Ona hili nalo watu wanakufa tu akazuie sasaHuyo ni mstaarabu,ana kali utu wa wengine sio shetani kama Putin.
Na anaupiga mwingi ndio maana kakataa kuomba poo uwanja wa vita sawa wewe nyau.
Upo hapo 👇
View attachment 2138388
"This is my first comment on every platform I'm in regarding this war and may be the last"Are you sure this is Your first comment ? View attachment 2138393
Mbavu zangu jamaniii nimecheka daaaah😅😅🤣🤣😂Sawa Mrusi wa Naliendele.
Wana
Mimi nimemwelewa Sana huyu jamaa,nchi yake ndogo Ila imepambana kwa kiwango Cha kuheshimika,Mimi nilivyoona Vita inaanza Nilijua ndani ya siku mbili atakuwa kamaliza nchi,Sasa nimebaki kukuuliza zile sifa nazozisikia za Urusi eti Ni shujaa Ni za kweli,mbona anahangaika tu mtu mzima?
Hapa ninavyozungumzia sisi tunaoumia kwa hali hizi za uchumi. Bei ya mafuta ya kula au petrol simzungumzii mmarekani. Kule state inaweza kufanya subsidy then ikaabsorb the shock of the economy. How about here in Tanzania? Bei ya kusafirisha kontena ikipanda maana yake bidhaa kutoka China zitapanda pia. Hapa tujiangalie sisi sio wao. Ngano ikipanda, chapati na mkate utapanda kwetu sio marekani tu. Tujiulize tutadhibiti vipi loss ya supply ya hivyo vitu.Sasa kama mambo yapo hivyo,kwa nini usiwashauri waliomuwekea vikwazo Mrussia kuviondoa vikozo hivyo kwa sababu ni wao wamechagua kuweka vikwazo badala ya wao kuingia uwanja wa vita kumkabili Putin?.
Asante kwa taarifa ,nimeelewa,nilikuwa nacompare Urusi na Ukraine.ukitoa urusi inchi inayofata kwa ukubwa hapo ulaya ni ukraine kwa upande wa kijeshi ukraine ni 3 lijue hilo kwanza
You can not create a lost glory. UK will always dream of becoming the empire it once was. Also Italy will dream about the time when Roman empire rulled the whole world. Seasons and time is not created by a mere human being. Putin will never be Stalin. He must know that everything happened for a reason. China was but a small country with the same GDP per capita with Tanzania merely 40 years ago. Today they are the behemoth that is threatining America. The same can be said of the Napoleon Bonaparte the greetest French dictator who rulled the restless Prussia with all its power. Time decide bro. There is nothing Putin will achieve in Ukraine. He will be isolated and the populace will turn against him in due time. He wont be able to invest in future hence he will be left behind by tge world that is progressing very fast.Kwanza kwenye kujadili suala la huu mgogoro ninachokiona wengi wana involve emotions, ukishahusisha hisia lazma utatoka out of control na kuanza kutukana watu, kujibishana kwa kejeli, hasira na mengine mengi.
Chukulia hii kama muvi tu sisi ambao tuko nje ya vita tuwe watazamaji, toa mtazamo wako juu ya vita inayoendelea bila kumkejeli/kumtusi mwenye mtazamo tofauti na wako. Kusema unamuona mjinga mtu anayemsapoti Russia?? Wewe mwenye mtazamo tofauti ndio mwerevu??
Ukweli wa Russia kumvamia ukraine wanaujua wenyewe hao Russia na Ukraine na hayo mataifa makubwa pia wanaujua ukweli. Kuna sababu tunazozijua na tusizozijua kwa nini Russia kavamia ukraine, Putin hajaamka tu alfajiri akaamuru majeshi yake yaivamie Ukraine kuna vingi sisi washabikia vita hatuvijui ila wenyewe wanavijua.
