Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna uwezekano maana Azerbaijan aliidharau Russia tangu 2020. Russia wana base Armenia na wameiuzia silaha nyingi zikiwepo S-300 ila Armenia wakapigwa nazo. Suluhisho likapatikana likiongozwa na Urusi na Uturuki, sasa Azerbaijan wanataka kumalizia kiporo chao wamalize mgogoro huu wa miaka zaidi ya 30. Bahati nzuri UN na dunia inatambua haki ya Azerbaijan ingawa haitaki escalation. Azeri wanajua Russia ni vigumu kujuvuta kuisaidia Armenia.

Huu mwaka kuna vita mbili tumezikwepa, ya Taiwan na ya Kosovo
Lakini zote zina tegemea matokeo Kwa Ukraine.
 
Russia yaua wanamgambo zaidi ya 500 wa Ukronaz w[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Russia’s ’Special Operation’ Daily

The Ministry of Defense reported Monday that:

[emoji830]Russian forces killed over 500 enemy fighters

[emoji830]Three Ukrainian artillery depots have been destroyed

[emoji830]45 tons of enemy ammunition was struck in the south of Ukraine

[emoji830]Russian air defense systems have shot down five UAVs and eight HIMARS-Olha missiles in the last 24 hours

Subscribe to RT
 
Russia shipped units of S-300 anti-aircraft missiles from Syria to a Russian port near Crimea, according to an Israeli satellite imaging company, in an apparent attempt to bolster its air defences in its war with Ukraine.

Aljazeera (end of August)
 
ImageSat International (ISI) captured images showing the presence of the S-300 anti-aircraft battery at Masyaf, Syria in April, and the empty site left behind on August 25 after the systems were shipped to the port of Tartous.
 
Wanamgambo wa Ukraine wamefumwa kwenye Handaki wamekumbatiana baada kulana viboga na kupitiwa na usingizi [emoji1787][emoji1787]
IMG_20220913_193613_239.jpg
 
Separate images showed the battery components on a dock at Tartous between August 12 and 17, but by August 20 they were gone. ISI concluded they had been transferred to a Russian vessel, the Sparta II, which left Tartous for the Russian port of Novorossiysk
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Germany ‘Crossed Red Line’ – Russia

Germany has crossed a red line with Russia by sending arms to Ukraine, Moscow’s ambassador to Berlin said on Monday. The decision undermined decades of reconciliation since the end of World War II and the Nazi invasion of the Soviet Union, the diplomat added.

“The very fact that the Ukrainian regime is being supplied with German-made lethal weapons, which are used not only against Russian military service members, but also the civilian population of Donbass, crosses the red line,” Sergey Nechaev said.

He added that Berlin should have known better, “considering the moral and historic responsibility that Germany has before our people for the Nazi crimes.”

Subscribe to RT
IMG_20220913_195808_599.jpg
 
Sema hii vita watu wanakufa sana..hasa wanaume na vijana...Kweli DIPLOMASIA ya sasa imeshindwa kumaliza huu mzozo kweli??Hamna kitu kisichozungumzika...hapa haijarishi nani mnyonge, nani ananguvu au nani ana haki na nani hana haki.....Wanafunzi wa diplomasia na watu wadiplomasia hii inaweza kuwa case study na reference:THE TOTAL FAILURE OF DIPLOMACY TO END OR STOP RUSS-UKRAINE CONFLICT
Acheni kulialia Madikteta hawaamini katika Diplomasia wao wakishakula kichapo ndo akili inakaa sawa.

