Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ni kweli,but bank za turkey ziko connected na SWIFT, so zikishafanya transaction huko system ya Mir then zinatumia SWIFT kwenda destination ambayo isingwezekana kwa Mir, edorgan km edorgan ndio mchezo anaocheza kuendeleza double game yake km siku zote
Sasa hapo shida benki husika sio Mir
Ila erdo anaangalia maslahi ya TURKRE saf sana hababaishwi na vikwazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watachezea kichapo mpaka wajute adui yako kukuachia uwanja wa vita kirahisi
Wao hawapati kichapo.
JamiiForums1133239363.jpg


Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga wetu wenyewe MKUU
Huu ndio wakat sahihi wakusimamia tunachokiamini
Tukishindwa wakati huu kunapoendelea SMO hatutatoboa tena
Walau jiran yetu UG hapa wetoa neno cjui wenzetu hapo TZ mnasemaje !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo ninapomkumbuka maghu japo ana mapungufu yake lakini hili angetembea na mrusi kama kawa
 
[emoji736] روسیه سربازانی را که نیروگاه هسته‌ای زاپوریژژیا را اداره می‌کنند، خارج نمی‌کند

[emoji778]️ ما از روبل برای پرداخت کوپن‌های یوروباندهای 2023 و 2043 استفاده کردیم.

[emoji736]Russia will not withdraw soldiers who operate the Zaporizhzhia nuclear power plant

[emoji778]️ We used rubles to pay the coupons of Eurobonds 2023 and 2043.

Habari njema mno hiii[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu utashangaa hao hao wanaiwekea Sanction Russia huku wanataka bidhaa gas ya Russia!Yaani Mimi ni Maji na maziwa,wewe una mkate na samaki,halafu unataka mimi nikuuzie maji tu halafu maziwa unaenda kununua kwingine!Lakini pia nikitaka uniuzie mkate na samaki unazui na unaenda kuuza kwingine!Na Mimi nikikaza,nikasema nitauza Kwingine unanuna na kulalamika!Shame!
Unampiga Sanction Russia Ili kuumiza uchumi wake halafu unategemea yeye akuangalie tu? Hungary kajiongeza,kasema hataki Huo Ujinga,maslahi ya nchi yake kwanza!

Kwenye nataka,hata alipoachia bandari itumike mimeli mingi imeenda ulaya na US badala ya kwenda Kwa nchi masikini zenye njaa!
Shame!
Mbona unarudia propaganda pumbavu ya Putin? Si kweli kwamba idadi kubwa ya nafaka zimeenda Marekani au Ulaya. Ona taarifa ya Kituruki:
1663337772328.png


 

Attachments

Putin: Russia itatoa mbolea bure Kwa mataifa yanayoendelea [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2358783

SAMARKAND, Uzbekistan, Sept 16 (Reuters) – Russian President Vladimir Putin said Russia was ready to provide more than 300,000 tonnes of Russian fertilisers stuck in European ports to the developing world for free.

Speaking at a summit of the Shanghai Cooperation Organisation in…

Continue Reading


News Source: Putin says Russia ready to give free fertilisers to developing world
Hivi naanzaje kuichukia urusi??????
 
Wasikilizeni wa Americo

Russia and China are currently leading half of the world towards a new paradigm, which aims to completely cut out the parasitic Anglo-American oligarchy. If the US does not join this effort, we will be left behind. Our participation in this new coalition is necessary.
Kaka hayo ni maneno tu, biashara anayofanya China na Marekani & Umoja wa Ulaya ni mara kumi zaidi na anayofanya pamoja na Russia ndio maana kwenye huu mgogoro China hajataka kujiingiza mazima sababu anajua madhara yake.
 

Attachments

  • IMG_20220916_171550.jpg
    IMG_20220916_171550.jpg
    145.8 KB · Views: 14
Mbona unarudia propaganda pumbavu ya Putin? Si kweli kwamba idadi kubwa ya nafaka zimeenda Marekani au Ulaya. Ona taarifa ya Kituruki:
View attachment 2358833

Nitakujibu mara Moja tu halafu nimemalizana na wewe,mtu anayetukana Huwa Sina time naye kabisa!
Hapo Ulaya inachukua kiasi gani?Au Ulaya unaelewa Nini?
 