Athari nyingi ni sababu ya vikwazo ambavyo Russia imewekewa, umeshajiuliza kwa nini Israel na Palestina kwenye mpambano wao, UN walitaka wakae mezani waongee na kumaliza vita bila kuiwekea kikwazo chochote Israel? Kwa nini mfumo huo huo usingetumika kwenye mgogoro huu? Kwa nini hawakushinikiza Russia na Ukraine wamalize mgogoro wao kwa mazungumzo ila wakakimbilia kushinikiza kwa kuweka vikwazo na mwanzoni walikia wanaisaidia Ukraine silaha?
Mtaandika mpaka kiajemi, ila Putin shughuli yake iko pale pale....You can not create a lost glory. UK will always dream of becoming the empire it once was. Also Italy will dream about the time when Roman empire rulled the whole world. Seasons and time is not created by a mere human being. Putin will never be Stalin. He must know that everything happened for a reason. China was but a small country with the same GDP per capita with Tanzania merely 40 years ago. Today they are the behemoth that is threatining America. The same can be said of the Napoleon Bonaparte the greetest French dictator who rulled the restless Prussia with all its power. Time decide bro. There is nothing Putin will achieve in Ukraine. He will be isolated and the populace will turn against him in due time. He wont be able to invest in future hence he will be left behind by tge world that is progressing very fast.
putin keshasema goals za russia huko ukraine lazima zitimie, utalaumu kila mtu mkuu but mambo yanakwenda vile putin anavyotaka, hapa ni siasa za the might is rightNaunga mkono,
Kiburi Cha Zelensky kinazidi kuididimiza Ukraine yake.
Afanye maamuz mapana kwa maslahi ya raia wake, nchi yake na sio madarakani Wala tumbo lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ukweli tatizo humu ndani ukiwaambia watu wanatumia hisia kuliko facts.Hapo wanamuekea vikwazo sababu wanajua hali ikizidi kuwa mbaya watu wake wenyewe watamtoa madarakani.Njaa itakapoanza kuikumba Urusi usaliti utatokea ndani ya nchi yake mwenyewe.You can not create a lost glory. UK will always dream of becoming the empire it once was. Also Italy will dream about the time when Roman empire rulled the whole world. Seasons and time is not created by a mere human being. Putin will never be Stalin. He must know that everything happened for a reason. China was but a small country with the same GDP per capita with Tanzania merely 40 years ago. Today they are the behemoth that is threatining America. The same can be said of the Napoleon Bonaparte the greetest French dictator who rulled the restless Prussia with all its power. Time decide bro. There is nothing Putin will achieve in Ukraine. He will be isolated and the populace will turn against him in due time. He wont be able to invest in future hence he will be left behind by tge world that is progressing very fast.
English is but a language of communication. Just angalia athari unazopat mfuko wako. Hao wanaopigana wana hundred of billion stashed away waiting for their sons and grand sons to inherit. Putin amejenga jumba la usd bilioni moja kwa ajili yake. Je ndugu yangu kupanda kwa petrol na dizeli kutakupunguzia Tsh ngapi mfukoni kwako? Kupanda kwa ngano kutakupunguzia sh ngapi ya kuongeza ili unywe bia ulizozoea kwa siku? Pia kupanda kwa gesi kutasabibishaje bei ya mkaa ipande watu wakate miti zaidi ili kupata mikaa mvua igome kunyesha bei ya chakula izidi kupanda? Pia kupanda kwa bei ya mbolea ambayo sasa inachazea 110,000 inasababisha debe la unga lifike tsh 40000 tushindwe kulea watoto wetu. Hivi ndivyo vitu vya kujiuliza. Putin anakula na kunywa je sisi mashabiki? Biden anatembea na kutamba pia Olaf na Macron bado wanatembelea ving'ora je, sisi? Hivyo ndivyo vitu vya kujiuliza. Watu hawaelewi multiplier effect. Ukitaka kujua multiplier effect ipo kwa nini China inaitaka Taiwan lakini haiivamii?Mtaandika mpaka kiajemi, ila Putin shughuli yake iko pale pale....
