Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duuh urusi sahv kazi anayo. Watu wanapiga hadi washirika wake achague moja.
Jioni hii Azerbaijan iko inashambulia miji hii hapa kwa artillery. Waziri Mkuu wa Armenia ameshindwa kutoka kwenda kwenye mazungumzo nje ya nchi, akitoka tu wanafanya mapinduzi. Jeshi na raia wanataka vita ila kiuhalisia serikali na washauri wanajua ushindi hamna

Azerbaijan inaomba sana PM Nikol Pashinyan wa Armenia apinduliwe ili serikali ya kijeshi itangaze vita kisha Azerbaijan ishambulie rasmi. Hapa inafanya uchokozi tu kuchochea mvurugano na tiyari maandamano nje ya Bunge yapo.
 
[emoji298]️ Ukraine established fire control over most of Kherson Oblast.

According to Natalia Humeniuk, Southern Operational Command spokesperson, nearly the entire Kherson Oblast is now under Ukrainian fire control. Ukraine's southern counteroffensive is ongoing.
 
Pumbaf ,Russia takataka huyu ana ubavu gani WA kuopigana ww3 hivi unajua hata meaning ya hili neno " word war " wewe mbuzi , hizo logistics za kurun vita pale Ukraine Tu zimemdgibda ndio aweze kuorganize war in global scale ,
We mwendawazimu wewe ,
 
Yanini kutukana wanajamvi? Halafu "word" war ni vita ya maneno so hujaeleweka unachotaka kumaanisha!
Pumbaf ,Russia takataka huyu ana ubavu gani WA kuopigana ww3 hivi unajua hata meaning ya hili neno " word war " wewe mbuzi , hizo logistics za kurun vita pale Ukraine Tu zimemdgibda ndio aweze kuorganize war in global scale ,
We mwendawazimu wewe ,
 
Ngoja tuone mkuu
 
Nitajie mwenye ubavu wa kupigana WW3.
 
View attachment 2357013

🇷🇺✈️💥🇺🇦The Karachunovskaya dam received significant damage after was demilitarised. The integrity of the structure is damaged...
The Karachunovskaya dam is 205 meters long and belongs to the 1st class of capital. Every spring, it is strengthened by carrying out repair work, but despite this, the dam is swollen and corroded by time almost along its entire length.

Scientists say that in the event of a dam break, almost 300 million tons of water will pour into the city, flooding 70 km2. The central urban area may be flooded above the third floor.

This evening,Russian Aerospace Forces launched a missile attack on the Karachunovskaya dam, after which, the water level in the Ingulets River, downstream, began to rise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…