Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama alienda Iran kuomba drone na Korea kaskazini kuomba Artillery pasina Shaka anahitaji msaada wa China lakini China imeshasema haisapoti vita ya kujitakia aliyoianzisha Putin.

Mkutano wa Jana Putin alitumia muda mwingi kujieleza kwa washirika wake India na China,jamaa zake hawamuelewi kaambiwa live "hizi sio Zama za vita".
Wqpi urusi ameomba silaha wewe leta ushahidi.

Urusi bado anauza silaha na juzi tu kapeleka silaha armenia.
 
Kuna kitu kinaitwa constitutional monarchy/ufalme wa katiba ambao unadhibitiwa na katiba huu unaweza kuwa utawala wa kidemokrasia kabisa kama U.K, Denmark na Sweden. Kuna absolute monarchy/ ufalme mtimilifu, huu ni ufalme ambao haudhibitiwi na katiba na mfalme anaweza kuamua jambo lolote bila kufungwa na katiba hizi ni falme za Saudi Arabia, Oman, Swaziland, Abu dhabi.

Hii ni CIVICS ya O-level, bahati mbaya wengine mnaonekana hamkuweza kubahatika kuipata elimu nyepesi kama hii.
Kwanini asitumie hiyo akili imfikishe mpaka elimu ya juu...
Kusoma vijarida vya internet basi tayari ameshakua mchambuzi makini 😂
Usipoteze muda wako kujibizana na vijiwe vya kahawa
 
[emoji845]🇺[emoji1233]🇺[emoji3518]If Russia uses nuclear weapons in Ukraine, it will have consequences and Russia will become "an even greater outcast,"Biden said.

When the journalist clarified what the consequences would be if Vladimir Putin crossed this line,Biden president remained silent[emoji845]
 
💥💥💥💥

IMG_20220917_152328_224.jpg

🇷🇺🇺🇦⚡Gauleiter of Slavyanska reports heavy damage to the Slavyanska TPP after recent shelling.
 
Hahahaha Kaka hizi fake news unatoa wapi?! Achana nazo tafuta source inayoaminika

Eastern #Ukraine Update:

Ukrainian forces captured all of #Kupyansk City on September 16, continuing offensive operations east of the #Oskil River. /1
isw.pub/RusCampaignSep…



Hiyo ni tarehe ngapi??? Na leo tuko tarehe ngapi?? [emoji706][emoji706]
 
Hakuna ushahidi wowote hapo achana na propaganda. Hiyo picha inawezakuwa imepigwa kutoka sehemu yoyote duniani. Manufactured nonsense!!!

Nataka statement ya iran kupeleka silaha urusi au china au nk au ya urusi kupokea silaha kutoka nchi hizo. Kama ambavyo eu au us wanatoa taarifa za kupeleka silaha ukr au ukr anapotoa statement za kuomba silaha kutoka kwa washirika wake!

Achana na propaganda
 
Nice vema umetumia neno 'natumaini'...ila ukweli uliopo na ambao hata mabeberu wanaufahamu ni kuwa Russia haiwezi kushindwa katika operesheni hiyo...so far imetumia chini ya asilimia 10 ya uwezo wake....silaha zake nyingi Kali hajazitumia kwenye operesheni hiyo....silaha hizo zinawangojea NATO if they decide to put their boots in Ukraine...
Hmm. Mimi natazama kitu tofauti kidogo. Pale mwanzoni, kabla ya uvamizi , wataalamu wengi wa magharibi walisema Ukraine itashindwa haraka, maana hapa inakuja jeshi kubwa la Urusi, waliloona kama jeshi la pili duniani jinsi ilivyoandikwa kote.
Baada Warusi kukimbia kutoka Kyiv walianza kushangaa, wakisema kumbe, uongozi mbaya na maazimio kadhaa ya kipumbavu, vita itachukua muda lakini Ukraine haiwezi kudumu muda mrefu sana.
Ikafuata kipindi ambako mistari ya mapigano ilikwama bila mabadiliko. Ikaonekana Urusi ulishindwa kudhibiti anga, ilikuwa na uhaba wa silaha za kisasa (kama zie roketi za kulenga kwa hakika), ilianza kutumia roketi za manowari kwa ndegevita zake, idadi ya vifaru vilivyolipuka iliongezeka mno... Finland ikaseme "Twende NATO, hatuogopi Urusi tena, wakija na jeshi kama huko Ukraine, tutawamaliza tu".

