Lakini zote zina tegemea matokeo Kwa Ukraine.Kuna uwezekano maana Azerbaijan aliidharau Russia tangu 2020. Russia wana base Armenia na wameiuzia silaha nyingi zikiwepo S-300 ila Armenia wakapigwa nazo. Suluhisho likapatikana likiongozwa na Urusi na Uturuki, sasa Azerbaijan wanataka kumalizia kiporo chao wamalize mgogoro huu wa miaka zaidi ya 30. Bahati nzuri UN na dunia inatambua haki ya Azerbaijan ingawa haitaki escalation. Azeri wanajua Russia ni vigumu kujuvuta kuisaidia Armenia.
Huu mwaka kuna vita mbili tumezikwepa, ya Taiwan na ya Kosovo
Hapana,nilikuwa sijazaliwa ila propaganda zake nazifahamu!Hivi kuna vita ambayo haina propaganda? Vita vya Kagera ulishazaliwa ili tukumbushane propaganda zake? [emoji12]
Acheni kulialia Madikteta hawaamini katika Diplomasia wao wakishakula kichapo ndo akili inakaa sawa.Sema hii vita watu wanakufa sana..hasa wanaume na vijana...Kweli DIPLOMASIA ya sasa imeshindwa kumaliza huu mzozo kweli??Hamna kitu kisichozungumzika...hapa haijarishi nani mnyonge, nani ananguvu au nani ana haki na nani hana haki.....Wanafunzi wa diplomasia na watu wadiplomasia hii inaweza kuwa case study na reference:THE TOTAL FAILURE OF DIPLOMACY TO END OR STOP RUSS-UKRAINE CONFLICT
Russia ni overrated tu.. Ka Ukraine kanamtoa kamasi, miji inarudishwa na Kyiv kashindwa kuingiaMkuu wewe kumuamini au kutokumuamini mrusi doesn't really matter! You are just a nobody your opinions doesn't and won't count!
The top eight most powerful militaries as of January 2022:
United States Russia China India Japan South Korea France United Kingdom
~ USToday
Urusi ni wa pili kwa military bora zaidi duniani kwa mujibu wa wataalamu wa magharibi. Kumbuka kwenye military budget Urusi ni wa nne nyuma ya US, Chin, India, na UK. Hapo utaona ni nani ambaye jeshi lake lipo effective linganisha budget yake na ubora wake.
"We will not fight a war against Russia in Ukraine. Direct confrontation between NATO and Russia is World War III -- something we must strive to prevent," Biden said.
Vikwazo zaidi ya 60k uchumi bado uko imara
Miezi mitatu ya vita na haelekei hata kupungukiwa silaha
Russia Shida sio wakuaminika na ndio kitu kitagharimu mgogoro kuzidi kuendeleaUngeanza kwanza kujiuliza kwa nini Ukraine itake kujiunga NATO kabla ya kuanza kuuliza kama baada ya miaka 30 itajiunga.
Hakuna promises yoyote iliyoweka kwamba NATO isingesogea kutoka West Germany, hizo ni porojo tu.Katika NATO- Russia founding Act ya 1997 Russia iliridhia kila nchi huru kujiamulia mustakbali wake ikiwa ni pamoja na kujiunga na alliances ambazo inaona zina manufaa kwake.
Russia ilikuwa inasapoti uasi mashariki mwa Ukraine, iliichukua Crimea, inasapoti uasi katika majimbo kadhaa ya Georgia halafu juu ya hayo bado inataka written guarantee ya Ukraine kutojiunga NATO!!! Sasa Ukraine ingebaki na leverage gani kwa adui anayetishia sovereignty na existence yake kama taifa ??!
Halafu unafahamu Written guarantee ya US kuhusu NATO ni suala la Congress sio la Rais? Hiyo ishu ingefika Congress ya US isingepata hata robo ya kura za Republicans tu.