Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu tupe source ya hii habari.
Kulingana na source za ukraine ni makombola machache tu yamepenya kati ya mengi yalirushwa 11, 2 ndio yamekuwa successful. Leta source yako.
 
Sasa zelensky kakaza mbona hamjaweza kumtoa mpk sasa badala yake mnarudishwa nyuma zaidi
 
Nilisema LAWAMA ZITAKUA DEBE na BADO KAZI haijaanza ni taa tu imezimwa JAMBO lifanyike
Mkuu ndio tulikuwa tunasubiri taa zizimike tangu jana😂 mnachekesha sana team Putin.
Soma hiyo analysis ya watu wenye akili sio kusubiri wakati hamna kinachofanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…