwakule sikukuona ukitia neno..."tulisema...." kina nani tuliosema? Nenda ukanitag ambako nilisema ndio tuanze mjadala. Mimi sio msemaji wa kundi lolote humu JF, I present my own understanding sasa kanitag wapi nilisema ili uwe na mashiko. Tofauti na hapo siwezi nikafyatuka kujibu kauli ambayo sikuwa najua hata kama ipo
Hichi kinachotokea wiki hii nadhani hata Marekani haamini kama Ukraine kaweza kufanya alichokifanya tena Kwa mafanikio makubwa makubwa sanaUnaweza kuta ni artillery splinters zile zinajeruhi sana. Zikipigwa zile kwanza mnaweweseka na zinajeruhi vibaya bora risasi. Na ubaya wa majeruhi ni kwamba inabidi abebwe, na huwa anabebwa na watu wawili. Kwahiyo mkiwa mnaretreat na kudefend position mko 20, akijeruhiwa mmoja hesabu hapo kijeshi inahesabika watu watatu wako out of action. Ndio maana majeruhi hujumlisha na waliokufa kwenye casualties, then baadae wanatengwa list ya vifo
Hao Askari waliokufa Ukraine number katoa nani kama sio Russia, unategemea atasema nn kama si kupika nambaMtego wa KUPOTEZA ndoano yaani uue askari in thousands? Kherson walifeli . Zelensky akalazimisha makamanda wakamuambia hapo haiwezekani .Plani ilikua kuichukua Kherson fasta na Kremia ndio mipango yao ya snake Island na mashambulizi ya warehouses na bridges . They had a roadmarp
HahahahaUkraine anagongwa na Chechen tu.
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]News from the Soledar direction: the allied forces continue to move forward
"Our fighters are systematically knocking the enemy out of the fortifications. As a result, another captured fortified area, wrecked equipment and captured infantry fighting vehicles," Kadyrov wrote[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
View attachment 2352854
Nendeni front line mkamsaidie super pawer wenu maana anapata tabu uko[emoji2]Ukraine anagongwa na Chechen tu.
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]News from the Soledar direction: the allied forces continue to move forward
"Our fighters are systematically knocking the enemy out of the fortifications. As a result, another captured fortified area, wrecked equipment and captured infantry fighting vehicles," Kadyrov wrote[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
View attachment 2352854
Jamaa wako biased sana Hawa, hawaamini wanachokiona.., tuliwaambia mara nyingi sana kuwa dhulma haiwezi kuishinda haki, [emoji120]Hao Askari waliokufa Ukraine number katoa nani kama sio Russia, unategemea atasema nn kama si kupika namba
Ukraine wamepigika sana kwa ule mtindo wa kupigana kama karne ya 11 munapiga kelele huku mkimguata adui kwa maelfu na mishale yenu . SASA watu 4000 kwa siku mbili si mchezo. Russia anarudi hayo maeneo . Troops ndio KWANZA zimetoka mazoezini na mchina . Hapo badala ya kushabikia ki bwege ni vema kuanza kilio
View attachment 2352863
🇷🇺 Solntsepyok heavy flamethrower system crews from Izyum-Balakleya group of troops distinguished for their courage and bravery while conducting intense fights against AFU units
💥 Servicemen have succeeded in detecting enemy's positions and launching attack by the heavy flamethrower system.
#Russia #Ukraine
@mod_russia_en
Hahahaha....Kumbe jeshi la Urusi lilikua linapigana kindugu,sasa mbona walikua wanafanya carpet bombing pale kwenye kiwanda cha chuma Mariupol walimokua wamejificha wanajeshi wa Ukraine?!This time around jeshi la Russia halitakuwa na huruma ya kupigana vita kindugu ndugu kisa? eti ya kujali Waslav wenzao, hilo Putin asahau kabisa na kufumba macho, akumbuke ushirika wa NATO na Kiranja wao mkubwa hawaitakii mema Russian wanatamani na kupanga Urusi iwe destroyed in totality making sure it will never ever rise again to threaten western specifically US interests, wako determined kweli kweli kulitekeleza hilo kwa kupitia vita ndani ya Ukraine.
