Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu Mzee mwaka huu atachanganyikiwa ,anataka Nord Stream 2 ifunguliwe ya kazi gani wakati alisema kapata soko la Gas China[emoji38]

Putin tells Europe: if you want gas then open Nord Stream 2

SAMARKAND, Uzbekistan, Sept 16 (Reuters) - President Vladimir Putin on Friday denied Russia had anything to do with Europe's energy crisis, saying that if the European Union wanted more gas it should lift sanctions preventing the opening of the Nord Stream 2 pipeline.

Speaking to reporters after the Shanghai Cooperation Organisation summit in Uzbekistan, Putin blamed what he called "the green agenda" for the energy crisis, and insisted that Russia would fulfil its energy obligations.

"The bottom line is, if you have an urge, if it's so hard for you, just lift the sanctions on Nord Stream 2, which is 55 billion cubic metres of gas per year, just push the button and everything will get going," Putin said.

Nord Stream 2, which lays on the bed of the Baltic Sea almost in parallel to Nord Stream 1, was built a year ago, but Germany decided not to proceed with it just days before Russia sent its troops into Ukraine on Feb. 24
Humjui Putin,alikuwa anasubiri winter,aminye Nord stream 1,halafu awaambie kama mnataka gas,ni ninyi wenyewe kuchagua!
Na hapo Bado Wana vi akiba,subiri mzigo uanze kukata!Wataonza kupigana vikumbo,nani amsikilize Marekani wakati Kwake hali mbaya!Wakikaa vibaya maandamano!
Kama Italy ndio hawataki kabisa serikali Yao kujihusisha na sanctions dhidi ya Russia ila serikali imekomaa,winter ikikaza wanaingia Barabarani!
Winter hii inaenda kuangauka na serikali kadhaa huko Ulaya!
 
Tanzania pekee tunatumia tani zaidi ya hizo ambazo Urusi anataka kugawa kwa nchi zinazoendelea. Hilo ni Sawa na tone kwenye Bahari. Ukigawa hizo tani kwa nchi 54 za Afrika kila nchi itapata tani 5600 ambazo zinatosha kwenye plantation za bakhresa au Mo peke yake.

Magharibi wanatusaidia kwenye Afya,miundombinu,nk. Mfano mzuri Kijazi interchange ni msaada wa Japan,New salender bridge ni fedha za Korea kusini. Bado hatujagusa kwenye Afya na Elimu ambapo Marekani na Uingereza wanatoa misaada mikubwa Sana. Budget ya Afya Tu Marekani anachangia zaidi ya Nusu,hiyo Urusi anachangia kiasi gani zaidi ya kutuuzia masilaha tu?!
Ndio ile demu unamnunulia gari alafu jamaa kamwekea mafuta ya ten anamwona yeye ndiye wa maana.Mimi bwana nimefanya kweye mashirika ya misaada meng huwez kuta taifa la kidictetor likitoa misaada kwa nchi maskin,watasaidiana wenyewe kwa wenyewe ,kama unabisha lete shirika la msaada lolote unalolijua linatoka Russia au China. Japan kuna JICA,US kuna USAid,UK UK aid,Demak kuna DANIDA,bado kuna France ,Australia, Norway, South Korea,Germany, Canada, nchi zote hizi zikekua mstari wa mbele kutupiga tafu kiuchumi ,kiukweli kama hujashirik kuchakata bajet ya tz hutaelewa haya mambo sisi bado choka mbaya wenzetu bajet zao zinacheza na surplus kila mwaka ila sisi full deficit kila mwaka tangu. tupate Uhuru .chance za kimaisha ni chache sana tunaogelea kwenye umaskini yan tunanuka shida,ukisaidiwa use na angalau shukran
 
Putin kawa Mtu wa kujielezea tu toka kwa Xi mpaka kwa Modi.

