Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Dada nimekwambia ni vema ukaficha upumbavu wako,unajidhalilisha,
Manaibu 18 mjini Moscow na St. Petersburg wamesaini kumtaka Putin ajiuzuru, umeona hilo?Naa hili ndio lakimsingi tuuombee uzima na uhai Mkuu
[emoji1258][emoji635] The United States fears that Europe, under the influence of the energy crisis, will change its position towards Russia and Ukraine, CNN reports, citing sources.
"The risk (of a split in Europe) is real... citizens in Europe could rebel against the Western strategy of isolating Russia economically," the channel said in a statement, citing U.S. officials.
T14 Armata
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe hesabu basi ya hasara tulinganishe.Gharama ya kutengeneza mtambo wa kuzalisha umeme, mtambo wa kuzalisha thermo power, miundombinu ya maji na mawasiliano ni ndogo ukilinganisha na bei ya kifaru kimoja!!!
Hivi wewe jamaa una akili kweli?
Hivi unaweza kulinganisha hasara ambayo Ukraine imepata kwa kupoteza hiyo miundombinu kwa pamoja na hasara ya Russia ya kupoteza kifaru kimoja
Mpumbavu mkubwa wewe
Walijichanganya siku ya kwanza wakaenda na helikopters pale Hostomel airport na special force yao ya VDV waliambulia miili ya wanajeshi wao. Eti hiyo VDV ndio unanifanya kuwaiga 82nd Airborne Division ya wale watu wenye HIMARS, wakati wenzao kabla hawajafanya hiyo daring mission huhakikisha wana air dominance
mamb yalikuwa magumu wameiba pikipiki baiskeli wakapanda wakakimbia wakaacha vifaru, hvyo ni vizito vilikuwa vinawachelewesha kutorokaHawa wanamgambo wanaacha silaha nzito wanakimbia na trucks. Kuna ratnik mmoja humu anasema madaraja hayana umuhimu, mbona sasa vifaru na heavy howitzers wanaviacha ila maroli wanatimua nayo, hesabu vifaru vinne hapa somewhere in KharkivView attachment 2354551
Waulize wanajeshi wa Ukraine waliodandia mtumbwi wa vibwengo usiku wa jana zaidi ya 300 wameaga duniaMkuu vipi umepata kizungu zungu kwa kichapo anachopewa russia?
Yani we upo mpwapwa huko unaweweseka hivo?
Hahahaha ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopahahaha n sehemu ya mikakati, tukikupiga tunashangilia ukitupiga tunalalamika
wataanza kudondoka madirishani au kwenye ngazi mmoja mmoja, hawamjui putin haoManaibu 18 mjini Moscow na St. Petersburg wamesaini kumtaka Putin ajiuzuru, umeona hilo?
Putin kashapata kibarua cha kuua watu wake wengine
Nakwambia Tena bibie, jitaihid kuficha upumbavu.. kuwa na adabuHauna hoja wewe
Uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana
Whore mkubwa wewe
Hauhitaji hata elimu ya darasani kupata jibuTupe
Tupe hesabu basi ya hasara tulinganishe.
wataanza kudondoka madirishani au kwenye ngazi mmoja mmoja, hawamjui putin haoManaibu 18 mjini Moscow na St. Petersburg wamesaini kumtaka Putin ajiuzuru, umeona hilo?
Putin kashapata kibarua cha kuua watu wake wengine
eeh banah, vita inapiganwa kwa namna nyingiHahahaha ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa
Silaha zote hizi anamwachia adui ,anakimbilia kuharibu miundombinu, hambayo thamani ya matengenezo yake hata kifaru kimoja hakifikii[emoji848]Hawa wanamgambo wanaacha silaha nzito wanakimbia na trucks. Kuna ratnik mmoja humu anasema madaraja hayana umuhimu, mbona sasa vifaru na heavy howitzers wanaviacha ila maroli wanatimua nayo, hesabu vifaru vinne hapa somewhere in KharkivView attachment 2354551
anademonstrate brutality ambayo alikua anajarbu kuiavoid, but wameshamsoma ni vitu gan hataki kuvifanya then wao wanamlazimisha afanye, anataka ashinde lkn image yake isiharibike but hawezi kupata vyoteSilaha zote hizi anamwachia adui ,anakimbilia kuharibu miundombinu, hambayo thamani ya matengenezo yake hata kifaru kimoja hakifikii[emoji848]