Kwani urusi aliomba silaha kutokea UCHINA maana huwez msaidia mtu ambae hajakuomba
Ingawaje jana leo imeonekana ndege imetua RUSSIA imetokea UCHINA inaaminika imepeleka silaha ndege ya kijeshi
Kutokuungana na west na kuiekea vikwazo RUSSIA maana yake nikwamba wameisapoti RUSSIA sababu wanaendelea kufanya nae biashara nyengine
Kwenye hizo Chip unatakaje UCHINA waiuzie RUSSIA wakati mwenye tech yake kakataa au hujui sheria zakimataifa zinasemaje kuhusu hilo
Mwisho kutokuiekea vikwazo RUSSIA kama walivyofanya west kwakinachoendelea huko UKRAINE maana yake unasapot juu ya SMO hata US walisema hili kuwaambiwa SA INDIA nk
Sent using
Jamii Forums mobile app