Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu Nkuba25 sio kweli kulingana na tafsiri yako. Kwanza nikuulize hiyo habari umeisoma?
Na attach hapo chini halafu ona tafsiri yako kama ni sahihi.View attachment 2354139
Kwa akili zako sasa wewe mwerevu Je,
KICHWA CHA HABARI NA HABARI ILIYOANDIKWA VINA CORRELATE (SHABIHIANA). Nkipata jibu hapa ntajua naongea na mtu wa namna Gani.
 
Kwa akili zako sasa wewe mwerevu Je,
KICHWA CHA HABARI NA HABARI ILIYOANDIKWA VINA CORRELATE (SHABIHIANA). Nkipata jibu hapa ntajua naongea na mtu wa namna Gani.
Kwahiyo unasoma kichwa cha habari au habari yenyewe? Habari ndio imebeba ujumbe sio kichwa cha habari.
Akili za ajabu kabisa hizi.
 
 
Pro NATO nikupe history moja, hapo zamani Israel was very weak hadi siku moja kiongozi mmoja shujaa alipoanzia vita Palestine kuchukua maeneo ya watu aliokuwa anaita Historical Jews land.

Matokeo yake ni kushinda na dunia nzima kumuona shujaa 😎
 
Russia ni overrated tu, nilikuwa namwaminia lakini kwa anachofanywa pale Ukraine ni aibu sana
Mkuu wewe kumuamini au kutokumuamini mrusi doesn't really matter! You are just a nobody your opinions doesn't and won't count!

The top eight most powerful militaries as of January 2022:
United States Russia China India Japan South Korea France United Kingdom

~ USToday

Urusi ni wa pili kwa military bora zaidi duniani kwa mujibu wa wataalamu wa magharibi. Kumbuka kwenye military budget Urusi ni wa nne nyuma ya US, Chin, India, na UK. Hapo utaona ni nani ambaye jeshi lake lipo effective linganisha budget yake na ubora wake.

"We will not fight a war against Russia in Ukraine. Direct confrontation between NATO and Russia is World War III -- something we must strive to prevent," Biden said.

Vikwazo zaidi ya 60k uchumi bado uko imara
Miezi mitatu ya vita na haelekei hata kupungukiwa silaha
 

Russia has lost patience with Ukraine,I believe it has now decided enough is enough: Launches MASSIVE missile barrage - hitting POWER PLANTS for first time​



2:04 PM EDT Sunday, September 11, 2022 -- Within the past three hours, Russia has launched (and continues to launch) a massive barrage of cruise missiles against Ukraine. For the first time, they are hitting Electric Generating Stations. Blackouts are now reported in many areas of Ukraine.
Sources inside the war zone caught video of Russian naval vessels, surface and submarine, launching "Kalibr" cruise missiles in almost every direction!
Updates coming within minutes . . . check back

VIDEOS
Below showing the launches coming from naval vessels, being fired in MANY DIFFERENT Directions!
Below a video showing some IMPACTS




UPDATE 2:27 PM EDT --
Power stations hit, multiple western Ukrainian cities lost power.

Poltava, Sumy, Kremenchug and Kharkov lost power as well


UPDATE 2:29 PM EDT --
Reports coming from Ukrainian sources that, IN ADDITION TO THE CITIES LISTED ABOVE, Dnepropetrovsk, AND THE ENTIRE OBLAST OF ZAPOROZHYE have also been hit with total electrical blackouts.
This targeting of electric generating plants is a major change from how Russia has conducted itself for the prior 6+ months.
(HT REMARK:
This . . . this right here . . . is going to turn the Ukrainian people against the Kiev regime. I suspect it will do so, fast.)

UPDATE 2:33 PM EDT --
Images are beginning to come in showing burning power plants. Below, the Zmiev power plant burning at the very bottom of the image, after being hit by Russian Navy:

MORE:
Kharkiv Combined Heat-and-Power Plant (CHPP) No. 5 (Kharkiv CHPP-5), one of the most powerful CHP-plants in Ukraine— located near the village of Podvirky; was also hit .


MORE:
Dergachev city administration reports missile attacks on critical infrastructure.

Heating and power out


UPDATE 2:38 PM EDT --
The high voltage transmission lines have been knocked down in the Sumy region - the head of the OVA Dmytro Zhyvitsky has announced. He says "Russia’s Navy is obliterating Ukrainian infrastructure."
(HT REMARK:
For 6 months critical infrastructure was not obliterated, broadcasting systems were not shut down. Even major transportation hubs were not destroyed. It looks like the gloves came off...)

