Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

If Russia uses nuclear weapons in Ukraine, it will have consequences and Russia will become "an even greater outcast,"Biden said.

When the journalist clarified what the consequences would be if Vladimir Putin crossed this line,Biden president remained silent[emoji845]
Hayafai kuongelea maana ni mauaji mazito ndio maana akakaa kimya
 
Kwa habari za ndani ndani ndani,ni kwamba dikiteta Putin anazid kusumbuliwa na ugonjwa wa ajabu unaoitwa spanksun.., ugonjwa huu unamfanya bwana Putin kuwa na choo kigumu,kama inavoonekana kwenye picha
[emoji116][emoji116][emoji116]
FRbapZ3XsAIQRK7.jpg
 
Syria bado yupo na ananyinya mafuta ,Venezuela haikua na faida kwake akabulshit hua US hapigani kwa hisia anapigana kutafuta faida. ,siyo Putin anajipigania tuu bila faida ndio maana hata uchumi wake haulingani na rasilimali alizonazo

Pole sana hii inaonesha jinsi gani hujui mambo acha nikutie pending. US ana hali ngumu sana Syria coz of Russia wakati wa ule mgogoro Russia kutangaza kuingia na kumkingia kifua Assad US alikutana na kichapo heavy alikutana na ndege zina speed x2 ya popobawa zake. Ndo kipindi ambacho US alikutana na mziki wa S-300 + S-400 afu wewe unasema nini?? [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwa habari za ndani ndani ndani,ni kwamba dikiteta Putin anazid kusumbuliwa na ugonjwa wa ajabu unaoitwa spanksun.., ugonjwa huu unamfanya bwana Putin kuwa na choo kigumu,kama inavoonekana kwenye picha
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2359811
Hahaaaa anabugia vodka nying alafu msosi hali wala maji
 
Pole sana hii inaonesha jinsi gani hujui mambo acha nikutie pending. US ana hali ngumu sana Syria coz of Russia wakati wa ule mgogoro Russia kutangaza kuingia na kumkingia kifua Assad US alikutana na kichapo heavy alikutana na ndege zina speed x2 ya popobawa zake. Ndo kipindi ambacho US alikutana na mziki wa S-300 + S-400 afu wewe unasema nini?? [emoji706][emoji706][emoji706]
Hizo s300 na 400 zimefanya nn Ukraine
 
Back
Top Bottom