Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Hii vizuri. Maana baada ya rais wa Kazakhstan kukataa matakwa ya Putin, Warusi wengine walianza kujadili vita dhidi ya Kazakhstan. Kazakhstan haitaki kutambua jamhuri bandia za Donbas pia inashiriki katika vikwazo dhidi ya nchi iliyoanzisha vita.sawa Xi JINPNG, wahusika watakuwa wamekusikia
“No matter how the international situation changes, we will continue our strong support to Kazakhstan in protecting its independence, sovereignty and territorial integrity... and strongly oppose... the interference of any forces in the internal affairs of your country,” Xi continued, adding that he would hold talks with Tokayev “to jointly draw a new blueprint for China-Kazakhstan all-round cooperation.”, Xi yuko kazakhstan leo
China’s Xi makes sovereignty pledge
Chinese President Xi Jinping visited Kazakhstan to mark a diplomatic anniversary, his first trip abroad since the start of the Covid crisiswww.rt.com
yeah pia urusi pia ina claim eneo linalokaliwa na watu jamii ya urusi huko kazakhstan, na pro-russia pundts wengi walikua wakiitishia kazakhstan baada ya rais wake kukataa kuitambua donbass, naona xi amerusha jiwe kizan maana china ina mslahi makubwa kazakhstan pia ni majiraniHii vizuri. Maana baada ya rais wa Kazakhstan kukataa matakwa ya Putin, Warusi wengine walianza kujadili vita dhidi ya Kazakhstan. Kazakhstan haitaki kutambua jamhuri bandia za Donbas pia inashiriki katika vikwazo dhidi ya nchi iliyoanzisha vita.
hawa wananchi walikua hawana shida hizo zote za misosi kabla urusi haijawavamiaNimeona habari hapa French 24,huko Izyum baada ya Urusi kuondoka,wananchi wanapishana na kufokeana!Wengine wanasema wamekula msosi wa bure Kwa kipindi chote ambacho Russia walikuwepo,Sasa pamechukuliwa na Ukraine,hakuna msaada wowote wa kibinadamu wanaopata!Wengine wakasema bora Russia wangeendelea kuwepo tu!
Mwingine akamind akasema unauza ardhi Yako Kwa chakula?Jamaa akamjibu,mbona hata wewe ulikuwa unakuja kuchukua chakula Cha bure na Kisha unarudi kulala kwako!
Daaaah😀😀
Inasikitisha saanaEurope Sanctions Russia
then buys Russian LNG Gas from China that travels half the world and pay a much higher price.View attachment 2347057
Ndio hivyo wamegawanyika Sasa!hawa wananchi walikua hawana shida hizo zote za misosi kabla urusi haijawavamia
Nimeona habari hapa French 24,huko Izyum baada ya Urusi kuondoka,wananchi wanapishana na kufokeana!Wengine wanasema wamekula msosi wa bure Kwa kipindi chote ambacho Russia walikuwepo,Sasa pamechukuliwa na Ukraine,hakuna msaada wowote wa kibinadamu wanaopata!Wengine wakasema bora Russia wangeendelea kuwepo tu!
Mwingine akamind akasema unauza ardhi Yako Kwa chakula?Jamaa akamjibu,mbona hata wewe ulikuwa unakuja kuchukua chakula Cha bure na Kisha unarudi kulala kwako!
Daaaah😀😀
ht km but ile ni nchi yao haihalalishi mtu mwngine kuivamia na kupokonya ardhi yake, haijustify kwa namna yeyote ileNdio hivyo wamegawanyika Sasa!
Ni kweli jamaa wameretreat!Hakikuwa na mapigano makali upande Huo!East ndio Kuna mapigano hasa!Kwahiyo hii habari za Miji kukombolewa kumbe ni kweli sio propaganda?
Kwani ardhi anaifanya ya Kwake?Ye anawakomboa na wazawa ndio watakula matunda!ht km but ile ni nchi yao haihalalishi mtu mwngine kuivamia na kupokonya ardhi yake, haijustify kwa namna yeyote ile
samwel ngoma ndio nan mkuu?ahsante kwa kutujuza samwel ngoma
kama alivyokomboa abakhazia, south ossetia na transnistria?? ndio maana tokayev kasema hatoitambua donbass, kwakuwa anajua nia yenu ya baadae kuitaka ardhi yake wanakoishi watu wanoongea kirusi, mna shida na majirani zenu nyie watuKwani ardhi anaifanya ya Kwake?Ye anawakomboa na wazawa ndio watakula matunda!
Mngemwambia Zelensky akaacha kuwatesa na kuwaua warusi wa Donbas,haya yasingeokea!Yaani jeshi la Nazis ndio lilikuwa deployed Donbas!Warusi walikiona Cha moto,miaka nenda Rudi jamaa anamuonya Zele ila akawa Kichwa ngumu!kama alivyokomboa abakhazia, south ossetia na transnistria?? ndio maana tokayev kasema hatoitambua donbass, kwakuwa anajua nia yenu ya baadae kuitaka ardhi yake wanakoishi watu wanoongea kirusi, mna shida na majirani zenu nyie watu
kwani wakati mnapokonya crimea au kuweka vibaraka wenu kule east zelensky alikuwepo?? mmekalia ardhi ya moldova ya transnistria kuna zelensky huko? mlipovamia na kukalia ardhi ya georgia kuna zelensky pia huko? mmekuwa na tabia ya kuvamia na kukalia ardhi za majirani zenu halafu mnadai kuwa marekan ndio anasambaza rusophobia kwa nchi zinazowazunguka,Mngemwambia Zelensky akaacha kuwatesa na kuwaua warusi wa Donbas,haya yasingeokea!Yaani jeshi la Nazis ndio lilikuwa deployed Donbas!Warusi walikiona Cha moto,miaka nenda Rudi jamaa anamuonya Zele ila akawa Kichwa ngumu!
Miji mingapi??[emoji41]Naendelea kuwakumbusha endeleeni na propaganda zenu baaada ya kuchukua udhibiti wa miji 2 lakini kumbukeni bado Russia anamiliki 20% ya ardhi yote ya Ukraine.
Na Huo ndio kweli kwenye sentence ya mwisho!kwani wakati mnapokonya crimea au kuweka vibaraka wenu kule east zelensky alikuwepo?? mmekalia ardhi ya moldova ya transnistria kuna zelensky huko? mlipovamia na kukalia ardhi ya georgia kuna zelensky pia huko? mmekuwa na tabia ya kuvamia na kukalia ardhi za majirani zenu halafu mnadai kuwa marekan ndio anasambaza rusophobia kwa nchi zinazowazunguka,
Wanajeshi wa RUSSIA wapo toka zamani mbonaWanaolialia ni Armenia, pamoja na kuwa na vikosi vya Russia mwaka 2020 walitandikwa na haikufanya lolote. Leo hii Russia imepeleka wanajeshi waende Armenia, anayejiliza nani hapo