siasa za kimataifa haziko hivyo, watu hawaendeshwi na hisia bali interest zao, unajua serbia ambae ni mshirika mkubwa wa urusi aliunga mkono azimio lile kumlaani urusi? unajua km UAE mshirika mkubwa wa marekani lkn hakuunga mkono azimio lile? watu wanaangalia maslahi yao na si ushabikiKachanganyikiwa huyo, Ukraine na NATO wake waliopo Ukraine wanapokea kichapo heavy ila hawasemi. Mpaka mataifa mengine chini ya NATO yameona yawe Neutral kwa sababu wanajua NATO ni mbwakoko tu kazi yao kubweka na kutikisa mkia
ist of the largest trading partners of Russia. Nadhani utaelewa kwanini Russia wako calm na hii issue almost 50% ana trade na partners wake China na Belarus, kumbuka kuna India hapa ataingia kwa nguvu hasa upande wa Tech huku Middle East super wa mafuta Saudia na UAE wako upande wa Russia kwa kiasi kikubwa na bado kuna African countries hii ni issue ya kupita tu kumbuka hata USA na kelele zote kasema energy sector msiguse na nchi za Europa Gas imepanda 60% hapa hataumia mtu mmoja ila kumbuka pia Russia amekuwa kwenye vikwazo miaka na miaka wakati Ukraine wanapigana wale wengine UK na USA wao wanamezea kuifisha mali za matajiri tu wa Kirusi ndio lengo lao. Worse kuliko hata wa comunist walichofanya. Jiulize kama kufanya trade na Ulaya ni kuzuri mbona nchi nyingi za Africa zilikataa ku sign mkataba wa free market.Hayuko strategic ok anatengeneza buffer zone ni kweli ila hata akishika bandari wakati vikwazo vya kimataifa vipo itamsaidia mini zaidi ya kuwa buffer zone tu ndani ya Ukraine?
Wakati yeye anatengeneza physical buffer zone Ukraine wenzie west wanatengeneza buffer zones za political,economical ,Financial etc za warusi wote wakubwa na wadogo ,matajiri na maskini kuto cross!!!
| Rank | Country | Import (2017) |
|---|---|---|
| 1. | China (economy, trading partners) | 43.8 |
| 2. | Germany (economy, trading partners) | 27.3 |
| 3. | Belarus (economy, trading partners) | 12.5 |
| 4. | United States (economy, trading partners) | 10.9 |
Sebria ni Slavic people, the same people ambao Putin anataka kuwatawala. Every country in East Europe kwa sasa ina hofu. Wote wanakumbuka vitu walivyofanyiwa na wanazi kwa mgongo wa kucreate a perfect race. Hata red army pamoja na kwamba iliwaokoa mikononi mwa wanazi lakini walicomit war crimes. Just the history is written by the winners and not the losers. Kwa hao UA, MBZ aliabstain maana ana hamu ya kutengeneza jeshi litakaloweza kumtisha Iran na Saud Arabia. Anahitaji vitu kutoka Russia kama ndege za kivita na technologia. Pia anamuhitaji mmarekani ndo maana akaficha mikono yake. Ni kama tulivyofanya Watanzania.siasa za kimataifa haziko hivyo, watu hawaendeshwi na hisia bali interest zao, unajua serbia ambae ni mshirika mkubwa wa urusi aliunga mkono azimio lile kumlaani urusi? unajua km UAE mshirika mkubwa wa marekani lkn hakuunga mkono azimio lile? watu wanaangalia maslahi yao na si ushabiki
putin amejitahidi sana kuirudisha russia katika utukufu wake but nyakati zimebadilika sana, leo hii china inakuwa great power bila kumiliki koloni wala kupigana vita km walizopigana wengine, dunia imebadilika sana baada WW2 but ingawa bado wengine km Putin na hata baadhi ya wanasiasa wa ulaya bado wanaamini ktk falsafa zilezile zilizowafanikisha miaka 100 iliopitaYou can not create a lost glory. UK will always dream of becoming the empire it o will turn against him in due time. He wont be able to invest in future hence he will be left behind by tge world that is progressing very fast.
