Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Sina uhakika unalenga nini. Unajua idadi ya vifo si milioni na Ukraine haitaendelea hadi Moscow... Kufurahia vita na mauaji siwezi. Lakini natumaini yule Putin aliyeanza mauaji na uharibifu ataacha, ama kwa sababu anaona hawezi kushinda au kwa sababu analazimishwa. Natumaini pia kwamba hatabaki na kitu chochote alichopora.Tufanye wanaogopa kuingia ndani ya Ukraine..na Ukraine kaua wanajeshi 1,000,000 wa Urusi,Russia kaishiwa silaha kabisa..Dionbass yote Ukraine kachukua hadi Moscow...
Vipi hapo..tuongeze nini..tufurahi??
Kama Donabas inarudi yote Ukraine au kama itabaki ikigawiwa, tutaona. Kuhusu Krimea ningetumaini watu wapate nafasi tena ya kupiga kura, bila kugushi lakini nahofia haitawezekana. Ama watalazimishwa kukaa upande wa Urusi, au watalazimishwa kurudi Ukraine.