Russians proved to be poor,we saw their soldiers stealing washing machines in ukraine,very shameful!Evil doers are always like that, supporting each others. This one is killing kids and women,that one is raping and Having an affair with his friend's wife. Very frustrated individuals and they always playing victim cards.
Amegushi kila uchaguzi; watu wanaopinga au kuuliza maswali hadharani wanapigwa, kukamatwa, kuwekwa ndani, ukiandamana kumpinga unaweza kuuawa. Amejaribu kukwamisha intaneti akijaribu kuiga China, ila hadi sasa anafaulu kiasi tu.
Magereza yake yanajaa, anachukia na kukamata watu wanafuata aina ya Uislamu ambayo yeye hakubali, wafuasi wa dini tulivi ya Bahai, na Wakristo wengi walioondoka katika Uislamu.
Unataka dalili gani zaidi??
Udikteta unaujua kweli au unaropoka tuUkifika Tehran jinsi inavyoonekana kwenye pics hizi utaona nchi inayoteswa kweli kwa sababu dikteta yake anazidi kupuuza taratibu nyingi za kimataifa. Ukiangalia magari kenye picha hiyo utaona ni tekinolojia ya miaka 20 au zaidi iliyopita yakiendelea kuchafusha hewa. Kwa kawaida ungeona milima juu ya Tehran kwenye picha hiyo lakini sehemu kubwa ya mwaka hayaonekani shauri ya machafuko. Sasa hivi umaskini unaongezeka kila siku. Nchi hiyo ya Iran ingekuwa mbele sana kama isingekuwa na udikteta inayoona lazima kutisha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa na kuchezea mambo ya bomu la nyuklia, na kuingilia katika siasa ya ndani ya nchi jirani . . . .
HaweziMbona unaroho nyepesi sana unaweza kusaidia majeruhi aliyeumia wewe[emoji44]
Acha ujinga wewe hauwezi mpangia adui pakupiga utapigwa popote kikubwa utoe mlio tuVita ya Mrusi ni kuhangaika na watu na miundombinu...
1. Kata gesi inayokwenda Ulaya
2. Kata msaada wa vyakula vinanyokwenda Ulaya na Duniani kote
3. Fumua miundo mbinu yote ya Ukraine, ili baridi ikija iwamalize
Mbinu za kipumbavu sana hizi za Putin, never ever use human as your war targeted - USELESS
Huyu jamaa kakurupuka tu mchambuzi uchwara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Iran inatawaliwa na dikteta gani/anaitwa Nani?
Ndio maana tunasena Walioweka hivyo vikwazo wanamtindio wa ubongoHalafu utashangaa hao hao wanaiwekea Sanction Russia huku wanataka bidhaa gas ya Russia!Yaani Mimi ni Maji na maziwa,wewe una mkate na samaki,halafu unataka mimi nikuuzie maji tu halafu maziwa unaenda kununua kwingine!Lakini pia nikitaka uniuzie mkate na samaki unazui na unaenda kuuza kwingine!Na Mimi nikikaza,nikasema nitauza Kwingine unanuna na kulalamika!Shame!
Unampiga Sanction Russia Ili kuumiza uchumi wake halafu unategemea yeye akuangalie tu? Hungary kajiongeza,kasema hataki Huo Ujinga,maslahi ya nchi yake kwanza!
Kwenye nataka,hata alipoachia bandari itumike mimeli mingi imeenda ulaya na US badala ya kwenda Kwa nchi masikini zenye njaa!
Shame!
Unaupeo mdogo sana kwenye siasa za kimataifa ni Bora ungejikita kwenye kutafuta Dona ule ushibeMbona anataja nchi tu ambazo zilifaulu kuharibu uchumi na kutesa wananchi wao? Kama vile Venezuela, Iran, North Korea, Cuba na Nicaragua ?? - Kwa upande mwingine, sawa, zinalingana. Ila tu siwatakii Warusi hatma kama watu wa nchi hizo...
Fashisti anazidi kupokea kichapo tu[emoji848]Maeneo zaidi waliyokimbia na kuuliwa wameacha silaha tazama video
Unato...Putin kajiongeza mapema na kuna washauri wamempa ushauri aachane na vita hii ambayo haitaisha kwasababu Nia ya western countries ni kurefusha vita ili Russia afilisike kiuchumi.
Nampongeza Putin Kwa kuanza kuondoa majeshi yake nyuma tunajua plan yake ya kuiteka Ukraine Kwa njia ya invasion imeshindikana acha akajipange na plan B tuone itakuaje.
Kwahiyo kama kiongozi wa dini na yeye ameona suluhisho ni more weapons?Basi tumechukua hiyo,mbeleni asije kusema kwamba vita vimalizwe Kwa mazungumzo!Pope Francis on Thursday said it was morally legitimate for countries to provide weapons to Ukraine to help it defend itself from Russian aggression. “This is a political decision which it can be moral, morally acceptable, if it is done under conditions of morality…Self defence is not only licit but also an expression of love for the homeland. Someone who does not defend oneself, who does not defend something, does not love it. Those who defend (something) loves it,” he said.
Ni mwendo wa kipigo tu hakuna namna [emoji848]Maeneo zaidi waliyokimbia na kuuliwa wameacha silaha tazama video
Una utoto mwingi!Ni mwendo wa kipigo tu hakuna namna [emoji848]
Kama kipigo kinatembezwa lazima tuseme,Una utoto mwingi!
Nenda kafufue zingine!Kama kipigo kinatembezwa lazima tuseme,
kwahiyo mnakubali sasa kwamba hii ni vita na sio operation?I am supporting Russia, I am a strong believer of the one and only Vladimir Putin in this war since the beginning.
Russia must win this war!