Sifurahii vita, ila kunapokuwa na ulazima let it happen.....English is but a language of communication. Just angalia athari unazopat mfuko wako. Hao wanaopigana wana hundred of billion stashed away waiting for their sons and grand sons to inherit. Putin amejenga jumba la usd bilioni moja kwa ajili yake. Je ndugu yangu kupanda kwa petrol na dizeli kutakupunguzia Tsh ngapi mfukoni kwako? Kupanda kwa ngano kutakupunguzia sh ngapi ya kuongeza ili unywe bia ulizozoea kwa siku? Pia kupanda kwa gesi kutasabibishaje bei ya mkaa ipande watu wakate miti zaidi ili kupata mikaa mvua igome kunyesha bei ya chakula izidi kupanda? Pia kupanda kwa bei ya mbolea ambayo sasa inachazea 110,000 inasababisha debe la unga lifike tsh 40000 tushindwe kulea watoto wetu. Hivi ndivyo vitu vya kujiuliza. Putin anakula na kunywa je sisi mashabiki? Biden anatembea na kutamba pia Olaf na Macron bado wanatembelea ving'ora je, sisi? Hivyo ndivyo vitu vya kujiuliza. Watu hawaelewi multiplier effect. Ukitaka kujua multiplier effect ipo kwa nini China inaitaka Taiwan lakini haiivamii?
Sawa mjomba ake Putin,tumekusoma.Nimekuwa mfuatiliaji wa maoni ya watu mbalimbali juu ya huu mgogoro wa Ukraine na Urusi acha nami niandike kile ambacho naamini kwenye huu mgogoro.
Mapema kabisa Urusi ilipoanza mazoezi ya pamoja na Belarus, Washington ilionya kuwepo kwa uvamizi nchini Ukraine kutoka Urusi. Baadaye yakifanyika mazungumzo na ikaonekana Urusi amerudisha majeshi yake ila kauli ya siku zote ya Urusi alikuwa akisema "HATAKI VITA" shinikizo la kuchochea uvamizi lilikuwa linaendelea kutoka Magharibi na si Ukraine kwa maana Marekani alikuwa na taarifa juu ya kile ambacho Urusi inapanga juu ya Ukraine.
Putin anatangaza kuyatambua majimbo yaliyojitenga na kusema atapeleka majeshi kulinda raia na hatimaye anafanya hivyo na haishii kwenye majimbo tu aliyoyalenga anataka kung'oa serikali yote ya Ukraine na kupandikiza pandikizi lake pale. Majeshi ya Urusi yanaanza kusambaa kwenye maeneo mbalimbali ya nchi ya Ukraine. Upinzani umekuwa mkubwa sana kutwaa mji mkuu Kiev. Japo kwa wengi wanazungumza hili suala kishabiki sana kuliko kiuhalisia.
Ngome pekee ambayo imeonekana kuwa na nguvu nchini Ukraine ni kutwaa mji wa Kiev ambao ni makao makuu ya serikali na shughuli mbalimbali. Isingekuwa rahisi kwa Urusi kuchukua Kiev kama jinsi ambavyo Wamarekani wa Songwe na Warusi wa Ilula wanavyodhani. Baada ya uvamizi Zelensky alitangaza kuwapa silaha raia walinda nchi yao dhidi ya uvamizi wa Urusi na tumeendelea kuona idadi kubwa ya raia wakichukua silaha kwa ajili ya mapambano. Ukraine ni taifa lenye watu takribani milioni 42 na mji wa Kiev una watu wapatao milioni 2.7 (tuseme milioni 3)
Urusi iliandaa idadi ya wanajeshi wapatao laki moja na nusu hadi laki 2 kwa ajili ya operesheni/uvamizi huo. Idadi ya wanajeshi ambao Urusi ilipeleka Ukraine ni sawa kabisa na idadi ya wanajeshi wa Ukraine. Urusi ina wanajeshi wapatao laki 9. Nimeona media nyingi zinaandika kuwa asilimia 75 ya jeshi lipo Ukraine kitu ambacho wanashindwa kufafanua kuwa ni asilimia 75 ya wanajeshi walioandaliwa kwa ajili ya uvamizi/operesheni.