Na silaha mpya Kutoka magharibi zikaingia kama vile Himars, mizinga ya Marekani, Panzerhaubitze 2000, ile mizinga ya Ufaransa... Hazikuwa nyingi lakini zilileta mabadiliko. Jeshi la Ukraine likaonyesha uwezo wa ajabu kuzjifunza haraka na kuzitumia. Ikaonekana Warusi hawana silaha za aina hiyo (angalau si ya kutosha). tena hawana wanajeshi wa kutosha. Walipopeleka vikosi eneo la Kherson walikosa askari wenye maarifa na mafunzo walioweza kubaki Kharkiv.

Sasa ushindi katika eneo la Kharkiv. Naona sasa sauti nyingi zinazosema: Kumbe Urusi haikuisha bado lakini tulikosa tulipoiangalia kama jeshi kubwa la pili duniani. Bila akiba yake ya nyuklia hakuna cha kuogopa kuhusu jeshi hilo...

Bado wengi wanaona kwamba vita itaendelea muda mrefu bila kufika mwisho. Lakini idadi inaongezeka wanaosema: Sasa tunaona uwezekano wa ushindi wa Ukraine. (Ila maoni ni tofauti kama hii inamaanisha kuchukua Krimea na zile jamhuri za Donbas)

Ninatazama na kufuatilia tu. Naona mabadiliko ya maoni.
 
Hakuna ushahidi wowote hapo achana na propaganda. Hiyo picha inawezakuwa imepigwa kutoka sehemu yoyote duniani. Manufactured nonsense!!!

Nataka statement ya iran kupeleka silaha urusi au china au nk au ya urusi kupokea silaha kutoka nchi hizo. Kama ambavyo eu au us wanatoa taarifa za kupeleka silaha ukr au ukr anapotoa statement za kuomba silaha kutoka kwa washirika wake!

Achana na propaganda
Hahahaha[emoji23][emoji23] Propaganda
 
Bado Ukraine wanatembezewa moto 💥💥💥

Russia says it launched attacks on Ukrainian troops in several regions​

Russia’s defence ministry said its forces had launched raids on Ukrainian positions in several parts of Ukraine, and accused Kyiv of carrying out shelling near the Zaporizhzhia nuclear power plant.
Russian forces conducted their strikes in the Kherson, Mykolaiv, Kharkiv and Donetsk regions, according to the ministry, which added that Ukrainian forces had carried out an unsuccessful offensive near Pravdyne in Kherson.
According to the ministry, two incidents of Ukrainian shelling were recorded near Zaporizhzhia, Europe’s biggest nuclear power plant.
A spokesperson for Ukraine’s foreign ministry denied that Ukrainian forces had carried out shelling near the facility.
 
Sasa ushindi katika eneo la Kharkiv. Naona sasa sauti nyingi zinazosema: Kumbe Urusi haikuisha bado lakini tulikosa tulipoiangalia kama jeshi kubwa la pili duniani. Bila akiba yake ya nyuklia hakuna cha kuogopa kuhusu jeshi hilo...
Urusi ni tishio kwenye karatasi tu.

ila ni mabingwa wazuri sana wa propaganda ndio maana walionekana tishio.
 
Hahahaha Kaka hizi fake news unatoa wapi?! Achana nazo tafuta source inayoaminika

Eastern #Ukraine Update:

Ukrainian forces captured all of #Kupyansk City on September 16, continuing offensive operations east of the #Oskil River. /1
isw.pub/RusCampaignSep…

Ukraine inazidi kukomboa maeneo yote yalitekwa kidhalimu
 
Back
Top Bottom