Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naomba nikunukuu... "Amegushi kila uchaguzi"

Niliposoma tu hapo mwanzo nikaelewa hujui unaloliandika, basi na nikaacha kusoma na hayo mengine uliyoandika kwa sababu naona kwenye ili jambo uelewa wako ni mdogo.

Ayatollah Khamenei wala hachaguliwi kwenye kura za kwenye mabox (kwa hiyo hawezi kughushi uchaguzi). Huyu wa Sasa yupo tokea 1989. Yeye Ni Supreme Leader na vilevile Kuna President ambaye ndiye anachaguliwa kila baada ya miaka 5.

Next time uwe unajifunza na kuelewa Mambo kabla ya kuleta ligi.
Unafiki wa hawa viumbe umenifanya niwalime block 70+ ya wachangiaji mithili yao kwenye huu uzi. ID 70+ kwenye ignoring list na huyu nae akiwemo.

They do write much kitu wasicho kijua, na hakubali kama hajui kitu ambacho ni dalili za upumbavu.

The same person atamuita Supreme Leader wa Iran kua ni Dictator, ila anafanya kusudi kutoshirikisha ubongo kujiuliza why UK Canada Australia na New Zealand hadi leo hii zipo chini ya familia ya Marehem Eliza.

Je Marehem Eliza alikuwa Dictator? Hapo watakupa excuse wanazo zijua wao. So Dictator ni nani? Kigezo cha kua dictator ni nini? Utasikia ooh kuchaguliwa na wananchi, ukiwauliza mbona Putin, Xi wote hao wamepigiwa kura na wananchi wao wanatafuta tena excuse nyingine.

Sasa Mtu au watu ambao hawana distinctive line of reference kwenye hoja zao sijui huwa mnaweza vipi zungumza nao.

Asee kuna watu ni weupe mbaka wanaboa 😂😂😂

Anyway wacha niendelee kula zangu mtori kwa mbaaaaaali nishuhudie uumbaji 😂
 
Ni wapi niliposema biblia imesema Ushoga umeanzia Tanzania?!
Iliandika hivi:

"Na kabla ya Marekani kwani Ushoga hakuepo Tanzania?! Ushoga ulikuepo enzi na enzi hata kwenye Bible umeandikwa"

Nikakuuliza kwamba..." Ni wapi kwenye Biblia kunapotaja huo ushoga wa Tanzania"

Wewe unakuja kuuliza ishu za "wapi nimetaja ushoga umeanza Tanzania"

Sasa kwa muktadha huu kweli wewe una akili timamu za majadiliano?
 
Nilikua namjibu huyo jamaa aliyesema kwamba Marekani inalazimisha Ushoga nikamjibu kabla ya Marekani kutulazimisha kwani Ushoga haukuwepo Tz?!

Ukaniquote na issue za Bible na Tanzania!!!!!

Wewe ndio Una akili Sana za majadiliano,Hongera Kwa hilo.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Unafiki wa hawa viumbe umenifanya niwalime block 70+ ya wachangiaji mithili yao kwenye huu uzi. ID 70+ kwenye ignoring list na huyu nae akiwemo.

They do write much kitu wasicho kijua, na hakubali kama hajui kitu ambacho ni dalili za upumbavu.

The same person atamuita Supreme Leader wa Iran kua ni Dictator, ila anafanya kusudi kutoshirikisha ubongo kujiuliza why UK Canada Australia na New Zealand hadi leo hii zipo chini ya familia ya Marehem Eliza.

Je Marehem Eliza alikuwa Dictator? Hapo watakupa excuse wanazo zijua wao. So Dictator ni nani? Kigezo cha kua dictator ni nini? Utasikia ooh kuchaguliwa na wananchi, ukiwauliza mbona Putin, Xi wote hao wamepigiwa kura na wananchi wao wanatafuta tena excuse nyingine.

Sasa Mtu au watu ambao hawana distinctive line of reference kwenye hoja zao sijui huwa mnaweza vipi zungumza nao.

Asee kuna watu ni weupe mbaka wanaboa [emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway wacha niendelee kula zangu mtori kwa mbaaaaaali nishuhudie uumbaji [emoji23]

Mkuu Galip Vrl

Kuwa mvumilivu, hii jamii ina watu wengi wa namna hiyo wenye uwezo na upeo mdogo wa akili, kinachotakiwa ni uvumilivu.
 
Nilikua namjibu huyo jamaa aliyesema kwamba Marekani inalazimisha Ushoga nikamjibu kabla ya Marekani kutulazimisha kwani Ushoga haukuwepo Tz?!

