Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

wakishazidiwa wanaanza kutishia nuclear
 
YouTube Tena?
 
casualities haikwepeki kikubwa matokeo
 
Tunaendendelea kumtatua Malinda taratibu huyo super pawer wenu wa mchongo.., mpaka amalize hii anayoiita special epereshen, hakuna rangi ataacha ona,
Hii lugha yako ya 'kumtatua ma....a' tafadhali acha, hustahili kuitumia humu...this is an ultimatum to you ..humu Kuna watu wazima na wenye heshima zao..
 
Hii lugha yako ya 'kumtatua ma....a' tafadhali acha, hustahili kuitumia humu...this is an ultimatum to you ..humu Kuna watu wazima na wenye heshima zao..
Sawa,nimekusikia, ukitoka hapa nenda pia ukamuonye jamaa anayejiita green rajabu,aache kuleta picha zisizo na kichwa Wala miguu..,mara apost picha ya nguruwe akiwa amefunikwa na bendera ya taifa la Ukraine...,mara apost picha ya Putin akiwa anapenga makamasi kwenye bendera ya marekani.., yaani Ili mradi kudhalilishana tu,

Ivyo usiangalie upande mmoja,
 
ila putin akifanya full mobilisation ukrane hatoweza kuhimili, ila kwakuwa alishajinasibu kuwa ni SMO tu basi inabidi atafute kisingizio cha kuibadili kuwa full millitary invasion, lkn pia itakua ni escalation ya mambo ambayo pengine ht urusi yenyew itakuwa haikufikiria
 
Mkuu unajua kujipa mahope ok sawa sikuzuii maana tozo znatukaba sana
 
Marekani ni Taifa la hovyo kuwahi kutokea Duniani. Ila kwa Rusia wamekwaa kisiki na ndio anguko rasmi la magharibi.
Tupo pembeni tunatazama tu, Hakuna marefu yasiyo na mwisho
kwann unafikiria hvyo mkuu? maana hii michezo marekani alishaicheza sn huko nyuma na USSR ambayo ilikuwa na nguvu zaidi ht hii urusi ya sasa, kwann unafikiri amekwaa kisiki wa urusi hii ya putin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…