Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Evil doers are always like that, supporting each others. This one is killing kids and women,that one is raping and Having an affair with his friend's wife. Very frustrated individuals and they always playing victim cards.
Russians proved to be poor,we saw their soldiers stealing washing machines in ukraine,very shameful!
 
Amegushi kila uchaguzi; watu wanaopinga au kuuliza maswali hadharani wanapigwa, kukamatwa, kuwekwa ndani, ukiandamana kumpinga unaweza kuuawa. Amejaribu kukwamisha intaneti akijaribu kuiga China, ila hadi sasa anafaulu kiasi tu.
Magereza yake yanajaa, anachukia na kukamata watu wanafuata aina ya Uislamu ambayo yeye hakubali, wafuasi wa dini tulivi ya Bahai, na Wakristo wengi walioondoka katika Uislamu.
Unataka dalili gani zaidi??

Naomba nikunukuu... "Amegushi kila uchaguzi"

Niliposoma tu hapo mwanzo nikaelewa hujui unaloliandika, basi na nikaacha kusoma na hayo mengine uliyoandika kwa sababu naona kwenye ili jambo uelewa wako ni mdogo.

Ayatollah Khamenei wala hachaguliwi kwenye kura za kwenye mabox (kwa hiyo hawezi kughushi uchaguzi). Huyu wa Sasa yupo tokea 1989. Yeye Ni Supreme Leader na vilevile Kuna President ambaye ndiye anachaguliwa kila baada ya miaka 5.

Next time uwe unajifunza na kuelewa Mambo kabla ya kuleta ligi.
 
Ukifika Tehran jinsi inavyoonekana kwenye pics hizi utaona nchi inayoteswa kweli kwa sababu dikteta yake anazidi kupuuza taratibu nyingi za kimataifa. Ukiangalia magari kenye picha hiyo utaona ni tekinolojia ya miaka 20 au zaidi iliyopita yakiendelea kuchafusha hewa. Kwa kawaida ungeona milima juu ya Tehran kwenye picha hiyo lakini sehemu kubwa ya mwaka hayaonekani shauri ya machafuko. Sasa hivi umaskini unaongezeka kila siku. Nchi hiyo ya Iran ingekuwa mbele sana kama isingekuwa na udikteta inayoona lazima kutisha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa na kuchezea mambo ya bomu la nyuklia, na kuingilia katika siasa ya ndani ya nchi jirani . . . .
Udikteta unaujua kweli au unaropoka tu
 
Vita ya Mrusi ni kuhangaika na watu na miundombinu...
1. Kata gesi inayokwenda Ulaya
2. Kata msaada wa vyakula vinanyokwenda Ulaya na Duniani kote
3. Fumua miundo mbinu yote ya Ukraine, ili baridi ikija iwamalize

Mbinu za kipumbavu sana hizi za Putin, never ever use human as your war targeted - USELESS
Acha ujinga wewe hauwezi mpangia adui pakupiga utapigwa popote kikubwa utoe mlio tu
 
Halafu utashangaa hao hao wanaiwekea Sanction Russia huku wanataka bidhaa gas ya Russia!Yaani Mimi ni Maji na maziwa,wewe una mkate na samaki,halafu unataka mimi nikuuzie maji tu halafu maziwa unaenda kununua kwingine!Lakini pia nikitaka uniuzie mkate na samaki unazui na unaenda kuuza kwingine!Na Mimi nikikaza,nikasema nitauza Kwingine unanuna na kulalamika!Shame!
Unampiga Sanction Russia Ili kuumiza uchumi wake halafu unategemea yeye akuangalie tu? Hungary kajiongeza,kasema hataki Huo Ujinga,maslahi ya nchi yake kwanza!

