0784720642 au 0655321066 ana majibuKUMBE KUNA WATU WAMEKUA MAKAMBALE HUKO NA HAMTUAMBII
Tulikuwa tunaelemewa kidogo lkn tunawarudisha tena nyuma yaani ni 2 x 2 toa 4cjaingia na mda hli jukwaa mkuu nipe sumary
Nipo kiongozi,tumewaachia kidogo mtambe 😂😂😂halafu chap kwa haraka tutarudi tenaWashawasha upo mkuu umepotea sana
Wanamgambo wa Ukraine wanagaragara hukoKUMBE KUNA WATU WAMEKUA MAKAMBALE HUKO NA HAMTUAMBII
Hahahaa duh hii nayo kali, kumbe zipo mpk za miti? Ukraine katishaThe Wooden HIMARS deception is working so well that Russia claims to have destroyed more HIMARS than the U.S. has even sent to Ukraine.
🤣 🤣 🤣 🤣
Wamekasirika sasa wako busy kulipua miundombinu ya maji, hawa watu wana matatizo mno[emoji298]️Official: Ukraine has liberated 8,500 square kilometers in Kharkiv Oblast since Sept. 6.
According to Deputy Defense Minister Hanna Malyar, Ukraine's military has liberated about 388 settlements where about 150,000 people had lived under Russian occupation.
Ni matumaini yetu mola atamshika mkono kamanda wetu[emoji120][emoji120]Zelensky apata ajali ya gari, baada ya gari za msafara wa Rais kugongana
Hii coment,inawapa matumaini pro Russia,wakiona watairukia kama mbwa aliyetupiwa mfupa[emoji2]Zelensky apata ajali ya gari, baada ya gari za msafara wa Rais kugongana