Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baada ya China kusema watadestroy satellite za starlink wakati wa Vita,Elon Musk aliwajibu kwamba "Starlink can send more satellites than they can destroy".

SpaceX CEO, Elon Musk, believes that his company's Starlink satellites are not easy for adversaries like Russia or China to take down. Musk said this during an interview with Business Insider.

Musk spoke to Mathias Döpfner, the CEO of Axel Springer, the company that owns Business Insider, recently at Tesla's factory in Fremont, California. The duo discussed space travel, the future of humanity as well as its present which included the ongoing conflict in Ukraine. Musk has been very much a part of the Ukrainian defense by supplying Starlink terminals and activating satellite internet services in the country at short notice.

Russia, China can't take down Starlink's 2,000+ satelites, says Elon Musk
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20220916_164603_034.jpg
 
EU wameanza kutia aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1099]Europeans rushed to buy cheap Chinese electric blankets and heaters.

"According to the Chinese Association of Manufacturers of Household Electrical Appliances, from January to July, the export of electric blankets from China to European countries increased by 97% compared to the same period last year, and electric heaters - by 23%," the Caixin newspaper reports.

Resourceful Europeans intend to wait out the energy crisis winter under warm electric blankets.

However, as noted by the tg channel @geonrgru, they may be in for an unpleasant surprise: electricity is needed for gadgets to work.

Subscribe to @Sputnik
IMG_20220916_190140_092.jpg
 
Mpaka sasa Uchina haijaisapoti Russia na vita yake kwenye Baraza la Usalama la Umoja WA mataifa (ili abstain).

China haijaisadia Urusi silaha.

China haijaipatia Urusi chips sababu zina tec ya Marekani,kuipa Urusi ni kukiuka vikwazo.

China haijakiuka vikwazo vya Marekani sababu wanaogopa secondary sanctions. Na usije kusema kuhusu mafuta maana mafuta ya Urusi hayajawekewa vikwazo.
mi nliwaeleza siku moja kuhusu hio issue ya chips wakawa wabishi kinoma ht hawaelew, wanakwambia russia ana uwezo wa kutengeneza advanced chips ht za nanometer 7 yy mwenyew duh ikabidi nishindwe mimi, tena wakanambia mrusi katengeneza hiz tangu enzi za sputnik duh ilkua tafrani, sasa ingekuwa hvyo china angekua anangaika nn na mmarekan kuhusu kubaniwa kununua mashine za ASML si angemgusa mrusi tu
 
Acha Putin aendelee kupiga porojo wakati wenzake wako mbioni kurusha satellite karibu 50,000 huko Kwa space. Na hiyo ni Space X tu,hapo hatujagusa Blue Origin na star up nyinginezo. Plus satellite za serikali ya Marekani.

Hayo ma satalite yatatusaidia nini sisi Nchi zinazoendelea [emoji635]Russia is ready to transfer 300 thousand tons of fertilizers accumulated in EU ports to developing countries.

President Putin spoke at the SCO summit in Samarkand.

[emoji3502]Russia supports the decision to start admitting Belarus to the SCO.

[emoji3502]90% of Russian food exports go to the countries of Asia, Africa and South America.

The admission of Iran to the SCO will have a positive impact on the work of the association.

Cooperation between the SCO countries is built without selfishness in politics and economics.

All applications for cooperation between the countries with the SCO deserve a benevolent consideration.

Hapo kwenye simu yako hiyo Google map inayotumiwa unadhani inafanyaje kazi?! Vijana waliojiajiri na Uber au Bolt wangefanyaje kazi zao bila ya kua na hizo satellite?!

Siku hizi drone zinatumika kusambaza vifaa vya kiutabibu,wenzetu Rwanda wameshaanza kutumia. Unadhani zinaendeshwaje?!

Kufatilia Hali ya hewa,kilimo,maeneo yasiyofikika Kwa urahisi...unadhani yote hayo yangefanyikaje bila ya satellite?!
 
Hayo ma satalite yatatusaidia nini sisi Nchi zinazoendelea [emoji635]Russia is ready to transfer 300 thousand tons of fertilizers accumulated in EU ports to developing countries.

President Putin spoke at the SCO summit in Samarkand.

[emoji3502]Russia supports the decision to start admitting Belarus to the SCO.

[emoji3502]90% of Russian food exports go to the countries of Asia, Africa and South America.

The admission of Iran to the SCO will have a positive impact on the work of the association.

Cooperation between the SCO countries is built without selfishness in politics and economics.

All applications for cooperation between the countries with the SCO deserve a benevolent consideration.

