triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
Yes and NoTaarifa za mwenendo wa uvamizi wa Russia huko Ukraine ni siri za taifa/classified nchini Urusi?
I mean kuna baadhi ni siri na baadhi sio siri (classified). Either way taarifa yeyote inayohusu mwenendo wa vita kbl haijatolewa ni lzm iwe verified na mod.
Kumbuka, Sipingi kwamba hakuna media sensorship Urusi