Tayari imethibitishwa kuwa China yaelekea kushindana kwa kasi ya ajabu na USA ndani ya miaka 10 ijayo.Waoga tu wale! China katishiwa nyao juzi kati mkia kauficha mapajani??
Hamna kitu pale
Hii ndoto umeiota leo au!Tayari imethibitishwa kuwa China yaelekea kushindana kwa kasi ya ajabu na USA ndani ya miaka 10 ijayo.
Hapo kale Russia ilikuwa ni mshiriki mwandamizi wa siasa za kikomunisti duniani na baadaya kuanguka kwa USSR China sasa ndo mshiriki mwandamizi na Russia akiwa msaidizi katika harakati za kubadili msimamo wa Dunia yaani NWO- New World Order.
Hii itakuwa ni mara ya 38 kwa raisi wa China Xi kukutana na Vladimir Putin na badio hadi sasa hajakutana uso kwa uso na raisi wa Marekani Joe Biden tangu aingie madarakani mwaka 2021.
Putin ndie anaewachora NATO na USA ambao ndo wapigana nae (Ukraine ni chambo tu)Masikini Putin...! Alitupiwa ndoano ya Crimea akaimeza mazima mazima na kuingia kama vile anaingia kwake...kumbe jamaa wanamchora tu. Asipoangalia yatamtoka puani!
Biden huenda asimwone kabisa Xi hadi atapoondoka madarakani.Hii ndoto umeiota leo au!
"Demilitarization" lengo lilitimia kitambo na Ukraine akaanza kuingiza silaha kutoka NATO na US na kujijenga upya.Mada imekuwa ndefu sana, ngoja tuweke rikodi sawa na tukumbushane ili ule mwisho utakapofika tusiongopeane kuhusu objective za Urusi. Kila mzalendo mtetezi wa nchi husika(Urusi/Ukraine) afurahi au alie kwa haki:
“And for this, we will strive for the demilitarisation and denazification of Ukraine,” Putin said. “Russia cannot feel safe, develop, and exist with a constant threat emanating from the territory of modern Ukraine.”
Tafsiri ya neno demilitarization:
Demilitarization is often narrowly defined as simply the dismantling or demobilization of a military, and the eventual destruction of military equipment, the destruction of weapons and explosives, and the incineration and destruction of chemical and biological weapons.
HAYA TUENDELEENI KUSOMA NA KUTOA HOJA NA TUMATUSI TWA HAPA NA PALE. 😀 😀 😀 😀
Biden huenda asimwone kabisa Xi hadi atapoondoka madarakani.
Mkuu, hiyo picha Biden alikutana na Xi akiwa makamu wa raisi na si akiwa raisi wa Marekani.
Ooh, asante sana mkuu kwa kunikumbusha jambo jingine kuhusu hii OP ambayo kwa upande wangu nasema Urusi hakufanyia kazi maneno yake, jambo ambalo ni busara ya hali ya juu kwa maslahi ya dunia:"Demilitarization" lengo lilitimia kitambo na Ukraine akaanza kuingiza silaha kutoka NATO na US na kujijenga upya.
Bila hizo silaha kuwa "imported" Russia angekuwa tayari amemaliza kazi.
Ni vita ambayo US na NATO wameazimia kuishinda Russia, hivyo sisi tubaki tu kuangalia nani atamudu hadi mwisho.
Biden akutane na xi wa nini?Mkuu, hiyo picha Biden alikutana na Xi akiwa makamu wa raisi na si akiwa raisi wa Marekani.
Tangu Biden awe raisi wa Marekani mwaka 2021 hajakutana na Xi Jinping.
Jaribu kuwa makini kidogo.
Kabisa bwasheeeAcheni kulialia Madikteta hawaamini katika Diplomasia wao wakishakula kichapo ndo akili inakaa sawa.
Na log off Z
Warusi tupo Kiev