Now back to the main point - naona safari hii Putin yuko determined ku-address this proplem once and for all - ndio maana hakuvunja madaraja aliweka mtego jeshi la Ukraine liingize zana za vita pamoja na wanajeshi wengi wakidhani jeshi la Urusi limekimbia mapigano kumbee.....
Jeshi la Putin likisha weka mambo sawa, basi, jeshi la Ukraine litapata kipigo kitakatifu - Zelensky, jeshi lake na wafadhili wao wakubwa hawataamini kilicho wasibu na safari hii Zelensky atatoroka Kiev na kutokomea kusiko julikana au jeshi lake litampindua kwa kuepusha hasara zaidi za vifo ya wanajeshi, raia na infrastructures hivi sasa Zelensky amekwisha kuwa riability kwa taifa lake na sio asset tena.
Narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena kuwa Putin atawafyekelea mbali kwa kutumia silaha ambazo haja anza kuzitumia kwenye front line - jeshi la Ukraine naamuluki kutoka EU/Uingereza/US na Canada wataanza kuimba na kuzungumza Kilatini (Dead language) nawambieni, wiki moja mbili zijazo tutaanza kushuhudia msafara wa Ukrainian soldiers and muluki kutoka EU/UK/US na Canada POWs.
Hahahaha....Kumbe jeshi la Urusi lilikua linapigana kindugu,sasa mbona walikua wanafanya carpet bombing pale kwenye kiwanda cha chuma Mariupol walimokua wamejificha wanajeshi wa Ukraine?!
Kubalini tu Russia Kala kichapo,wanajeshi wake kibao wametekwa Kharkiv pamoja na vifaa tele,yaani kiufupi tunaweza sema Russia ameipatia Ukraine kifurushi cha silaha kama ambavyo Marekani hufanya. Hivi ni silaha gani ambayo huyo Mrashia hajaitumia huko Ukraine ukiacha Nuke?! Kashatumia Kalibr cruise missiles,Iskander,kh-101 cruise missiles,kh-22 heavy ant ship missiles, hypersonics, Thermobaric missiles and bombs,nk. Labda aipige Ukraine kwa nyuklia au afanye mobilization.
Kubalini tu Putin kaingia Cha kike,walimjaza upepo na yeye akajaa.., safari hii jeshi lake litachakazwa mpaka aombe pooHivi unajua maama ya carpet bombing/shock and awe?? Hivi Urusi ikihamua kufanya carpet bombing using her formidable fighter bombers unafikiri utawala wa Zelensky na wafadhali wao watadumu zaidi ya mwezi - watakimbia kusiko julikana - nyie subirini wiki mbili zijazo ili tuona Jeshi la Ukraine litakuwa kwenye hali gani,waulizeni kilicho wapata wachenchenyea walipo jitia kutunia misuri jeshi la Urusi, Syria je, wale ISIS na Daesh kuna anaye fanya fyoko kwa jeshi la Urusi? Hakuna, Waukraine dawa yao hipo jikoni waakuja kulia na kusaga memo kwa kumufuata kiongozi ambaye hana hekima na busara anawatoa kafara vijana nguvu kazi wa Ukraine
Yes Russia anataka watoe nguvu zao zote Ili zoezi la demilitarization litimie . Na litatimia . Russia hahitaji sana maeneo anachotaka ni kuua na kutengua askari wa Ukraine na kuharibu silaha zaoNimegundua Russia kiwango chao cha kushambulia kinatokana na kiwango cha upinzani utakavyokuwa.
Nimeiona reinforcements aliyoipeleka. Mpaka Jumatatu tutapata matokeo ya picha halisi.
[emoji2][emoji2]Tupate Kichekesho kidogo [emoji23]
Kwa kuwa anazidi kupokonywa maeneo Sasa lugha imebadilika" Russia haiitaji sana maeneo"Yes Russia anataka watoe nguvu zao zote Ili zoezi la demilitarization litimie . Na litatimia . Russia hahitaji sana maeneo anachotaka ni kuua na kutengua askari wa Ukraine na kuharibu silaha zao