Subscribe to @Sputnik
Tanzania pekee tunatumia tani zaidi ya hizo ambazo Urusi anataka kugawa kwa nchi zinazoendelea. Hilo ni Sawa na tone kwenye Bahari. Ukigawa hizo tani kwa nchi 54 za Afrika kila nchi itapata tani 5600 ambazo zinatosha kwenye plantation za bakhresa au Mo peke yake.

Magharibi wanatusaidia kwenye Afya,miundombinu,nk. Mfano mzuri Kijazi interchange ni msaada wa Japan,New salender bridge ni fedha za Korea kusini. Bado hatujagusa kwenye Afya na Elimu ambapo Marekani na Uingereza wanatoa misaada mikubwa Sana. Budget ya Afya Tu Marekani anachangia zaidi ya Nusu,hiyo Urusi anachangia kiasi gani zaidi ya kutuuzia masilaha tu?!
 
EU wameanza kutia aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1099]Europeans rushed to buy cheap Chinese electric blankets and heaters.

"According to the Chinese Association of Manufacturers of Household Electrical Appliances, from January to July, the export of electric blankets from China to European countries increased by 97% compared to the same period last year, and electric heaters - by 23%," the Caixin newspaper reports.

Resourceful Europeans intend to wait out the energy crisis winter under warm electric blankets.

However, as noted by the tg channel @geonrgru, they may be in for an unpleasant surprise: electricity is needed for gadgets to work.

Subscribe to @SputnikView attachment 2358928
Bwana jaribu kunyosha propaganda yako kidogo. Unaleta kichwa cha habari kuhusu Ulaya halafu unaonyesha blanketi ambayo haipatikani Ulaya (nikuambie siri: Fahrenheit ni kizio kisichokubalika Ulaya, blanketi inayoonyesha halijoto kwa Fahrenheit haiwezi kuuzwa huko, hairihusiwi na haieleweki...) . Hata plagu yake haitaingia katika soketi yoyote Ulaya.

Unaamini kila kitu kinachotumwa na mtu mwenye mawazo kama yako?
 
mi nliwaeleza siku moja kuhusu hio issue ya chips wakawa wabishi kinoma ht hawaelew, wanakwambia russia ana uwezo wa kutengeneza advanced chips ht za nanometer 7 yy mwenyew duh ikabidi nishindwe mimi, tena wakanambia mrusi katengeneza hiz tangu enzi za sputnik duh ilkua tafrani, sasa ingekuwa hvyo china angekua anangaika nn na mmarekan kuhusu kubaniwa kununua mashine za ASML si angemgusa mrusi tu
Kweli akina PPP walipiga kelele sana pale mwanzoni kuhusu ubora na uzuri wa tekinolojia ya Urusi, pamoja na uwezo wa jeshi lake . . . . Nilijaribu pia kuongea nao lakini walipiga kelele mno...
Naona sasa wameanza kutulia kidogo. Ukikimbia ilhali umefunga macho utagonga ukuta tu...

Wengine wanatumia neno "vita", wamesikia mahali pengi kwamba nchi nyingi haziogopi tena jeshi la Urusi, wameanza kuelewa kidogo vitu vingi havitengenezwi tena Urusi kwa sababu ya kukosa vipuri kutoka magharibi, wanaona pia habari zinazoonyesha ndege wa Urusi zinaogopa kupita juu ya Ukraine....
 
Wakoloni wa EU. kupitia binge lao wapiga marufuku bomba la mafuta na gesi TOKA Uganda hàdi Tanzania KISINGIZIO watu hawajalipwa na athari za kimazingira. HAWA ndio wakoloni baadhi yetu tunakesha humu kuwasifia . Afrika BADO sana .Tumekaa kikutawaliwatawaliwa. Inakuwaje project imeanza ndio wanaipinga. Naamini misimamo ya Uganda na Tanzania juu ya ushoga na vita ya kishoga huko Ukraine imesababisha
 
Hakuna nchi inayopenda au kuona fahari wanajeshi wake wakiwa anakufa vitani.ndo maana Alianza Kiev Ili kuangusha selikali.pia kuhusu nishati ni swala la muda tu maana sisi tuona makaa ya mawe yavyo chimbwa Huku ludew,pia Nigeria anavyo pata tenda,Iran sio mda wanapunguza vikwazo wataamza kuuza mfuta kwenye soko la Dunia,Ulaya itaendelea kupata fedha za kufadhili silaha Ukraine

Nigeria atapata tenda ya kusupply nini? Unafikie Iran ana imani na west?? Kwa vene imeishia wapi??
 
Back
Top Bottom