Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mpaka sasa Uchina haijaisapoti Russia na vita yake kwenye Baraza la Usalama la Umoja WA mataifa (ili abstain).

China haijaisadia Urusi silaha.

China haijaipatia Urusi chips sababu zina tec ya Marekani,kuipa Urusi ni kukiuka vikwazo.

China haijakiuka vikwazo vya Marekani sababu wanaogopa secondary sanctions. Na usije kusema kuhusu mafuta maana mafuta ya Urusi hayajawekewa vikwazo.
Unahisi Urusi anahitaji msaada wa China!? Amepungukiwa nini!?
 
Ungekuwa umepitia Uzi,Hilo limeshasemwa!Ni hivi,Kwa Italy wananchi hawataki kabisa habari za sanctions dhidi ya Russia!Jana nilikuwa naangalia wanavyohojiwa,Kuna jamaa mmoja akasema biashara ya mgahawa alianzisha babu yake miaka ya 1950, akasema biashara hiyo haijawahi kufungwa ila Kwa hali iivyo ya gharama ya umeme basi anaelekea kufunga!Akailaumu serikali yake Kwa kuiingiza nchi kwenye vita isiyowahusu!Katika wote waliohojiwa hakuna anayeunga mkono uamuzi wa serikali!Na hapo winter ndio inanyemelea,it means cost zitaenda juu zaidi!
Kuhusu huko nyuma,ni kwamba teknolojia pia imekuwa!Sasa unataka watu wa Ulaya warudi kwenye Kuni kusurvive winter?
Screenshot_20220917-115201_Twitter.jpg
Screenshot_20220917-115522_Twitter.jpg
 
[emoji736][emoji635]The hybrid war of the West agains the Russia has acquired an unprecedented character. Kremlin does not intend to declare mobilization yet at the moment, no, this is out of the question, the World is moving towards a more just World order and will be multipolar. - Lavrov.
jamani, genius mdogo huyu! Hasemi wazi kwamba a) hawatangazi mobilization kwa sababu ingeonyesha kwamba siasa ya kuingia katika vita hii ilipangwa vibaya. b) hawajui kufanya nini wakipata sasa lakhi za watu wanaolazimishwa kuingia jeshini; walimu wanaohitajika wameshakufa Ukraine, hawan silaha za kutosha ambazo ni tayari, na kutuma askari vitani waliofundishwa muda mfupi mno itaongeza tu idadi ya majeneza yanayohitajika.
Tunaiona sasa tayari ilhali wanachukua wafungwa kutoka magereza na kuwapa bunduki - ni haohao waliokimbia kama sungura kule Izyum.
(Warusi wenye uzoefu bado wanasimama imara kidogo huko Kherson, ila kwa muda gani? Bila daraja ya kuvuka mto wenye upana wa kilomita kadhaa??)
 
Na yule bibi aliyekufa UK unamweka kundi gani??
Swali zuri! Alisimamia kwa utulivu kubomolewa kwa milki yake kubwa iliyokuwa karibu robo ya dunia alipoanza, tena bila kukunja uso...
Alifurahia utajiri wa binafsi aliorithi na chanzo chake kilikuwa uporaji na wizi kote duniani; alifaulu kunyamaza kwa kila porojo iliyotangazwa na serikali "yake" akipaswa kusoma hotuba zilizotungwa na wanasiasa kama aliwapenda au kuchukia.... (alinyamaza yote yaliyotendwa katika jina lake, kuanzia vita dhidi ya Maumau, kuingia EU, Brexit . . .)
Angalau hakugushi uchaguzi wowote.
 
Pole sana umenyweshwa propaganda umeshiba nadhan huijui Russia vizuri. NOTHING CAN STOP RUSSIA [emoji635] hawa watu wakiamua wameamua
IMG_6596.jpg
 
Swali zuri! Alisimamia kwa utulivu kubomolewa kwa milki yake kubwa iliyokuwa karibu robo ya dunia alipoanza, tena bila kukunja uso...
Alifurahia utajiri wa binafsi aliorithi na chanzo chake kilikuwa uporaji na wizi kote duniani; alifaulu kunyamaza kwa kila porojo iliyotangazwa na serikali "yake" akipaswa kusoma hotuba zilizotungwa na wanasiasa kama aliwapenda au kuchukia.... (alinyamaza yote yaliyotendwa katika jina lake, kuanzia vita dhidi ya Maumau, kuingia EU, Brexit . . .)
Angalau hakugushi uchaguzi wowote.

Unajibu hoja kimahaba sana yule bibi shetani alikua ni mwizi, jambazi, mporaji amekaa madarakani kwa miaka 70 kwanini huyu husemi dikteta?? Weka mahaba pembeni tujadili kwa hoja
 
Acha uwongo mtu mzima
Acha kukurupuka Mtu mzima

Waziri huyo wa Kilimo alibainisha kuwa hali ya upatikanaji mbolea nchini umefikia tani 631,660 mwaka huu Februari kati ya mahitaji ya tani 718,051 na kuwa serikali itaendelea kuhamasisha ujenzi wa viwanda vya mbolea hapa nchini ili kupunguza utegemezi wa mbolea toka nje ya nchi.

Takwimu za Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania zinaonesha katika mwaka 2020 Tanzania imetumia Dola za Kimarekani Milioni 229.8 kuingiza nchini mbolea tani 659,197 toka nje ya nchi.

Mwisho
Imeandaliwa na ;
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Kilimo

Halafu Mtu anataka kutoa tani laki3 Kwa nchi 54 hapo bado hatujazungumzia vile vinchi maskini kule south East Asia.

MARUFUKU KUONGEZA BEI ELEKEZI YA MBOLEA NCHINI-PROF. MKENDA | Ministry of Agriculture
 
[emoji736]Ukraine war won't end soon, and Western attitude towards Russia is wrong, as the West follows a policy of provocation. On military aid West only sends scraps to Ukraine. Russia is not a country that can be underestimated. - Erdogan.
Hahahaha Ila Erdogan namkubali Sana Yani anakula na kupuliza halafu anajua Kula na kipofu. Anawapondea west kupeleka silaha Ukraine wakati yeye mwenyewe ndo mmoja watoaji wakubwa wa silaha Ukraine kuanzia zile Drone zilizopukutisha ule msafara wa 65km to IFV,nk.

Anampamba Putin ili aendelee kupata Gas ya Bei chee[emoji23].Erdogan [emoji119]
 
[emoji736][emoji631][emoji1255][emoji635]America is drifting toward geopolitical disaster

Showing that we apparently have learned nothing from our mistakes in Iraq and Afghanistan,
[emoji2384] The United States has wholeheartedly led the NATO alliance into a proxy war against Russia in Ukraine..
thehill-news
IMG_6603.jpg
 
Back
Top Bottom