Ukaniquote na issue za Bible na Tanzania!!!!!

Wewe ndio Una akili Sana za majadiliano,Hongera Kwa hilo.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ni kweli akili ninazo, na Jambo ili la kuwa na akili nalifahamu vizuri .

Je, kwani sio kweli Marekani inalazimisha Mambo ya ushoga?
 
Huyu Mzee mwaka huu atachanganyikiwa ,anataka Nord Stream 2 ifunguliwe ya kazi gani wakati alisema kapata soko la Gas China[emoji38]

Putin tells Europe: if you want gas then open Nord Stream 2

SAMARKAND, Uzbekistan, Sept 16 (Reuters) - President Vladimir Putin on Friday denied Russia had anything to do with Europe's energy crisis, saying that if the European Union wanted more gas it should lift sanctions preventing the opening of the Nord Stream 2 pipeline.

Speaking to reporters after the Shanghai Cooperation Organisation summit in Uzbekistan, Putin blamed what he called "the green agenda" for the energy crisis, and insisted that Russia would fulfil its energy obligations.

"The bottom line is, if you have an urge, if it's so hard for you, just lift the sanctions on Nord Stream 2, which is 55 billion cubic metres of gas per year, just push the button and everything will get going," Putin said.

Nord Stream 2, which lays on the bed of the Baltic Sea almost in parallel to Nord Stream 1, was built a year ago, but Germany decided not to proceed with it just days before Russia sent its troops into Ukraine on Feb. 24
 
Je, kwa Nini asitake nord stream 1 ndiyo ifunguliwe?
 
Raisi wa Russia Vladmir Putin asema Russia Ukraine kujibu mapigo huko Kharkiv hakutabadilisha mipango ya Russia.

Putin alisema hayo leo huko Uzbekistan alipokuwa akizungumza na waziri mkuu wa India Mehandra Modi na kusema Russia hawana haraka na kazi yao ya kuihodhi sehemu ya Donbas iko kwenye reli.

Akifafanua zaidi raisi Putin amesema Russia hadi sasa haijatumia majeshi yake kamili bali yale ya kukodi na ya kitaalam zaidi. Aliendelea kusema operesheni juu ya Donbas haitoacha ingawa majeshi yajongea polepole lakini bado yaendelea kuchukua maeneo zaidi.

Eneo la viwanda la Donbas ndilo limekuwa mlengwa wa operesheni maalum ya majeshi ya Russia ndani ya Ukraine na ni eneo ambalo limekuwa likikaliwa na vikundi vilivyojitenga vya kirusi tangu mwaka 2014.

Jimbo la Kharkiv ambalo majeshi ya Ukraine yamekuwa yakidai kufanya mashambulizi halimo ndani ya eneo la Donbas.
 
He is a better comedian than Zelenksy, I think this year's award should go to Putin.
 
Putin kawa Mtu wa kujielezea tu toka kwa Xi mpaka kwa Modi.

Ukiangalia facial expressions za Putin huyu wa Leo na Yule wa February 24 alipotangaza kuivamia Ukraine wana tofauti kubwa Sana. WA sasa hana Ile confidence aliyokua nayo Putin wa February 24.
Lazima ajieleze maana hao ndo wanamsaidia kukwepa vikwazo, wanamtk amalize vita vyake wamechoka kununua mafuta usiku katikati ya bahari
 
Bado wanaweza kupaa
👏 Ukrainian military aircraft conducted 18 strikes on places of concentration of the enemy's manpower and equipment over the previous day

0B04C0BF-7273-4D82-A96A-8904F716F17D.jpeg

The military managed to hit 13 strongholds, areas where Russian weapons and military equipment were concentrated, and five positions of air defense systems.
 
🔈 The United Stated announced a new $600 million military aid package

It contains additional ammunition for HIMARS systems, tens of thousands of 105 mm artillery shells, a thousand high-precision 155 mm shells, anti-drone systems, demining equipment and more.
 
📌 After a successful counterattack by the Armed Forces of Ukraine and the defeat of Russian troops in the Kharkiv region, Russian authorities are intensifying hidden mobilization and recruitment for war in Ukraine — ISW
 
🔗 Zelensky said that in addition to the United States and Germany, Ukraine is negotiating with France, Italy, and Israel to strengthen its air defense system

6AA828D0-B8E4-4583-8E38-9AE79B67F96B.jpeg

"Our priority today is anti-missile defense. We have started these conversations, and there are positive results on the delivery of NASAMS and IRIS-T. As for the German partners, we are waiting for several systems; so far, we have not received any. As well as from the United States," said the President.
 
Back
Top Bottom