Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Nadhani huzijui nchi za Soviet Union.ukiacha belarus, mataifa mengine yaliyokuwa sehemu ya soviet union yamekaa kimya yakiangalia uharibifu unaofanywa ukraine na urusi, hii ndio headache aliyonayo putin. urusi inajitahidi kujizuia kutofanya baadhi ya mambo ili kulinda image yake, ukraine inalifahamu hilo na inailazimisha urusi ifanye vitu ambavyo haikutaka kuvifanya,
[emoji779]️Ukraine Suffers Massive Blackout After ‘Russian Strikes’ukiacha belarus, mataifa mengine yaliyokuwa sehemu ya soviet union yamekaa kimya yakiangalia uharibifu unaofanywa ukraine na urusi, hii ndio headache aliyonayo putin. urusi inajitahidi kujizuia kutofanya baadhi ya mambo ili kulinda image yake, ukraine inalifahamu hilo na inailazimisha urusi ifanye vitu ambavyo haikutaka kuvifanya,
Hii ni ajabu sana aisee,unapigana kwa zaidi ya miezi mitatu kuteka miji mitatu..,alafu hiyo hiyo miji mitatu inakuja kukombolewa kwa muda wa saa 48,It was Moscow's worst defeat since its retreat from Kyiv in March -- and a sign that the war might be entering a new phase. Over the past week, Ukrainian forces have recaptured more than 3,000 square kilometers of territory -- more than Russian forces have captured in all their operations since April.
CNN
Kazakhstan haipo upande wa Russia,hata vikwazo vya EU dhidi ya Russia wanavitii. Juzijuzi hapa Russia iliwaonya Kazakhstan na wao kwa kujibu wakaongeza bajeti ya Ulinzi na sasa wanajiweka karibu zaidi na EU na USA kuliko Russia. Kiufupi karibu majirani wote wa Russia hawamuamini sababu ya kutumia ubabe badala ya akili. Hata HIYO Azerbaijan haipo upande wa Russia.Nadhani huzijui nchi za Soviet Union.
15 republics—Russia, Ukraine, Georgia, Belorussia, Uzbekistan, Armenia, Azerbaijan, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Moldova, Turkmenistan, Tajikistan, Latvia, Lithuania and Estonia
Zilizoupande wa Russia ni:-
Belarus, Uzbekistan, Kyrgyzstan, Armenia, Azerbaijan, Kazakhstan, Turkmenistan and Tajikistan.
Comment yako hebu jaribu kuipa nyama kidogo.
hizo ni habari za mtaani ila kama unafuatilia mambo utakua unajua kuwa rais wa kazakhstan alishaongea wazi tena akiwa kwenye nkutano na putin kuwa nchi yake haisupport uhuru wa hayo majimbo urusi ilyovamia ikisema yako huru, kazakhstan inaanza ujenzi wa bomba jipya la mafuta ambalo litakuwa halipiti kwenye ardhi ya urusi unajua sababu ni nn? pia wameingia mkataba na turkey kuanza kuzalsha drone km zile anazotumia ukraine unajua kwann? au umekariri, unajua kwann urusi aliichuni armenia hapa juzi mpk ikapoteza nagoro karabakh kwa azerbaijana? au unaish kwa kukariri tu ukiona putin na xi wanachekeana unajua wanaenda sawa kila kituNadhani huzijui nchi za Soviet Union.
15 republics—Russia, Ukraine, Georgia, Belorussia, Uzbekistan, Armenia, Azerbaijan, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Moldova, Turkmenistan, Tajikistan, Latvia, Lithuania and Estonia
Zilizoupande wa Russia ni:-
Belarus, Uzbekistan, Kyrgyzstan, Armenia, Azerbaijan, Kazakhstan, Turkmenistan and Tajikistan.
Comment yako hebu jaribu kuipa nyama kidogo.
si ajabu kadyrov kachanganyikiwa anaona km makamanda walioko mstari wa mbele km wamekosa uzalendoHii ni ajabu sana aisee,unapigana kwa zaidi ya miezi mitatu kuteka miji mitatu..,alafu hiyo hiyo miji mitatu inakuja kukombolewa kwa muda wa saa 48,
Kuna miracle flani kwenye hii advance ya jeshi la Ukraine [emoji848]
wanamind huko kwe blog zao wanataka shoigu atimuliweChawa wa Putin akili imeanza kuwaingia sasa
Taratibu wanaanza kugeukana tu,hata maumivu ya kichwa huanza polepole,si ajabu kadyrov kachanganyikiwa anaona km makamanda walioko mstari wa mbele km wamekosa uzalendo
Hivi you believe anybody serious will believe this.Jeshi la Ukraine limepiga marufuku journalists in the frontline,sasa wewe hii taarifa umeipata wapi.This is fake news straightaway.Mkuu u special wao ni umeme kukata baadhi ya maeneo.😂
Wakati huo huo moto unapelekwa upande wao.View attachment 2354105
Halafu baada ya majimbo kurudi chini ya Ukraine anajitokeza kwa kuficha aibu anatudanganya eti Askari wake walikua likizo[emoji23][emoji23][emoji23]si ajabu kadyrov kachanganyikiwa anaona km makamanda walioko mstari wa mbele km wamekosa uzalendo
Kuna mmoja hapo ana hasira mno kwa yaliyotokeaChawa wa Putin akili imeanza kuwaingia sasa