Ukiangalia facial expressions za Putin huyu wa Leo na Yule wa February 24 alipotangaza kuivamia Ukraine wana tofauti kubwa Sana. WA sasa hana Ile confidence aliyokua nayo Putin wa February 24.
Putin anachokifanya ni kujaribu kutengeneza propaganda ya uhusiano wa kidunia ,lengo ni kuua dhana kwamba yeye alichokifanya Ukraine hakijamuharibia mahusiano ya kimataifa,kwamba bado ana marafik,ila ukweli unabak palepale sasa hivi Russia anakwepwa sana na mataifa mengi,even in Africa, Putin siyo mtu mzur China anamjua sana Putin ila wameunganishwa na kamba ambayo hakuna asiyejua ,tukisema biashara ni uongo
 
Humjui Putin,alikuwa anasubiri winter,aminye Nord stream 1,halafu awaambie kama mnataka gas,ni ninyi wenyewe kuchagua!
Na hapo Bado Wana vi akiba,subiri mzigo uanze kukata!Wataonza kupigana vikumbo,nani amsikilize Marekani wakati Kwake hali mbaya!Wakikaa vibaya maandamano!
Kama Italy ndio hawataki kabisa serikali Yao kujihusisha na sanctions dhidi ya Russia ila serikali imekomaa,winter ikikaza wanaingia Barabarani!
Winter hii inaenda kuangauka na serikali kadhaa huko Ulaya!
Kwani kabla ya Gas ya Urus huko Ulaya walipitaje hicho kipindi cha winter?!

Shida ya serikali za Ulaya ni kwamba,sio kwamba kila kiongozi anayekuja anakuja na mambo yake kama huku kwetu, wenzetu wanafuata Sera za nchi tena hao wanaotoka wanaweza kua afadhali kuliko watakaowapokea kijiti. Mfano mzuri ni hapo Uingereza katoka Boris kaingia Yule Mama lakini Sera zake dhidi ya mataifa hasimu ni zilezile hazijabadilika.
 
Kingine kinachonishangaza ni kwanini atake Nord stream 2 ifunguliwe wakati alishasema kapata soko la Gas huko Asia Ulaya hana habari napo tena.
 
Hizo pipeline kukamilika kwenda huko China,India, Pakistan NK sio Leo,Kama ambavyo EU kupata mbadala wa gas ya Urusi sio Leo!
Nord stream 2 imekula Hela,so walau lazima irudishe gharama za instalment winter hii!
watu walitabiri,Ile kupunguza volume kwe pipelines zake ni kuhakikisha hakuna nchi inaweka reserve badala yake Gase yote anayopump inatumika!
Huu Sasa ni wakati wa Putin kushika usukani!Silaha hii ya gas sio poa kabisa!
 
Kwani kabla ya Gas ya Urus huko Ulaya walipitaje hicho kipindi cha winter?!

Shida ya serikali za Ulaya ni kwamba,sio kwamba kila kiongozi anayekuja anakuja na mambo yake kama huku kwetu, wenzetu wanafuata Sera za nchi tena hao wanaotoka wanaweza kua afadhali kuliko watakaowapokea kijiti. Mfano mzuri ni hapo Uingereza katoka Boris kaingia Yule Mama lakini Sera zake dhidi ya mataifa hasimu ni zilezile hazijabadilika.
Kuna nchi zilikuwa na Nyuklia power plant,baadae zikafunga!Kama France,ikazifunga!Kuzifungua ni shughuli ya miaka!
Au unataka turudi zama za nyuma zaidi za Kuni?
Yaani mfano Pale Roma,watu waanze kupambana kutafuta Kuni!!!Halafu pia Kwa Sasa tech ipo juu,mambo mengi ni gas!Na inapokosena hasa winter hii basi gharama ndio zinaenda ku sky rocket!
 
Hizo pipeline kukamilika kwenda huko China,India, Pakistan NK sio Leo,Kama ambavyo EU kupata mbadala wa gas ya Urusi sio Leo!
Nord stream 2 imekula Hela,so walau lazima irudishe gharama za instalment winter hii!
watu walitabiri,Ile kupunguza volume kwe pipelines zake ni kuhakikisha hakuna nchi inaweka reserve badala yake Gase yote anayopump inatumika!
Huu Sasa ni wakati wa Putin kushika usukani!Silaha hii ya gas sio poa kabisa!
Kaka gharama zilizotumika kujenga hilo bomba haziwezi rudishwa kwa miezi michache ya winter.

