Porojo gani? Uliuliza kuhusu udikteta, nimelta ushahidi. Cjui wewe mtu wa aina gani, ila kama u Mwislamu Sunni usingefurahia kuishi chini ya dikteta huyu, ukiwa Mkriso usingefurahia, ukiwa Atheisti usinge furahi hata kidogo, ukiwa Mshia mwelekeo wa Khoja usingefurahi - - -
Kuiba uchaguzi ana mbinu mzuri: anamkagua kila mgombea. Anamzuia yeyote ambaye hampendi. Mfano mdogo:
Disqualification of Iran's presidential contenders sparks debate
Katika uchaguzi wa rais ni watu zaidi ya 500 waliojaza fomu ya kugombea. Aliteua 7 aliokubali. Katika kura ya Wabunge na halmashauri za miji idadi ya waliokataliwa ni kubwa zaidi.
Iran disqualifies thousands from running for parliament
"Iran disqualifies thousands from running for parliament"
Kama mbinu huo hautoshi, mfano kama mgombea aliyekubaliwa anaanza kusema kisichokubaliwa, anazidi kugushi. Ona mfano uchaguzi mwaka 2009. Mgombea wa mwaka ule Bwana Mousavi alifungwa ndani, hadi leo haruhusiwi kutoka katika nyumba yake. Milioni walipinga matokeo yaliyotangazwa wakapigwa wengi kuuawa.