Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu mtu hawez kukubali kushndwa kwakuwa ameshawaaminisha waumini wake kuwa yy ni genius
 
Warusi hawana adabu. Hizi silaha zao zenye poor maintenance wanaacha kwa wingi.

Na kuna 4th Guard Tank Division imesambaratishwa wakati ndio elite. Sasa kama elite wanapigwa wale regular inakuaje

 
Kazi iliyofanywa na Russia kwa miez 4 ,imefanywa na Ukraine kwa siku 4
Within four days, Ukraine nullified four months of success of the Russian army that cost them a huge amount of victims,” Nikolay Mitrokhin, a Russian expert at Germany’s University of Bremen, told Al Jazeera.
 
Mh...ushabiki kwenye huu uzi ni zaidi ya yanga na simba....yaani kweli...maeneo aliyopata Ukraine kwa siku nne ni sawa na mafanikio ya miezi 4 ya Urusi...kweli??Hao wanaojiwa na aljazera ni watu tu kama wewe na wanamapenzi yao ...sio kila kitu cha kuquote na kukishikia mpini..lazima sisi binafsi tujiongeze...
 
[emoji3538] Various NATO assets are currently engaged over Romania and the Black Sea:
[emoji117] USAF Boeing KC-135R (reg. 62-3541 - call sign BART20) refueling planes [emoji117] USAF General Dynamic F-16 (from Aviano airbase) over northern Romania;
[emoji117] USAF Boeing KC-135R (reg. 61-0315 - call sign HOBO22) from RAF Mildenhall;
[emoji117] USNavy Lockheed EP-3E (reg. 159893), which took off from vaz. the Souda base, carrying out a surveillance mission off the Romanian coast;
[emoji117] USAF Boeing RC-135W Rivet Joint (reg. 62-4138 - call sign HOMER11) in flight over Romania near the Moldovan border;
[emoji117] RAF Boeing RC-135W Rivet Joint (reg. ZZ664) performing a surveillance mission over the Black Sea.
[emoji419] As we reported earlier, such activities have the sole purpose of obtaining intelligence data on Russian forces, and of course, demonstrating power, i.e. showing the readiness of the NATO alliance.
 
Ujasiri wa rais UKRAINE Volodmyr Zelenskyi na watu WAUKRAINE, ni wakiwango cha lami, hakika WAUKRENIAN ni CHUI mnyama sio CHUI wa kuchongwa!
 
Ndo maana China aliona abweke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…