Nchi za Ulaya zilishatabiri kitambo (kama unakumbuka) kwamba wana taarifa za intelligensia kwamba Urusi itasitisha uuzaji wa Gas ifikapo winter,na imekua kweli ndio maana wakaanza kupunguza matumizi ili kusave gas kwa ajili ya Winter na Kwa hilo wamefanikiwa Jana Mkuu wa Umoja wa Ulaya Bi Ursula alisema gas reserves zao zimejaa kufikia 85% na utegemezi wa Gas ya Russia umefikia 9% toka 40% iliyokua awali kabla ya Vita.

Ujerumani na nchi nyinginezo za EU ameanza kununua coal Kwa wingi kufidia gas ya Russia wakati wa winter plus kuna vinu vya nyuklia ambazo vilipaswa kustaafishwa vimeongezewa muda kufidia nishati iliyokua inatoka Urusi.

Yote kwa yote muda ndo hakimu mzuri,ngoja tusubiri winter haipo mbali tutaona matokeo.
 
Kuna nchi zilikuwa na Nyuklia power plant,baadae zikafunga!Kama France,ikazifunga!Kuzifungua ni shughuli ya miaka!
Au unataka turudi zama za nyuma zaidi za Kuni?
Yaani mfano Pale Roma,watu waanze kupambana kutafuta Kuni!!!Halafu pia Kwa Sasa tech ipo juu,mambo mengi ni gas!Na inapokosena hasa winter hii basi gharama ndio zinaenda ku sky rocket!
Hivyo vinu vinaweza kufufuliwa Mkuu kama vilikua havijabomolewa. Hata Elon musk aliwashauri EU warudishe vinu vya nyuklia waachane na mambo Yao ya net-zero Kwa sasa

Elon Musk has called for a boost in Europe's nuclear-energy output amid fears of a gas shortage on the back of Russia's invasion of Ukraine.

Musk tweeted on Sunday evening that it's "extremely obvious" that Europe should restart dormant nuclear power plants and boost the output of those that are operational.

"This is critical to national and international security," wrote the CEO of Tesla. Tesla runs a clean energy business alongside its electric vehicle unit.

Elon Musk says Europe should restart its dormant nuclear power stations amid fears the Russian invasion of Ukraine will trigger a gas-supply shortage
 
Kaka gharama zilizotumika kujenga hilo bomba haziwezi rudishwa kwa miezi michache ya winter.

Nchi za Ulaya zilishatabiri kitambo (kama unakumbuka) kwamba wana taarifa za intelligensia kwamba Urusi itasitisha uuzaji wa Gas ifikapo winter,na imekua kweli ndio maana wakaanza kupunguza matumizi ili kusave gas kwa ajili ya Winter na Kwa hilo wamefanikiwa Jana Mkuu wa Umoja wa Ulaya Bi Ursula alisema gas reserves zao zimejaa kufikia 85% na utegemezi wa Gas ya Russia umefikia 9% toka 40% iliyokua awali kabla ya Vita.

Ujerumani na nchi nyinginezo za EU ameanza kununua coal Kwa wingi kufidia gas ya Russia wakati wa winter plus kuna vinu vya nyuklia ambazo vilipaswa kustaafishwa vimeongezewa muda kufidia nishati iliyokua inatoka Urusi.

Yote kwa yote muda ndo hakimu mzuri,ngoja tusubiri winter haipo mbali tutaona matokeo.
Ulitaka kujua Kuna jambo, Zelensky alimuomba huyo mama wa EU sanctions zaidi Kwa Urusi kipindi hiki!Bi Ursula akaishia kumuahidi fedha zaidi Zelensky ila suala la sanctions akaliacha kabisa!
EU wanajaribu kucheza na akili Putin Ila uhalisia utaonekana soon!
 