Na log off Z

Warusi tupo Kiev
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Russia Delivering Massive Strikes on Ukraine's Frontline

The [emoji635] Defence Ministry has announced it's destroying drones, hardware and troop positions at a rapid rate during its Tuesday update:

[emoji3502]Russian Aerospace Forces destroy Ukrainian Mi-8 helicopter in Nikolaev region
[emoji3502]Kiev losing more than 800 soldiers per day due to strikes near Slavyansk, Artemovsk, and Kharkov
[emoji3502]Five depots of artillery weapons and ammunition taken out in Donbass
[emoji3502]Six Ukrainian UAVs shot down, seven MLRS shells destroyed

Updates @RT_India_official
IMG_20220913_200234_684.jpg
 
[emoji635][emoji1255] Deputy Head of the Kherson Regional State Administration Kirill Stremousov did not find the Armed Forces of Ukraine in Kiselevka

After numerous statements by the Ukrainian media about the alleged retreat of Russian troops from Kiselevka and handing it over to Ukrainian militants, Kirill Stremousov, deputy head of the Kherson Regional State Administration, arrived there and personally denied all the fakes.

“We once again warn the Ukronazis and those in the tank: Kherson is a Russian city and no one here is waiting for the Nazis and other colonialists,” Kirill Stremousov signed the video.

While the Kyiv regime continues its virtual "victory" near Kherson, the Russian troops prove their strength and power by deed.
 
Mkuu wewe kumuamini au kutokumuamini mrusi doesn't really matter! You are just a nobody your opinions doesn't and won't count!

The top eight most powerful militaries as of January 2022:
United States Russia China India Japan South Korea France United Kingdom

~ USToday

Urusi ni wa pili kwa military bora zaidi duniani kwa mujibu wa wataalamu wa magharibi. Kumbuka kwenye military budget Urusi ni wa nne nyuma ya US, Chin, India, na UK. Hapo utaona ni nani ambaye jeshi lake lipo effective linganisha budget yake na ubora wake.

"We will not fight a war against Russia in Ukraine. Direct confrontation between NATO and Russia is World War III -- something we must strive to prevent," Biden said.

Vikwazo zaidi ya 60k uchumi bado uko imara
Miezi mitatu ya vita na haelekei hata kupungukiwa silaha
Russia ni overrated tu.. Ka Ukraine kanamtoa kamasi, miji inarudishwa na Kyiv kashindwa kuingia
 
Ungeanza kwanza kujiuliza kwa nini Ukraine itake kujiunga NATO kabla ya kuanza kuuliza kama baada ya miaka 30 itajiunga.

Hakuna promises yoyote iliyoweka kwamba NATO isingesogea kutoka West Germany, hizo ni porojo tu.Katika NATO- Russia founding Act ya 1997 Russia iliridhia kila nchi huru kujiamulia mustakbali wake ikiwa ni pamoja na kujiunga na alliances ambazo inaona zina manufaa kwake.

Russia ilikuwa inasapoti uasi mashariki mwa Ukraine, iliichukua Crimea, inasapoti uasi katika majimbo kadhaa ya Georgia halafu juu ya hayo bado inataka written guarantee ya Ukraine kutojiunga NATO!!! Sasa Ukraine ingebaki na leverage gani kwa adui anayetishia sovereignty na existence yake kama taifa ??!
Halafu unafahamu Written guarantee ya US kuhusu NATO ni suala la Congress sio la Rais? Hiyo ishu ingefika Congress ya US isingepata hata robo ya kura za Republicans tu.
Russia Shida sio wakuaminika na ndio kitu kitagharimu mgogoro kuzidi kuendelea
 
[emoji298]️EU backs out from capping Russian oil & gas prices

According to a leaked document, the European Commission is retreating from imposing a price cap on Russian oil and gas prices, but is pushing for windfall taxes on "surplus" profits from energy companies.

According to the draft regulation, the commission estimates a five-fold increase in the profits of oil, gas and coal companies in 2022.

European Commission President Ursula von der Leyen is expected to make an official statement on Wednesday. No rate for the windfall tax is proposed in the text, but the document is still subject to change.
 
It’s a new school year in Russia and the kids are learning the darndest things about the achievements of Vladimir Putin.

“This is unique,” the Russian president recently told a group of enthusiastic youngsters as he unveiled the 460-foot tall Sun of Moscow ferris wheel (16 feet higher than the London Eye). “There’s nothing like that in Europe!”
 
Back
Top Bottom