[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2358926
Hapo kwenye simu yako hiyo Google map inayotumiwa unadhani inafanyaje kazi?! Vijana waliojiajiri na Uber au Bolt wangefanyaje kazi zao bila ya kua na hizo satellite?!
Siku hizi drone zinatumika kusambaza vifaa vya kiutabibu,wenzetu Rwanda wameshaanza kutumia. Unadhani zinaendeshwaje?!
Kufatilia Hali ya hewa,kilimo,maeneo yasiyofikika Kwa urahisi...unadhani yote hayo yangefanyikaje bila ya satellite?!
Kweli akina PPP walipiga kelele sana pale mwanzoni kuhusu ubora na uzuri wa tekinolojia ya Urusi, pamoja na uwezo wa jeshi lake . . . . Nilijaribu pia kuongea nao lakini walipiga kelele mno...
Naona sasa wameanza kutulia kidogo. Ukikimbia ilhali umefunga macho utagonga ukuta tu...
Wengine wanatumia neno "vita", wamesikia mahali pengi kwamba nchi nyingi haziogopi tena jeshi la Urusi, wameanza kuelewa kidogo vitu vingi havitengenezwi tena Urusi kwa sababu ya kukosa vipuri kutoka magharibi, wanaona pia habari zinazoonyesha ndege wa Urusi zinaogopa kupita juu ya Ukraine....
Wakoloni wa EU. kupitia binge lao wapiga marufuku bomba la mafuta na gesi TOKA Uganda hàdi Tanzania KISINGIZIO watu hawajalipwa na athari za kimazingira. HAWA ndio wakoloni baadhi yetu tunakesha humu kuwasifia . Afrika BADO sana .Tumekaa kikutawaliwatawaliwa. Inakuwaje project imeanza ndio wanaipinga. Naamini misimamo ya Uganda na Tanzania juu ya ushoga na vita ya kishoga huko Ukraine imesababisha
Walete walete,Dunia Ilikuwa imepoa!BREAKING NEWS: TURKEY MOBILIZING 45,000 RESERVE TROOPS TOWARD ARMENIA BORDER; IRAN MOBILIZING ARMY WITH HEAVY ARMOR TO SAME AREA; NATO MOVING INTO MOLDOVA
16 SEPTEMBER 2022
The attack by Azerbaijan against Armenia is already escalating very severely. That attack commenced on Tuesday. Yesterday, Iran began mobilizing troops to protect its border with Armenia and told Azerbaijan they will "not tolerate a change in Armenia geography." Today, Turkey began moving 45,000 Reserve troops because they support Azerbaijan, and Iran upped the ante by commencing movement of heavy armor to back-up its troops.
Within days, the world could see the outbreak of yet another war; this on the south side of Russia . . . which is precisely what NATO. the EU and the USA want, so as to create havoc and require Russia to fight two wars on two fronts.
This all due to Russia entering Ukraine to de-Nazify it.
UKRAINE NAZI STATUS
Those claiming Ukraine is "not Nazi" and further claiming that "it is only propaganda," would do well to analyze CNN video from today.
Here is a still image from a CNN report celebrating Ukraine's counter-offensive which recaptured some territory previously conquered by Russia.
Note the white Cross painted on the front of the Ukrainian tank . . . and then note the image below fRom World War 2, showing what is on the side of the NAZI tanks from World War 2 . . . the exact same logo as the Ukrainians are using today on their tanks.
Ukraine has, in fact, gone NAZI. By aiding and abetting Ukraine, the United States and the European Union are, in fact, NAZI Collaborators.
NATO ARMOR MOVING INTO MOLDOVA
This morning, a column of NATO Heavy Armor crossed the border from Romania into Moldova . . . clearly preparing for operations against Russian Crimea in support of Ukraine.
Here's video of Moldovans protesting and stopping the NATO column:
HAL TURNER ANALYSIS AND EDITORIAL OPINION
We are now clearly seeing actual evidence of World War 3 preparations. OUR GOVERNMENT in the USA, conspiring with governments in Europe, are literally moving troops and armor into position to fight a war against Russia, which WILL lead to nuclear war.
Russia has told the world form the beginning that if NATO comes against Russia, "it will be a war that no one will win." Those were the precise words of Russian President Vladimir Putin.