Urusi inapata shida kuuteka mji wa Kiev kutoka na aina ya mashambulizi waliyochagua au kile ambacho wameamua kufanya. Mji wenye raia milioni 3 usingekuwa mgumu kuwa mikononi mwa Urusi kama ingeamua kufanya MAUAJI ya halaiki ili kuhakikisha mji upo mikononi mwao hata kwa masaa 2 ama 5. Inawezekana na mataifa yote yanajua hivyo inawezekana Kiev kuwa chini ya Urusi kwa muda mfupi zaidi ya mbinu hii waliyotumia ya kupiga maeneo muhimu huku wakitaka raia kuondoka ili wapambane na majeshi ya Ukraine.
Kiev ingekuwa unakaliwa na wanajeshi pekee yake ni imani yangu kuwa hadi sasa Urusi ingekuwa imeteka mji huo na kuwa chini yake. Wengi tunaongea kushabiki na kushindwa kung'amua kwanini Urusi umeshindwa kuchukua mji huo hadi sasa. Jibu ni kuwa haitaki kuua raia na ingekuwa inataka kufanya hivyo idadi ya vifo ingekuwa mbaya sana huko Ukraine.
Siyo Marekani wala NATO wote wanajua uwezo wa kijeshi wa Urusi na hata wao wanajua Urusi hajatumia hata asilimia 40 ya uwezo wake wa kijeshi dhidi ya Ukraine ila kwa sababu ngozi za Waafrika ni nyeusi nasi tumemezwa na ushabiki tumeamua kugawana fimbo na kila mmoja anamchapa mwenzake kishabiki na si kiuhalisia.
Macron mapema leo ametoa pongezi kwa jeshi la Ukraine ila akakiri haoni kama watahimili nguvu za jeshi la Urusi siku za karibuni. Ni wazi wote wanajuana na wala Macron hajawaambia kinafiki anajua nini ambacho Urusi anacho. Laiti kama uwezo wake wa mashumbulizi ungekuwa umefika mwisho leo ungeziona nchi zenye nguvu kijeshi zikiibuka Ukraine moja kwa moja kuipiga Urusi ila wanajua Urusi ni nani na wameamua kumheshimu katika maamuzi yake ila wamebaki kupiga kelele na vikwazo.
Kwahiyo tunapolizungumza hili suala tusilichukulie kama malumbano ya Simba na Yanga maana haziumii nyasi huko Ukraine wanaumia watu hata kama ni wanajeshi wana familia zao. Hakuna familia inayotaka kuona inaletewa ndugu yao akiwa kwenye jeneza akiitwa shujaa.
Vladimir ameendelea kusisitiza na kusema nia yake kwa Urusi lazima itimie hata kama watafanya mazungumzo, yaani ni kuwa Urusi ili irudi nyuma ni lazima matakwa yake yasikilizwe jambo ambalo hakuna mtu au nchi itaenda mbele kuzuia uvamizi wa Urusi pale Ukraine, wataipa kichwa Ukraine ila hawataumia raia wa Ujerumani wala Canada bali wanatumia raia wa Ukraine na jeshi la Ukraine.
Urusi itafanya kile inacholenga juu ya Ukraine hata kama atamaliza mission akiwa kachoka kiuchumi ila lazima afanye na lazima atimize kile ambacho anaamini juu ya mgogoro huu. Huu si uvamizi wa kwanza kuonwa ukifanywa duniani na hata si mara ya kwanza kwa Urusi kufanya uvamizi wa aina hii. US ni kinara wa vamizi za aina hii ila hakuna siku kaonekana mbaya tumejaa unafiki wa kuikosoa Urusi na kuona ni taifa dhalimu na lenye ushetani ila tuition ya somo hili Urusi imelichukua kutoka kwa US na punde Uchina nayo itajifunza na Taiwan itatwaliwa.
Kwahiyo kama US alifanya dhidi ya wengine akaona ni sawa asinyenyuke kukemea masomo ambayo yeye mwenyewe ndiye mwalimu wake. Urusi atapoteza uchumi wake na kila aina huduma kutoka Ulaya na maeneo mengine duniani ila ili Urusi iwe na ukomavu wa leo na kesho NI LAZIMA AICHUKUE UKRAINE IWE ISIWE. ndicho ambacho Putin kamwambia Macron.
#MbaoZaMawe