Kwenye nataka,hata alipoachia bandari itumike mimeli mingi imeenda ulaya na US badala ya kwenda Kwa nchi masikini zenye njaa!
Shame!
Ndio maana tunasena Walioweka hivyo vikwazo wanamtindio wa ubongo
IMG_20220915_130012_469.jpg
 
Mbona anataja nchi tu ambazo zilifaulu kuharibu uchumi na kutesa wananchi wao? Kama vile Venezuela, Iran, North Korea, Cuba na Nicaragua ?? - Kwa upande mwingine, sawa, zinalingana. Ila tu siwatakii Warusi hatma kama watu wa nchi hizo...
Unaupeo mdogo sana kwenye siasa za kimataifa ni Bora ungejikita kwenye kutafuta Dona ule ushibe
 
🗓 Top News Today

💥 Massive fire attacks have resulted in causing casualties of up to 500 servicemen and over 40 units of military equipment of 24th and 28th AFU mechanised brigades near Krasnoye Znamya and Novogrigorovka (Nikolayev region), as well as of 46th Airmobile Brigade of the AFU near Sukhoy Stavok and Belogorka (Kherson region).

💥 High-precision air attacks launched at the provisional bases of 116th Territorial Defence Brigade and Omega special detachment near Odnorobovka and Kharkov (Kharkov region) have resulted in the elimination of up to 30 Ukrainian servicemen and 10 units of military equipment.

🇷🇺🛠 Russian Deputy Defence Minister Timur Ivanov inspects progress in building military infrastructure facilities in Chechen Republic.

🇷🇺🇨🇳 Ships of Russian and Chinese naval branches conduct joint policing in Pacific Ocean.

🏳️🇺🇦 Ukrainian war prisoners have told about heavy casualties of Ukrainian Armed Forces and unsuccessful attempts to contact the command.

📹 Russian Defence Ministry has published footage of Western MD army aviation fire support group, Central MD Uragan MRLS crews.

#MoD #TopNews #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Pope Francis on Thursday said it was morally legitimate for countries to provide weapons to Ukraine to help it defend itself from Russian aggression. “This is a political decision which it can be moral, morally acceptable, if it is done under conditions of morality…Self defence is not only licit but also an expression of love for the homeland. Someone who does not defend oneself, who does not defend something, does not love it. Those who defend (something) loves it,” he said.
 
IMG_20220916_070402_915.jpg


Energy security issues will be discussed within the SCO, First Deputy Minister of Foreign Affairs of India Vinay Kwatra previously stated "India is not a G7 country that is considering the possibility of introducing a ceiling on prices for Russian energy carriers" said on Thursday. It seems that the foreign media is in shock. Photo from Reuters, and tomorrow it will be fresh.

Vladimir Putin and Prime Minister Modi are expected to meet on Friday. After the cheerful statements of the United States, the attempt to set a ceiling on Russian oil prices without India looks like a purely political demarche, without economic consequences, and even playing into the hands of Russia and China in promoting a multipolar world,together with India.

These are no longer just words, this is a new reality with far-reaching consequences for the economies of Western countries.
 
Putin kajiongeza mapema na kuna washauri wamempa ushauri aachane na vita hii ambayo haitaisha kwasababu Nia ya western countries ni kurefusha vita ili Russia afilisike kiuchumi.

Nampongeza Putin Kwa kuanza kuondoa majeshi yake nyuma tunajua plan yake ya kuiteka Ukraine Kwa njia ya invasion imeshindikana acha akajipange na plan B tuone itakuaje.
Unato...

Untoka nje
 
Pope Francis on Thursday said it was morally legitimate for countries to provide weapons to Ukraine to help it defend itself from Russian aggression. “This is a political decision which it can be moral, morally acceptable, if it is done under conditions of morality…Self defence is not only licit but also an expression of love for the homeland. Someone who does not defend oneself, who does not defend something, does not love it. Those who defend (something) loves it,” he said.
Kwahiyo kama kiongozi wa dini na yeye ameona suluhisho ni more weapons?Basi tumechukua hiyo,mbeleni asije kusema kwamba vita vimalizwe Kwa mazungumzo!
 
Back
Top Bottom