Vikwazo gani tena Mkuu (maana EU mpk sasa wana package 6 za vikwazo dhidi ya Russia) kama Una link iweke nipitie
 
Ulitaka kujua Kuna jambo, Zelensky alimuomba huyo mama wa EU sanctions zaidi Kwa Urusi kipindi hiki!Bi Ursula akaishia kumuahidi fedha zaidi Zelensky ila suala la sanctions akaliacha kabisa!
EU wanajaribu kucheza na akili Putin Ila uhalisia utaonekana soon!
Washirika wa Putin hawaelewi somo
 
Attachments

  • Screenshot_2022-09-17-06-45-41-883_com.google.android.youtube.jpg
    Screenshot_2022-09-17-06-45-41-883_com.google.android.youtube.jpg
    610.6 KB · Views: 19
Hivyo vinu vinaweza kufufuliwa Mkuu kama vilikua havijabomolewa. Hata Elon musk aliwashauri EU warudishe vinu vya nyuklia waachane na mambo Yao ya net-zero Kwa sasa

Elon Musk has called for a boost in Europe's nuclear-energy output amid fears of a gas shortage on the back of Russia's invasion of Ukraine.

Musk tweeted on Sunday evening that it's "extremely obvious" that Europe should restart dormant nuclear power plants and boost the output of those that are operational.

"This is critical to national and international security," wrote the CEO of Tesla. Tesla runs a clean energy business alongside its electric vehicle unit.

Elon Musk says Europe should restart its dormant nuclear power stations amid fears the Russian invasion of Ukraine will trigger a gas-supply shortage
Mkuu Vinu hivyo vimekaa muda mrefu,sio kama generator ya kufanyika service mwezi mmoja tayari inakuwa hewani!Lazima vipitie series of tests maana hiyo ni nuclear!Lazima wacheki leakage na kama vimeshalika na kutu Ili visilete disaster!Bado kuanza kuzalisha control rods!
Zoezi hilo linachukua muda!Lakini pia hata ikiwezekana ni gharama kuliko gas hivyo inflation juu!Mbebaji wa hizo gharama ni mwananchi!
Tuvute subira tuone!
 
Chukua hii jifunze, ni rahisi sana kuelewa.
Unafiki wa hawa viumbe umenifanya niwalime block 70+ ya wachangiaji mithili yao kwenye huu uzi. ID 70+ kwenye ignoring list na huyu nae akiwemo.

They do write much kitu wasicho kijua, na hakubali kama hajui kitu ambacho ni dalili za upumbavu.

The same person atamuita Supreme Leader wa Iran kua ni Dictator, ila anafanya kusudi kutoshirikisha ubongo kujiuliza why UK Canada Australia na New Zealand hadi leo hii zipo chini ya familia ya Marehem Eliza.

Je Marehem Eliza alikuwa Dictator? Hapo watakupa excuse wanazo zijua wao. So Dictator ni nani? Kigezo cha kua dictator ni nini? Utasikia ooh kuchaguliwa na wananchi, ukiwauliza mbona Putin, Xi wote hao wamepigiwa kura na wananchi wao wanatafuta tena excuse nyingine.

Sasa Mtu au watu ambao hawana distinctive line of reference kwenye hoja zao sijui huwa mnaweza vipi zungumza nao.

Asee kuna watu ni weupe mbaka wanaboa [emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway wacha niendelee kula zangu mtori kwa mbaaaaaali nishuhudie uumbaji [emoji23]
 
Kuna kitu kinaitwa constitutional monarchy/ufalme wa katiba ambao unadhibitiwa na katiba huu unaweza kuwa utawala wa kidemokrasia kabisa kama U.K, Denmark na Sweden. Kuna absolute monarchy/ ufalme mtimilifu, huu ni ufalme ambao haudhibitiwi na katiba na mfalme anaweza kuamua jambo lolote bila kufungwa na katiba hizi ni falme za Saudi Arabia, Oman, Swaziland, Abu dhabi.

Hii ni CIVICS ya O-level, bahati mbaya wengine mnaonekana hamkuweza kubahatika kuipata elimu nyepesi kama hii.

Back
Top Bottom