Yes and NoTaarifa za mwenendo wa uvamizi wa Russia huko Ukraine ni siri za taifa/classified nchini Urusi?
Makosa 18 yamenyumbukishwa kutoka kosa Moja la msingi ambalo ni kuchapisha taarifa za Siri za jeshi la Marekani!Andika haya makosa kwa Kiswahili, nitakuelewesha na nitakusaidia kuyafafanua.
Mkuu labda ni tatizo la tafsiri. Mimi naona kuna tofauti kati ya kukosoa na kutoa taarifa za uongo 'false information'. Kilichokatazwa nafkiri ni taarifa za uongo sina hakika na kukosoa!
Juzi tu tumeona meduputies kibao wanamtaka putin ajiuzulu sababu ya hii vita na kuna mmoja anasema kbs haiwezekani kuidefeat Ukraine kwa namna urusi wanavyopigana na hali jinsi ilivyo. Huko ni kukosoa lkn sio kutoa taarifa za uongo. Taarifa za uongo ni kama za kudai urusi imepoteza wanajeshi 50k mpk sasa. Taarifa km hii inabidi kbl haijatolewa iwe verified na confirmed na MOD. Kwa ajili ya kuzuia kuanguka kwa morali ya wapiganaji na wananchi kwa ujumla.
Kuna taarifa iliwahi kutolewa kuwa urusi imebakiza chakula cha siku 3 tu au ile ya kusema zaidi ya majenerali 50 wameuawa mpk sasa vitani. Kuna nyingine zilidai putin ni mgonjwa na kaanzisha vita kwa sababu anajua hatoishi muda mrefu. Hizi zilikuwa ni taarifa za uongo. Nchi yako ikiwa vitani huwezi kuruhusu taarifa km hizi zisambae maana zitapelekea kushusha morali ya wapiganaji wako.
Na hakuna popote pale duniani nchi inayofurahia wala kuruhusu taarifa za uongo zenye lengo la kupotosha makusudi hasa hasa wakati wa vita.
Wewe ukiwa jinias inatoshaPro Russia ni vilaza wa kiwango cha lami.
Hahaha....watu wanajiona wana akili sana...kudiscuss vitu vya watu..umemjibu vizuri sana
Ukifika katika hili eneo lililopo kwenye hii pics huko TEHRAN[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2358001
Hakika [emoji848]Maskini huyu. Putin alijiandaa vibaya, anakosa askari. Wanatafuta magerezani, kwenye maeneo yasiyo na maendeleo waa kazi kama Buryatia, kati ya watu wenye madeni wanaoona dola wanazolipwa ni pesa nyingi . . . Sasa wanajikuta kwenye mapigano makali, bila uongozi mzuri. . . Hawajui wanachopigania, ila visenti hivi ...
Sometimes nawahurumia sana warusi aisee [emoji848]Maeneo zaidi waliyokimbia na kuuliwa wameacha silaha tazama video
Duh [emoji848]..., kweli fashisti dikiteta wa urusi kayakanyaga safari hii,Wanazidi ku surrender [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kali mnoooNi kweli ingawa inatofautiana nchi na nchi,russia wameweka sheria ya hadi miaka 15 jela kwa atakaekosoa au kutoa taarifa isiyothibitishwa kuhusu SMO huko ukraine au ht kuiita war au invasion instead of SMO, aina hii ya restriction ni kali mno na adhabu kali pia
Kabisa mkuuUkifika katika hili eneo lililopo kwenye hii pics huko TEHRAN
Ndio unaweza jiuliza kama hawa jamaa wameekewa vikwazo wamejiekea ama wao ndio wameeka
nimoja ya maeneo mazur kabisa huko IRAN
Mataifa ya Afrika na mengine yaloekewa vikwazo na western wanatakiwa wakapate darsa TEHRAN
Ukiiangalia IRAN unajua kabisa kwamba vikwazo vya western kwa RUSSIA havitafanikiwa hata kwa 10% ila vitafanikiwa kwa 9% kuja chini
Upuuzi wanaoufanya wamagharibi nikudhania kwamba vikwazo vyao vitawaumiza watu milele kumbe ndio vinawaleta waekewa vikwazo pamoja nakuvifanya vikwazo vyao kua vitupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshimu kiu yako ..Lakini heshimu njaa zaidi... and that is my Quest... Quenching my!!??... Nishafika Lindi nimeripoti Nimerudi Town nilipokulia Yombo Vituka Kwa Limboa Masizi Camp....Mamaaaae Warusi ..Jana nimesinda RT ... nikaangalia na kusikiliza CrossTalk... Nimekesha na vipindi ... NISEME tu HALI SI NZURI... TUNAENDA KWENYE TOTAL WAR ... maana WALE WALIOKUWA KWENYE MJADALA WA JANA NA JUZI NI WABOBEZI MULTIPOLARY .. NA WOTE WAMESEME ..." WINTER INAANZIA URUSI ,BALTIC, SCANDINAVIA NDIO INAENDA ULAYA ... WAKASEMA ..MRUSI ANA HURUMA ILA ANAWEZA KUMALIZA VITA LEO ... AKIAMUA KUKATA NJIA ZA UMEME NA GESI ... NA NDIO AMEANZA .... !!?? TUPO LABORATORY...MAJIBU MTAPATA...ILA hata Warusi TUMEPIGWA NA KITU KIZITO SANA ...KATIKA hii Counteroffensive ...
Nawish EU itumbukie kwenye civil warUlaya panaungua kila kukicha
[emoji1179]Amsterdam. Netherlands Minister of Agriculture Henk Staghouwer resigns after massive protests by Dutch farmers against his radical climate agenda, which aims to destroy their livelihoods.[emoji298]
Makosa 18 yamenyumbukishwa kutoka kosa Moja la msingi ambalo ni kuchapisha taarifa za Siri za jeshi la Marekani!
Kwenye hizo info's zilizochapishwa,Kuna Hadi video wanashambulia Hadi watoto wadogo!Halafu jamaa wanacheka wanasema,hicho ndicho unapata Kwa kuleta watoto vitani!
Kuna video nyingine jamaa wamenyoosha mikono juu na vitambaa vyeupe kujisalimisha,Wajeda wa US waliokuwa kwenye ndege vita wakasema huwezi kusurrender Kwa airfoce,wakawashushia bomu wakawa vipande vipande!
Hiyo aibu aliowatia Assange ndio maana wanamsaka wamfunge Karne 2!
De dolarization[emoji298]️Malaysia plans to accept MIR payment cards – noted Deputy Director General of the National Tourism Office of Malaysia Iskandar Mirza.
@RoscongressDirect
De dolarization[emoji1083][emoji635][emoji388]Cuba will begin accepting Russia's Mir payment cards by the end of 2022, Minister of Tourism Juan Carlos Garcia Granda says.
Wizara ya ulinzi ndio inayocomfirm taarifa zinazohusu operation ya kijeshi ya urusi. Km taarifa ni ya uongo haitaruhusiwa kuruka. Mfano taarifa ya kudai wanajeshi waliokufa vitani mpk sasa ni 50k au ya kusema jeshi la urusi limebakiza chakula cha siku 3Nani anayeamua taarifa fulani ni za uongo huko Russia?
Katika taifa kama Russia ambalo mahakama na bunge vimewekwa mfukoni mwa mhimili wa serikali/Executive unafikiri ni rahisi sana kushinda kesi ambayo serikali inakushitaki umesema uongo??