Tulishamwambia yule dikiteta wa mchongo asahau kabisa anga la ukraineThe Ukrainian Armed Forces again claimed to have shot down an Iranian UAV used by Russia.
View attachment 2358027
Ni kweli ingawa inatofautiana nchi na nchi,russia wameweka sheria ya hadi miaka 15 jela kwa atakaekosoa au kutoa taarifa isiyothibitishwa kuhusu SMO huko ukraine au ht kuiita war au invasion instead of SMO, aina hii ya restriction ni kali mno na adhabu kali piaMedia sensorship mbn inafanyika dunia nzima mkuu!? Hakuna serikali ya nchi yeyote iko tyr taarifa isizozitaka zitoke
Mm huwa nafanya hivi; kila chombo cha habari kikubwa nakijua ni cha kambi ipi. Mf kwenye huu mgogoro kuna sputnik na rt upande wa urusi alaf kuna Kiev independent na western msm upande wa ukraine. Taarifa yeyote kutoka RT au Sptunik iliyo in favour of Russia huwa siiamini na taarifa yeyote kutoka KI au western media iliyo in favour of Ukraine siiamini. On the other hand km RT wakitoa taarifa in favour of Ukraine naiamini tena najua wamepunguza ukweli wa mambo.
Ziko baadhi ya media zinajitahidi kuwa neutral lkn sio kwa 100%. Ni kazi ya mtu mwenyewe kuchambua.
If you don't read the news you are uninformed, if you read the news you are misinformed
~ D. Washington
Za ndan ni kuwa mkuu kaagiza partial monilization,Tulishamwambia yule dikiteta wa mchongo asahau kabisa anga la ukraine
Tutaendelea kumtia hasara mpaka akome[emoji52]
Zelensky ataomba poo kwamba Russia anatumia siraha kaliLeo zinapigwa cruise missiles huko hatari, putin kakasirika, walioko kiev wanakoma