Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni sawasawa ukute mtu anambaka mkeo..na wewe umekunjwa sharti mkono mmoja..unarusharusha vingumi..unamchubua sijui usoni...lkn jamaa ndo kwanza anaongeza spidi....wewe unakalia kushangilia tu..ooh..lkn namuumiza..lkn nimemuuma kidole ......Hapo ni kuchukua panga kata kichwa okoa mkeo....

Ukraine hana sababu yoyote ya kushangilia asipowezakukata vichwa vya warusi na kurudisha Ardhi yake yote .......
 
Unaweza kukuta wazee wa kazi wa huko Marekani na Western Europe tayari wako kazini ili kui divide attention ya Mrusi kipindi hiki cha vita... Si unaona walivyomng'oa yule waziri mkuu wa Pakistan, ambaye ni rafiki wa Puttin?
 
"If an elephant has his foot in the tail of a mouse, and you say you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality.”- Desmond Tutu.
 
Ni kitu gani kinachokufanya utambue kwamba hapo sehemu iliyopo hiyo drone ni kwenye ardhi/eneo la Ukraine...?
Hapa ni sawa na mtu aseme kuna MUNGU sababu kaniumba mm halafu ww useme hakuna MUNGU, thibitisha kwamba yupo wakati keshasema uwepo wake ndo uthibitisho. Ww unatakiwa useme hapo sio Ukraine na utoe sababu.
 
[emoji298]️Financial Times: US, allies discuss providing Ukraine with fighter aircraft.

The U.S. and its allies have been discussing Ukraine’s longer-term needs, such as air defenses, the Financial Times reported, citing an anonymous senior U.S. defense official.
 
[emoji298]️Mayor: Explosions heard at Russian military base in Melitopol.

The city’s mayor Ivan Fedorov said that three loud explosions had been heard at around 2:30 p.m. on Sept. 13 at an airfield in Russian-occupied Melitopol in Zaporizhzhia Oblast.
 
[emoji298]️ Governor: Russian army leaves key town of Kreminna.

The city is "completely empty," and the Ukrainian flag raised by local partisans still flies high, Luhansk Governor Serhiy Haidai said on Telegram.

Kreminna lies only 25 kilometers northwest of Severodonetsk, which Russian forces occupied over a month of fierce fighting over May and June.
 
Simple, Russia alitumia muda gani kuyateka hayo maeneo yalokombolewa?. Tumia kipimo hiki.
 
Duh! Mambo yanazidi kunoga upande wa Ukraine mpaka najisikia kalarularu[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Unakuta kabla ya vita ukraine na urusi walikuwa wanakula pombe pamoja, wanaoleana mabinti, wanauziana maeneo halafu mara paap wanatakiwa kuuana. Tunakoelekea, kadri mchanganyiko wa race utakavyokolea ugomvi wa nchi na nchi unaweza kuwa wa heavy bombs na machines sababu itakuwa ni ngumu sana kwa wanasiasa kuanzisha vita na wakapata wazalendo wa kuacha yote na kwenda kufa. Nadhani Vijana wa sasa wanajiuliza maswali mengi sana kabla ya kukubali kushika bunduki kwenda kuifia nchi. Dunia inazidi kuwa kijiji, unakuta kijana wa kirusi anajirikodi video anatupia tiktok na youtube akitegemea mrusi, mchina, mwingereza, mwafrika asubscribe na kulike leo umwambie beba silaha tukauane na wachina atakuelewa kwa ugumu sana. Kichwani kwake swali la kwann tusiyamalize bila kuuana litatamalaki sababu tayari ana connection na anaotakiwa kuwaua.
 
Bro Kwa nchi dhahifu kama Ukraine ukilinganisha na Russia acha tuipe pongezi tu.si mchezoView attachment 2355634
Mkuu mpk sasa matunda ya counter offensive ni km za mraba 5000 tu na roho za wanajeshi wa ukr zaidi ya 4000.

Hiyo ramani ya kwanza uliyopost na ya pili ni vichekesho sasa. Ramani ya kwanza ni kbl urusi hajaamua kuyawachilia maeneo aliyoyakalia as a gesture of good faith baada ya kuwepo na dalili za kufanikiwa kwa mazungumzo ambayo yalikuwa yanafanyika kbl.

Hata hvyo Nakubaliana na wewe kuwa ukr anapaswa kupongezwa. Ujasiri alioonesha sio mdg ukizingatia anapambana na dubwana!

Lkn ukweli ni lzm tuuseme bado ana safari ndefu ya kwenda. Safari ambayo kwangu mm naona haifikiki. Kufanikiwa kurudisha km zote za mraba zaidi ya laki na elf kumi zilizobaki mikononi mwa urusi sio jambo ambalo linawezekana walau kwa maoni yangu.
 
Saba bro Kwa nini wasijifurahishe wakati Russia wametumia zaidi ya miezi minne?mfano mji wa Izyam Russia akitumia mwezi kuuteka Ukraine siku mbili tu.Saivi Russia wanaongelea kutaka Marshall law kisa Ukraine.mziki ulivyo mnneView attachment 2355638
Tatizo sio muda tatizo ni ukubwa. Kwenye safari ya km 116000 umetembea 6000 tu unakaa na kupumzika, ni sawa kweli!?

Hiyo ya kupelekwa wanaume wote wa urusi vitani nayo ni kichekesho kingine. Urusi ana jeshi lenye wapiganaji waliotayari zaidi ya milioni na hapo ukr waliopelekwa ni hawafiki laki mbili tena wengi wao maservice man.

Na ukiona wamefikia huko ujue mambo yatakuwa mabaya zaidi maana itakuwa ni vita kamili sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…