Kwenye nafaka,hata alipoachia bandari itumike mimeli mingi imeenda ulaya na US badala ya kwenda Kwa nchi masikini zenye njaa!
Shame!
PPP! (Propaganda - Putin - pumbavu) soma:
In a statement to CNN, the United Nations said that under the Black Sea Grain Initiative, roughly 30% of "grains and other foodstuffs" have made it to low- and lower-middle-income countries, or approximately 700,000 metric tons.
Among countries classified by the World Bank as low- or lower-middle-income, the UN says that 10% of the initiative's exports have been sent to Egypt, 5% to Iran, 4% to India, 3% to Sudan, 2% to Yemen, 2% to Kenya, 1% to Somalia, 1% to Djibouti, and less than 1% to Lebanon.
Among countries classified by the World Bank as upper-middle- or high-income, the UN says that 20% of the initiative's exports have been sent to Turkey, 15% to Spain, 7% to China, 7% to Italy, 6% to South Korea, 5% to The Netherlands, 4% to Romania, 3% to Germany, 2% to Israel, 1% to Ireland, 1% to France, and less than 1% to Greece and Bulgaria. The statement said that foodstuffs sent to Turkey may have been shipped onward to other countries in Asia and Africa.

(kabla hujaanza kulia "CNN-Marekani" tafuta kwanza kama unapata namba halisi tofauti. Namba ni za UM!)
 
Kaka hayo ni maneno tu, biashara anayofanya China na Marekani & Umoja wa Ulaya ni mara kumi zaidi na anayofanya pamoja na Russia ndio maana kwenye huu mgogoro China hajataka kujiingiza mazima sababu anajua madhara yake.
kuna watu wanafikiri nchi zinapanga mikakati yao kwa kufuata hisia, watu wanaangalia maslahi
 
PPP! (Propaganda - Putin - pumbavu) soma:
In a statement to CNN, the United Nations said that under the Black Sea Grain Initiative, roughly 30% of "grains and other foodstuffs" have made it to low- and lower-middle-income countries, or approximately 700,000 metric tons.
Among countries classified by the World Bank as low- or lower-middle-income, the UN says that 10% of the initiative's exports have been sent to Egypt, 5% to Iran, 4% to India, 3% to Sudan, 2% to Yemen, 2% to Kenya, 1% to Somalia, 1% to Djibouti, and less than 1% to Lebanon.
Among countries classified by the World Bank as upper-middle- or high-income, the UN says that 20% of the initiative's exports have been sent to Turkey, 15% to Spain, 7% to China, 7% to Italy, 6% to South Korea, 5% to The Netherlands, 4% to Romania, 3% to Germany, 2% to Israel, 1% to Ireland, 1% to France, and less than 1% to Greece and Bulgaria. The statement said that foodstuffs sent to Turkey may have been shipped onward to other countries in Asia and Africa.

(kabla hujaanza kulia "CNN-Marekani" tafuta kwanza kama unapata namba halisi tofauti. Namba ni za UM!)
Nimesema kiwango kikubwa kimeenda Ulaya,nimekosea?kwasababu unatukana,basi tumemalizana!Kwaheri!
 
Nitakujibu mara Moja tu halafu nimemalizana na wewe,mtu anayetukana Huwa Sina time naye kabisa!
Hapo Ulaya inachukua kiasi gani?Au Ulaya unaelewa Nini?
Uliandika nafaka za Ukraine zilienda Marekani. Katika picha hii kutoka Uturuki hakuna gramu iliyotumwa huko. Nchi za Ulaya ni 3 zinazotajwa, jumla tani 52,000. Jumla nje ya Ulaya: tani 352.
Je nimepiga hesabu sawa??
(menginevyo hii ni nmba za Agosti. Kuhusu namba za Septemba katikati ona zile kutoka UM niliyoleta pia)
 
Back
Top Bottom