Super pawer wa mchongo anazidi kulambishwa hasaraWanazidi ku surrender [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati wa vita Huwa Kuna sheria zinatungwa Kwa dharura Ili kumaintain order!Tofauti na hapo mnapoteana!
Julian Assange,kama akiwa extradited kwenda US basi inasemekana Kwa mashtaka yanayomkabili anaweza kula mvua 200+!
Huyu alitoa taarifa za kweli kabisa za war crimes za majeshi ya Marekani huko Afghanistan!
Uhuru wa habari Hadi Kwa baba la demokrasia ni changamoto,inategemeana na muktadha tu!
China aliwahoji US,inakuwaje wanakuwa wakwanza kuwalinda na kuwapa asylum waandishi kwenye mataifa ya watu wanaotoa Siri za nchi wakati wao wanamsaka Kwa udi na uvumba Julian Assange?
Bwana usirudie propaganda ya kale... Watu wa Donbas walio wengi waliwahi kukubali katiba ya Ukraine huko nyuma; idadi ndogo ilipinga.Mngemwambia Zelensky akaacha kuwatesa na kuwaua warusi wa Donbas,haya yasingeokea!Yaani jeshi la Nazis ndio lilikuwa deployed Donbas!Warusi walikiona Cha moto,miaka nenda Rudi jamaa anamuonya Zele ila akawa Kichwa ngumu!
Unlike you mimi sioni shida kwenye hiyo restriction. Kama ni taarifa ambayo haijawa confirmed sioni kwa nini itolewe ukizingatia swala lenyewe ni sensitive namna hiyo, vita! Kuhusu kukosoa nafkiri ni chumvi otherwise uje na chanzo.
Ni kweli,double standardWakati wa vita Huwa Kuna sheria zinatungwa Kwa dharura Ili kumaintain order!Tofauti na hapo mnapoteana!
Julian Assange,kama akiwa extradited kwenda US basi inasemekana Kwa mashtaka yanayomkabili anaweza kula mvua 200+!
Huyu alitoa taarifa za kweli kabisa za war crimes za majeshi ya Marekani huko Afghanistan!
Uhuru wa habari Hadi Kwa baba la demokrasia ni changamoto,inategemeana na muktadha tu!
China aliwahoji US,inakuwaje wanakuwa wakwanza kuwalinda na kuwapa asylum waandishi kwenye mataifa ya watu wanaotoa Siri za nchi wakati wao wanamsaka Kwa udi na uvumba Julian Assange?
Maskini huyu. Putin alijiandaa vibaya, anakosa askari. Wanatafuta magerezani, kwenye maeneo yasiyo na maendeleo waa kazi kama Buryatia, kati ya watu wenye madeni wanaoona dola wanazolipwa ni pesa nyingi . . . Sasa wanajikuta kwenye mapigano makali, bila uongozi mzuri. . . Hawajui wanachopigania, ila visenti hivi ...Super pawer wa mchongo anazidi kulambishwa hasara
Ni kweli ingawa inatofautiana nchi na nchi,russia wameweka sheria ya hadi miaka 15 jela kwa atakaekosoa au kutoa taarifa isiyothibitishwa kuhusu SMO huko ukraine au ht kuiita war au invasion instead of SMO, aina hii ya restriction ni kali mno na adhabu kali pia
Media sensorship mbn inafanyika dunia nzima mkuu!? Hakuna serikali ya nchi yeyote iko tyr taarifa isizozitaka zitoke
Mm huwa nafanya hivi; kila chombo cha habari kikubwa nakijua ni cha kambi ipi. Mf kwenye huu mgogoro kuna sputnik na rt upande wa urusi alaf kuna Kiev independent na western msm upande wa ukraine. Taarifa yeyote kutoka RT au Sptunik iliyo in favour of Russia huwa siiamini na taarifa yeyote kutoka KI au western media iliyo in favour of Ukraine siiamini. On the other hand km RT wakitoa taarifa in favour of Ukraine naiamini tena najua wamepunguza ukweli wa mambo.
Ziko baadhi ya media zinajitahidi kuwa neutral lkn sio kwa 100%. Ni kazi ya mtu mwenyewe kuchambua.
If you don't read the news you are uninformed, if you read the news you are misinformed
~ D. Washington
WikiLeaks founder Julian Assange was ordered to be extradited to the U.S. by a London Court on Wednesday morning.Assange anashitakiwa kwa makosa gani Marekani?
Mkuu labda ni tatizo la tafsiri. Mimi naona kuna tofauti kati ya kukosoa na kutoa taarifa za uongo 'false information'. Kilichokatazwa nafkiri ni taarifa za uongo sina hakika na kukosoa!yeah nadhan hio ndo point inategemea mtazamo wa mtu inaweza kuwa shida ama si shida, sio chumvi mkuu ukisema mbovu kuhusu jeshi jela inakuhusu
The new law, adopted in Russia on Friday evening, made the deliberate spread of “false information” about the Russian military punishable by up to 15 years in jail and a heavy fine.
Similarly, people found guilty of “discrediting” the use of the Russian Armed Forces for “the protection of the interests of the Russian Federation and its citizens” can be jailed for up to five years and fined.
![]()
Kremlin defends harsh ‘fake military news’ law
Russia has argued it was right to criminalize ‘fake news’ about its invasion of Ukraine, given the “difficult” circumstanceswww.rt.com
WikiLeaks founder Julian Assange was ordered to be extradited to the U.S. by a London Court on Wednesday morning.Assange anashitakiwa kwa makosa gani Marekani?
WikiLeaks founder Julian Assange was ordered to be extradited to the U.S. by a London Court on Wednesday morning.
The order was issued by Judge Vanessa Baraitser of the Westminster Magistrates’ Court in London, where the United States had sought an order for Assange to stand trial on 18 criminal charges in the U.S. District Court for the Eastern District of Virginia, filed in 2019.
The charges, filed under the 1917 Espionage Act, stem from Wikileaks’ publication of thousands of U.S. diplomatic cables and files, many of them classified, in 2010 during the Obama Administration. The documents had been leaked by Chelsea Manning, a former U.S. Army Private whose sentence was commuted by President Barack Obama. If convicted, Assange faces over 170 years in prison