Aliokwambia TEHRAN au IRAN kuna machafuko nani kijana
Nyie msiokua naudikteta namnao heshimu sheria mme wazidi kipi IRAN au mmewazidi kupewa misaada
Mpaka leo vyoo kwamsaada mpaka leo barabara zenu za hovyo
Cjui unatoka nchi ipi ila nakuhakikishia nchi unayotoka hakuna treni wala njia ya treni ya chini ya ardhi hata moja huko IRAN kawaida
Huko kwenu watu wanakufa njaa huko kwenu umeme wamgao huko kwenu afya duni
Kheri udikteta wa IRAN kuliko uhuru uliopo nchini kwako
Sent using
Jamii Forums mobile app