mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kule Taganrog ndani ya Russia imeshambuliwa base inayokuwa na IL-76. Haya Warusi wenye air defence system njooni
Hapo lazima wakimbie kwa miguuVifaru vinahitaji mafuta mengi kusafiri. Unatumia lita kama 100 kwenda kilomita 50 hivi ukiwa na T-72 MBT. Tatizo hayo mafuta unakuta yamepungua wanahitaji logistics kuyaleta, na wakati huo uko nyuma logistics centre zimepigwa hivyo wana mafuta kidogo tu. Bora mafuta mjaze kwenye trucks mkimbie faster.
Ammunition waliziacha nazo ni nzito zinahitaji wazipakie kwanza na inatumia muda wakati wanawahi. Hata artillery na howitzers waliziacha nyingi uko.
Kingine ukiwa kwenye kifaru unashambuliwa, ila ukiwa kwenye gari la kiraia wanahisi wewe ni raia, na wale ni Ukrainians sio Warusi hawawezi shambulia raia. Kuna video moja kifaru cha Irusi kilikuwa kinatoroka kumbe njiani Ukrainians washafika wako pembezoni. Warusi walipowaona wakachomoka kwenye kifaru kikiwa mbio. Wakikaa ndani kuna anti ship missiles zitawasambaratisha
Nina uhakika hii video akiona ndugu yangu Bukyanangadi atasema imeeditiwaKule Taganrog ndani ya Russia imeshambuliwa base inayokuwa na IL-76. Haya Warusi wenye air defence system njooni
Vifaru vinahitaji mafuta mengi kusafiri. Unatumia lita kama 100 kwenda kilomita 50 hivi ukiwa na T-72 MBT. Tatizo hayo mafuta unakuta yamepungua wanahitaji logistics kuyaleta, na wakati huo uko nyuma logistics centre zimepigwa hivyo wana mafuta kidogo tu. Bora mafuta mjaze kwenye trucks mkimbie faster.
Ammunition waliziacha nazo ni nzito zinahitaji wazipakie kwanza na inatumia muda wakati wanawahi. Hata artillery na howitzers waliziacha nyingi uko.
Kingine ukiwa kwenye kifaru unashambuliwa, ila ukiwa kwenye gari la kiraia wanahisi wewe ni raia, na wale ni Ukrainians sio Warusi hawawezi shambulia raia. Kuna video moja kifaru cha Irusi kilikuwa kinatoroka kumbe njiani Ukrainians washafika wako pembezoni. Warusi walipowaona wakachomoka kwenye kifaru kikiwa mbio. Wakikaa ndani kuna anti ship missiles zitawasambaratisha
Hiyo ilikua Gas plant wakati Russia anashambulia miundombinu ya Umeme ,maji nkMzinga kama uwo lazima utakuwa umeondoka na mtaa mzima1[emoji17][emoji17].vita sio kitu kizuri kabisa
Hiyo ilikua Gas plant wakati Russia anashambulia miundombinu ya Umeme ,maji nk
Usifananishe terrorism na vita vya ana Kwa ana utakuwa na lack of balancing things.Kwani wewe ulijifunza Operation inatakiwa ichukue miezi mingapi?
Na operation against terror ilichukua miezi mingapi?
Hiyo ni some kind of fuel blast, either gas, mafuta au chemical plant. Nuclear aitoe nani hapo Kremlin, sio serious hivyoSawa ila Kharkiv balaa limetokea tunasubiri tujue hii tsunami imeondoka na wangapi.shikamoo WARUSI maana hii aina tofauti na nuclear.
Hii vita kama itaisha salama sijui yangu macho
Japan ilichakazwa wakati wa WWII na kubutuliwa na Nyuklia juu lakini Leo hii ni nchi ya tatu yenye Uchumi mkubwa duniani.Sasa hii nchi uko mbeleni ukipanda hata bamia zitaota kweli maana ardhi yote imemeza sumu
Hawakosi kisingizioWalipotimuliwa kyiv walisema wanajiondoa kwa nia njema ili kutoa nafasi kufanyika mazungumzo ya aman, huko kharkiv wanasema wameamua tu kujiondoa kwe baadhi ya miji ili wakajipange upya na si kwamba wamezidiwa nguvu
Hahaha, why mnafurahia huo uharibifu nyie watu mna shida gani kwan, token kwenye nchi ya watuSasa hii nchi uko mbeleni ukipanda hata bamia zitaota kweli maana ardhi yote imemeza sumu
Huyu mzee akizidiwa lzm atatumia WMD akili zake anazijua mwnyw,bado anaomboleza USSR anaweza fanya lolote ooohHiyo ni some kind of fuel blast, either gas, mafuta au chemical plant. Nuclear aitoe nani hapo Kremlin, sio serious hivyo
Shetani ni baba wa uongo hujawajua tu?Walipotimuliwa kyiv walisema wanajiondoa kwa nia njema ili kutoa nafasi kufanyika mazungumzo ya aman, huko kharkiv wanasema wameamua tu kujiondoa kwe baadhi ya miji ili wakajipange upya na si kwamba wamezidiwa nguvu
Yeye anaweza kwa vile hana muda na familia. Ila waandamizi wake its unlikely watatekeleza hilo. Kwenye Soviet Navy kuna bwana mmoja aliwahi goma kufyatua submarine launched ballistic missile kulingana na protocol na akakwepa kusababisha nuclear exchange.Huyu mzee akizidiwa lzm atatumia WMD akili zake anazijua mwnyw,bado anaomboleza USSR anaweza fanya lolote oooh
Putin muongo sn