Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Sina uhakika unalenga nini. Unajua idadi ya vifo si milioni na Ukraine haitaendelea hadi Moscow... Kufurahia vita na mauaji siwezi. Lakini natumaini yule Putin aliyeanza mauaji na uharibifu ataacha, ama kwa sababu anaona hawezi kushinda au kwa sababu analazimishwa. Natumaini pia kwamba hatabaki na kitu chochote alichopora.Tufanye wanaogopa kuingia ndani ya Ukraine..na Ukraine kaua wanajeshi 1,000,000 wa Urusi,Russia kaishiwa silaha kabisa..Dionbass yote Ukraine kachukua hadi Moscow...
Vipi hapo..tuongeze nini..tufurahi??
Wewe f@la ni prices na zinafluctuate kila sekunde
We mbw@ uwe unaweka na sources si kuandika kama Fala , hapa si kijiwe cha gongo
Kwa nini unaamini Putin anasita hiyi kuendelea na mobilisation? Ninahisi anaona ugumu mbili:wanafanya mobilisation huko, waeita vikosi vyao kamili mkuu, ukraine atahimili kweli?
Ni vema umetumia neno 'natumaini'...ila ukweli uliopo na ambao hata mabeberu wanaufahamu ni kuwa Russia haiwezi kushindwa katika operesheni hiyo...so far imetumia chini ya asilimia 10 ya uwezo wake....silaha zake nyingi Kali hajazitumia kwenye operesheni hiyo....silaha hizo zinawangojea NATO if they decide to put their boots in Ukraine...Sina uhakika unalenga nini. Unajua idadi ya vifo si milioni na Ukraine haitaendelea hadi Moscow... Kufurahia vita na mauaji siwezi. Lakini natumaini yule Putin aliyeanza mauaji na uharibifu ataacha, ama kwa sababu anaona hawezi kushinda au kwa sababu analazimishwa. Natumaini pia kwamba hatabaki na kitu chochote alichopora.
Kama Donabas inarudi yote Ukraine au kama itabaki ikigawiwa, tutaona. Kuhusu Krimea ningetumaini watu wapate nafasi tena ya kupiga kura, bila kugushi lakini nahofia haitawezekana. Ama watalazimishwa kukaa upande wa Urusi, au watalazimishwa kurudi Ukraine.
Unaposema vikosi vyao kamili nashindwa kukuelewa mkuuwanafanya mobilisation huko, waeita vikosi vyao kamili mkuu, ukraine atahimili kweli?
Nice vema umetumia neno 'natumaini'...ila ukweli uliopo na ambao hata mabeberu wanaufahamu ni kuwa Russia haiwezi kushindwa katika operesheni hiyo...so far imetumia chini ya asilimia 10 ya uwezo wake....silaha zake nyingi Kali hajazitumia kwenye operesheni hiyo....silaha hizo zinawangojea NATO if they decide to put their boots in Ukraine...
Hahahaha Kaka hizi fake news unatoa wapi?! Achana nazo tafuta source inayoaminika[emoji736] Allied forces have recaptured the eastern part of Kupyansk