BULLETIN
2:45 PM EDT --
Public water supplies in Kharkov and in Dnepropetrovsk are now OFFLINE. No running water.

UPDATE 3:00 PM EDT --
Ukrainian residents ordered to disconnect devices from the ELECTRICAL GRID as power equalization efforts begins amid Ukraine’s struggle with remaining reserves.


Power Plants Bombed/Exploding/On-Fire:
(Working to verify which is which as images coming in fast and furious)


Another one:

And a THIRD:


And a fourth:


UPDATE 3:07 PM EDT --
Electric trains stop across ALL Ukraine as power goes out amid hits on critical infrastructure.


Ukraine’s air raid alarm map warning system . . HAS STOPPED WORKING

SATELLITE VIEW OF UKRAINE BLACKOUT

MAP OF DESTROYED POWER PLANTS
Ones marked in color RED
I have received an initial report saying the power plants showing in RED below are either offline or destroyed:



CONFIRMATION: TRAINS ALL STOPPED
Video below from a train tunnel in eastern Ukraine confirms Train Service is now OUT in Ukraine:

UPDATE 6:01 PM EDT --
In addition to Multiple major power outages there are major water stoppages being reported, by Ukraine, In Kharkov, Kyiv, Kremenchug, Pavlograd, Poltava, Dnepropetrovsk & Sumy regions

POWER PLANT FIRE UPDATE - 6:05 PM EDT
In the UPDATE 2:33 PM shown above, we reported that Combined Heat and Power plant (CHPP) Number 5 in Kharkiv had been hit by a cruise missile and was on fire. We now have video from that very scene below.

UPDATE 10:15 PM EDT --
Power outages have now spread to the neighboring countries of Moldova at the southwest of Ukraine and to . . . Poland at the northwest of Ukraine. Border crossing areas at the Poland Border appear to have no electricity.
In addition, INTERNET CONNECTIVITY has plummeted throughout Ukraine as shown on the chart below:
 

Attachments

  • Russia-Missile-Launches-1.mp4
    1.5 MB
  • Ukraine+"Calibration"+continues....mp4
    2.8 MB
  • CHPP-5-Fire.mp4
    784.2 KB
  • UkraineTrainsSTOP-PowerOff.mp4
    3.7 MB
Kwenda shule ndio nini bwana mdogo?
Any way nimekujibu upuuzi kwa sababu na wewe ni mpuuzi.
Hii itakuwa mara ya mwisho kujibizana na wewe.

Habari iliyoanzisha huu mjadala na wewe ni hii hapo onesha ni wapi bbc kaandika kama ulichosema wewe.
 
Kwani hawa watu weupe wamewapa nn baadhi ya member humu? Mbona wana uchungu sana?
Kuna watu humu wanatukaniana baba zao kuwa ni mashoga waliozaa machoko, wengine wanaitana wapumbavu chanzo cha yote ni putin na zele. 😀 😀 😀 . Hizi hormon na vibration zinazozalisha hasira Putin anapokosolewa au Zele anapokosolewa zinatokana na nn? Kabla hujatukana embu jiulize hilo swali kwanza. Kwann upandwe na hasira sababu ya zele au putin?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliaminishwa kuwa jumatatu kutakuwa na kitu special, bado naona maluweluwe tu [emoji848]
Ndugu una hamu na hilo....endelea kusubiri ila 'mchezo' unaendelea huko Ukraine....Tuendelee kuwaombea raia wa Ukraine ambao wametumbukizwa kwenye shimo la mauti na wanasiasa uchwara.
 
Kawaulize kule kwenye EPL , mashabiki wa Chelsea, Man City, Man U, Arsenal n.k. Hapa unajichosha na kuchosha watu tu.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
ukiacha belarus, mataifa mengine yaliyokuwa sehemu ya soviet union yamekaa kimya yakiangalia uharibifu unaofanywa ukraine na urusi, hii ndio headache aliyonayo putin. urusi inajitahidi kujizuia kutofanya baadhi ya mambo ili kulinda image yake, ukraine inalifahamu hilo na inailazimisha urusi ifanye vitu ambavyo haikutaka kuvifanya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…