Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lugha yenyewe unayoongea ni ya west ,aka mnawaita mashoga,simu yenyewe unayotumia wamekutengenezea ,mitaala uliyosoma wamekupangia,endelea na uduwanz wa kusema Russia ni mtawala wako.unajitekenya akili
Hii ni comment ya kijinga sana and I do not know why you love it.Eti mitaala ni yao,sijui lugha,sijui simu unayotumia ni yao!Kwani wao wanachukua vyetu vingapi?Kwani bila sisi wange-survive Wazungu.Utajiri wao si mali walizotupora.
Halafuu, kwa kuwa tunatumia sijui lugha yao,sijui simu zao,magari yao,basi wafanye wanavyotaka!Hapana kijana,international trade ni lazima iwepo,na lugha lazima ziwepo for purposes of communication,which language you use is not very important,communication is key.

Finally your comment shows clearly your ignorance and low thinking capacity.Ume-expose mno your stupidity.
 
Ni jambo la kawaida kwenye uwanja wa vita.Kharkiv nafikiri ndo sehemu iliyodondoshwa mizinga mingi kuliko mkoa wowote ule Ukraine kwa sababu WARUSI wanatoka na kuingia
Ndio! Kukimbia na kutoroka ni jambo la kawaida kwenye uwanja wa vita, sivyo? Safari hii ni Warusi wanaolimbia.
Ni pia jambo la kawaida kudai "Eti mambo yote yanaendelea kulingana na mipango ya awali!."
Akina Hitler walitumia lugha hiyohiyo hadi Aprili 1945. Waliwaambia wanachi wao kwamba waliandaa tego kubwa Berlin, hivyo kuvuta jeshi la Urusi kutoka Moscow hadi Berlin ili kuliangamiza huko!!
Walipata watu walioamini hadithi hii.
Ila - ilikuwa ndoto tu. Mwishowe dikteta alijiua akaacha taifa laka magofuni.

Tuone safari hii itakuwaje. Mpango wa genius kuwadanganya Waukraine kwa kuwalaziisha kwanza kufuata jeshi la Urusi kuko Kyiv, halafu kupoteza silaha za thamani kwenye manowari ya Moscow, halafu kuwalazimisha kurudi Snake ISland, halafu kuwalazimisha kusafiri hadi Izyum !!
Genius anazidi kufanyikiwa!!!
 
At the time of the Russian strike on the Kharkiv CHPP, the subway in Kharkov was also put out of service.

First time in 40 years.

View attachment 2354002
Russia wa-disable satellites zote ambazo zina-provide GPS services for Ukraine Millitary equipment which use GPS services,hilo litakuwa pigo la mwisho.
 
New missiles launched at Ukraine by Russian Navy — Pavlograd Air Defence Systems reportedly active (at least they’re trying)
Hongera!! Kujaribu ni nusu (au angalau robo) ya mafanikio.
Ila kweli silha hizi zimekuwa haba sana!
Labda vikwazo vya kitekinolojia vinafanya kazi?
Labda madai yale ya awali eti silaha bora (na tekinolojia yote ya kisasa) ya Urusi zinategemea vipuli za "magharibi" ni kweli??

Lakini kujaribu ni vizuri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…