As most readers know all-to-well, the only "war that no one will win" is a nuclear war.
Yet our government is preparing to take actions that
Kwani urusi aliomba silaha kutokea UCHINA maana huwez msaidia mtu ambae hajakuombaMpaka sasa Uchina haijaisapoti Russia na vita yake kwenye Baraza la Usalama la Umoja WA mataifa (ili abstain).
China haijaisadia Urusi silaha.
China haijaipatia Urusi chips sababu zina tec ya Marekani,kuipa Urusi ni kukiuka vikwazo.
China haijakiuka vikwazo vya Marekani sababu wanaogopa secondary sanctions. Na usije kusema kuhusu mafuta maana mafuta ya Urusi hayajawekewa vikwazo.
Mkuu nakushangaa unavyo shabikia vita,vita si kitu cha kutamani hata kidogo mkuu,kisikie tu kwa wenzio.Na usisahau kwamba hata kama sisi hatupo involved directly,spill over effects zake zitatuathiri sana.Walete walete,Dunia Ilikuwa imepoa!
Hao US wendawazimu,kazi kila siku kuchochea vita wafanye biashara ya silaha zao!IMkuu nakushangaa unavyo shabikia Vita,si kitu cha kutamami mkuu,kisikie tu kwa wenzio.Na usisahau kwamba hata kama sisi hatupo involved directly,spill over effects zitatuathiri sana.
Hao wanamtumikia baba yao Shetani mkuu.Kazi za Shetani ni kuua,kuharibu na kuiba,so they are on target.Mimi huwa namshangaa sana mtu anayeipigia chapuo US,it's Western Allies na NATO.Those entities are simply too satanic.They need to be scorned and isolated,not being supported.Hao US wendawazimu,kazi kila siku kuchochea vita wafanye biashara ya silaha zao!I
Unaeleza vizuri sana kazi ya jeshi la Urusi huko Ukraine.Hao wanamtumikia baba yao Shetani mkuu.Kazi za Shetani ni kuua,kuharibu na kuiba,........
Leo washirika wakuu wa Putin China na India walisisitiza kumalizika Kwa vita. Waziri Mkuu wa India alimueleza Putin bila kusita kwamba "Hizi sio Zama za vita" yaani mpaka washirika wake wanaona jamaa alifanya upuuzi kuivamia Ukraine.Kwani urusi aliomba silaha kutokea UCHINA maana huwez msaidia mtu ambae hajakuomba
Ingawaje jana leo imeonekana ndege imetua RUSSIA imetokea UCHINA inaaminika imepeleka silaha ndege ya kijeshi
Kutokuungana na west na kuiekea vikwazo RUSSIA maana yake nikwamba wameisapoti RUSSIA sababu wanaendelea kufanya nae biashara nyengine
Kwenye hizo Chip unatakaje UCHINA waiuzie RUSSIA wakati mwenye tech yake kakataa au hujui sheria zakimataifa zinasemaje kuhusu hilo
Mwisho kutokuiekea vikwazo RUSSIA kama walivyofanya west kwakinachoendelea huko UKRAINE maana yake unasapot juu ya SMO hata US walisema hili kuwaambiwa SA INDIA nkView attachment 2359046
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona husemi vimbolea vya bure anavyotaka kutoa Putin?!Wazee wa vya bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji304]
As for the newly approved $600 million package, the package includes the following according to a Department of Defense list:That list, which Politico published yesterday, includes several long-range weapons that President Joe Biden has so far considered to be a red line, citing the risks of escalation to a wider war if Ukraine is able to strike deep inside Russian territory.
The congressional effort highlights Ukrainian President Volodymyr Zelensky’s "somewhat unprecedented" approach to getting weapons from Washington, according to Bill Hartung of the Quincy Institute. While it’s become commonplace for U.S. allies to hire lobbyists to push their interests in Congress, other countries have balked at the idea of pressuring a president by openly lobbying lawmakers.
Wamemchokonoa China,kHao wanamtumikia baba yao Shetani mkuu.Kazi za Shetani ni kuua,kuharibu na kuiba,so they are on target.Mimi huwa namshangaa sana mtu anayeipigia chapuo US,it's Western Allies na NATO.