Na huwa inachukua 5 to 7 yrs kutengeneza Nuclear Reactor kwa mujibu wa NEA (Nuclear Energy Agency).
Pili a word "Nuclear" is just a title, Uranium hiyo inayohitajika wanaitoa Russia, 20% ya Uranium wanayo imports EU wanatoa huko Urusi.
Hapa nakukumbusha hiyo Imports haijapigwa msasa wa demand. Je ikitokea ikawa driven na demand kwa matumizi hayo, Uranium wataitoa wapi?
Ok wana zile Green Energy Initiatives zao ambazo zina oppose Nuclear kama chanzo cha nishati ya umeme. Sababu wakizitaja kama hizi:- Nuclear waste, Nuclear proliferation, National security, Accidents & Cancer risk, kibaya zaidi Cost ake ni kubwa.
Je hapo watakula matapishi yao [emoji23] maana uku TZ na UG thousands miles kutoka kwao wanaona mradi wetu unawaharibia mazingira. Wameupiga stop [emoji4]
Kwa kusherehesha hapo kwenye National Security wana wasiwasi inaweza kua target ya terrorism mithili kama Ukraine ambavyo wanafanya pale ZNPP. Strike moja tu mwanana inaangamiza kila kinachozunguka eneo hilo.
Ukirejea nyuma hadi hivi sasa kuna kama vinu 444 hivi ambavyo vinatoa about 11% ya world energy. Study zinaonesha ili ku'meet current and future demand ya energy zinahitajika plants up to 14,500.
Hiyo number ni too large na haiwezekani kwasababu hakuna maeneo feasible kuweka plants hizo. Nuclear plants zinahitaji kua karibu na vyanzo vya maji (hapa hasa tunaongelea vyanzo vya maji for cooling).
Zaidi ni kua hakuna enough locations ambazo ziko safe from droughts, flooding, hurricanes, earthquakes, au potential disasters zingine ambazo zinaweza ku- trigger a nuclear accident.
Even though yote hayo yatawezekana, bado tunarudi pale pale kama tuliposema awali. Fuel ya Nuclear reactors ni Uranium, One fifth ya EU's Uranium Imports inatoka Russia kama inavyojionesha below. Je huo mbadala wa chap watautoa wapi?
View attachment 2359326
Asian countries kuongeza manunuzi ya Gas and Oil kutoka Urusi ambayo EU wanajitia kidole kuisusa ili kumfurahisha bwana wao sio wajinga au hawazioni hizo Options.
Tatizo tuna elim ndogo ya vile tunavyokesha tukivibwabwaja hapa. Yan kupunguza maelezo ni kua sisi wachangiaji tumekaa kisiasa zaidi, hakuna technicality yoyote ya hoja zetu.
#WinterIsComing