kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Vita alivyotegemea Russia ni saa 72na asingeingia vitani na ukraine kwa mwaka huu basi amepotea mazima kabisa kabisa..........
ukiwasoma hata kina Kissinger walisema wazi kuna redline ikifikiwa russia hatakua na option ila kuingia vitani,
hata asingekua putin urusi ilikua lazima waingie vitani, that was the only way to survive
Hivi vita vinamtindua Malinda Russia vibaya sana
Ndio maana Georgia wanapiga jalamba kurudisha majimbo Yao waliyopoteza
Washausoma mchezo kwamba urusi Hana Tena Malinda ..,yanamtoka tu,
Dikiteta Putin alicalculate vibaya sana hii mnayoiita special military operation [emoji848]
Kibaya zaidi mikwara yake yote inapuuzwa tu
Wajanja wanamsubiri ajichanganye wamkaange mazima[emoji2]